Si kwamba wanawaua wakrito peke yao. Yeyote atakayekutwa sehemu husika atauwawa. Mfano ni uvamizi wa kenya ktk jengo la biashara na chuo kikuu kimoja huko kenya. Kwa ujumla lengo la marekani ni kuuchafua uislam kwa manufaa yao binafsi. Na hawana urafiki na yeyote asiye mmarekeni. Fuatilia sudani kusini nayo ni magaidi wa kiislam pia?. Nadhani tutaelewana tuu, uislam hauna ugomvi na ukristo kwani maelekezo yote yapo.Sawa...!
Sasa mkuu ni kwanini hawa magaidi, mfano Alshabaab wakiwavamia watu wanaua tu Wakristo tena ambao hawajawakosea chochote?
Hebu nitajie mashoga maarufu duniani na dini zao.Mashoga wengi ni watu weupe si waafrika.Ukiona mwafrika shoga ujue huyo kaharibiwa na hao mabwana zenu.Afrika kwanza takataka nyingine baadaye....Eti kwa Mugabe. Yule rais wa kwanza wa Zimbabwe unajua alifanya nini?mnafunganishana ndoa za mashoga na masagaji makanisani. Hatujakataa kuwa ushoga haupo arabuni lakini ni jambo la aibu sio kule kwa mabwana zenu ni ufakhari kuwa shoga. Ushoga upo kila sehemu lakini wenzetu wanaushabikia na kujifakharisha nao.
Kunataifa gani ambalo limewahi kusapoti vitendo hivyo kabla hujalaumu kwamba hawapingi??Ni muda muafaka wa waislamu duniani kote kujipambanua kujitofautisha kati ya uislamu na ugaidi,alshabab na uislamu,boko haramu na uislamu,ushirikina na uislamu.
Yawezekana wengine msielewe yaani makundi yote hapo juu yanafanya uharamia wote mchafu na hatuoni mataifa ya kiislamu yakipinga ujinga huo.
Leo hii ni nani mtakayempa injili yenu akawakubali?.
Simameni peupe mukatae na kuwapinga hawa magaidi.Leo nchi zote ambazo ni muslim majority amani hakuna angalia somalia,libya,misri,palestina,iran na kwingineko tabu tupu.
Hivi huyo Mungu mnayemwabudu yuko likizo?.
Ndgu tunajua mmarekani alivyo.Nimependa maelezo yako kwani yanavutia mjadala. Chanzo kikuu cha machafuko ya nchi za kiislam ni marekani. Na hii inasababishwa na kuusoma uislam na kuuelewa wakaona mara ukishika dola hakutakuwa na uharamia wowote ikiwemo riba katika mikopo n.k. bush alipomaliza muda wake alisema hatupambani na ugaidi bali tunapambana na uislam. Kama ni mfuatiliaji wa matukia bush alianzisha kundi la alkaida na alipoamaliza madaraka likapotea, obama ISIS na Bokoharam.Faham raisi wa nigeria m.buhari liimbo marekani imsaidie kumaliza kundi la boko haram wakakataa. Uislam uko wazi na hauna ugomvi na ukristo. Haya ni mambo ya kupangwa tuu. Kuna watu hawalali kupanga mikakati ya kuangamiza uislam.lkini kwa kuwa ni dini ya allah hawataweza.
Kweli,maanaNi muda muafaka wa waislamu duniani kote kujipambanua kujitofautisha kati ya uislamu na ugaidi,alshabab na uislamu,boko haramu na uislamu,ushirikina na uislamu.
Yawezekana wengine msielewe yaani makundi yote hapo juu yanafanya uharamia wote mchafu na hatuoni mataifa ya kiislamu yakipinga ujinga huo.
Leo hii ni nani mtakayempa injili yenu akawakubali?.
Simameni peupe mukatae na kuwapinga hawa magaidi.Leo nchi zote ambazo ni muslim majority amani hakuna angalia somalia,libya,misri,palestina,iran na kwingineko tabu tupu.
Hivi huyo Mungu mnayemwabudu yuko likizo?.
Ongezea na Luka 19:27. Soma hii Qur'an 5:51
Sudani Kusini,wanauwana na ni wakristo watupu.Ireland ya Kaskazini,wakatoliki na waprotestant,wanauwana na ni wakristo watupu.Kongo wanauwana na ni wakristo watupu.Dini inahusika vipi na matendo ya mtu binafsi.Hii dini nina wasiwasi nayo!! Matendo yao yote ni ushetani mtupu
Kama walivyo magaidi wa kikatoliki na waprotestant,wa Ireland ya Kaskazini.Hawa mabinti wameshakuwa magaidi(waislam)
Buhari inaonekana ana mkono kwenye kundi la boko haram, kwani kuanzia awe raisi hili kundi ni kama halipo tena. Hii inatia wasiwasi ukizingatia kuwa hakuna shambulizi lilifanywa na serikali uliseme liliwapa pigo hawa magaidi. Kuamini nchi ya kiislam ndiye yenye na haki kuliko nchi nyingine hakuna mantiki. Somalia na uislam ilikuwa kama ya pili kwa rushwa Africa.Nimependa maelezo yako kwani yanavutia mjadala. Chanzo kikuu cha machafuko ya nchi za kiislam ni marekani. Na hii inasababishwa na kuusoma uislam na kuuelewa wakaona mara ukishika dola hakutakuwa na uharamia wowote ikiwemo riba katika mikopo n.k. bush alipomaliza muda wake alisema hatupambani na ugaidi bali tunapambana na uislam. Kama ni mfuatiliaji wa matukia bush alianzisha kundi la alkaida na alipoamaliza madaraka likapotea, obama ISIS na Bokoharam.Faham raisi wa nigeria m.buhari liimbo marekani imsaidie kumaliza kundi la boko haram wakakataa. Uislam uko wazi na hauna ugomvi na ukristo. Haya ni mambo ya kupangwa tuu. Kuna watu hawalali kupanga mikakati ya kuangamiza uislam.lkini kwa kuwa ni dini ya allah hawataweza.
Uandishi wako ni kiashiria cha kupanic. Sina haja ya kuendelea na mjadalaTAtio ni kwango chako cha uelewa. Ndiyo sabbu unamwita shetani Mungu!
Waislsan bwana, sijui mtu akijiung ahuko shetani huwa anakwngua akili zote!
Halo, ebu ishia bwana.
Wengi sana,Ireland ya Kaskazini,waprotestant na wakatoliki,wameuwana na kuchinjana,mpaka vyombo vya habari vimechoka kutangaza.Hivi kuna magaidi ya kikristo yanayo chinja hinja ili yachafue ukristo?
Hakuna la kweli hata moja ktk haya uliyoyasema...Wakristo wamesimama kupinga ushoga duniani kote hata marais ktk nchi ambazo ni christian majority wamepinga vikali mfano zimbabwe kwa mugabe.Nchi nyingi za kiislam ambako sheria za kufanya mapenzi kabla ya ndoa ilikuwa ni kosa la jinai ndiko ushoga ulianzia ila wengi hawajui.
Pwani yote ambayo ni muslim majority ndiyo matukio hayo ni mengi na ushoga umetokea zanzibar na kusambaa pwani yote.
Wazungu nao wanaujua vizuri ila ulikuja muda mrefu sana na ulifichama zanzibar kwa waislamu.
Ni vema wote bila kujali itikadi tukapinga haya maovu ila waislamu muwe mbele nasi tuwafuate.
Mpeleke mwanao huko naye akapate raha.mabinti wengi wamegoma kurudi kwao kwa raha walizokuwa wanapewa na Boko Haram
Magaidi ni waislam hilo liko wazi kabisa na ndiyo maana hakuna mwislam yeyote anayeweza kujitokeza kuupinga na haijawahi tokea, kama wanaona kwamba hao ni watu wanaowachafua waislam kwanini wasipambane nao? Badala yake huwa wanawasupport na kuwashangilia. Hawa jamaa IQ zao ni ndogo sana wanadhani wanaweza kutudanganya sisi tuamini kama ugaidi siyo uislam.Hawa jamaa wamejificha kwenye kivuli cha uislamu lakini uislamu haufundishi ugaidi.Cha muhimu kama mchangiaji mmoja alivyosema hapo juu ni kuwa,waislamu watumie nguvu ya ziada ili kujipambanua na ugaidi kwani kiukweli wameuchafua sana na wasioelewa ambao ni wengi wanaamini kuwa magaidi ni waislamu.
Aya yoyote unayoiona katika Qur'an,imeandikwa kwa sababu maalumu na na wakati maalumu.Hiyo aya haihusiani na sasa,hiyo iliandikwa wakati hao walikuwa maadui wa kuwapiga waislamu na kuwavamia waislamu,sasa kulikuwa na waislamu,ambao sio waislamu wa kweli wakipeleka siri za waislamu kwa hao watu.. Soma hii Qur'an 5:51