Boko haram jana wameua 17 juzi 118

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,326
5,266
wakuu
hawa jamaa wameshindikana kabisa kwanini wanaua watu wasio na hatia yeyote?
na je wanavyoua hivi hata waislam nao si wanakufa au wanawabagua pembeni?
_Na je wale mabiniti bado wametekwa?
=======================
pia kuna maswali najiuliza
haya makundi ya kiislam
silaha magari na pesa za
kufanya harakati zao
wanazipata wapi?
maana toka nimeanza
kusikia vita dhidi ya ugaidi
duniani sijawahi kusikia nchi
yeyote ikitajwa kuwauzia
silaha hawa jamaa au dunia
ikiwasaka hawa wanawauzia
silaha.
we unajua?
 

Nabii Muddy aliua wangapi??

Mbona hujaweka takwimu zake??

Boko Haram wanachofanya ni ushetani, no justifications
 

These people besides having Christian names were not Christians at heart, and being heads of state they cannot be terrorists either, thats what you will be told!
 
Jamani na wewe unahalalisha hayo mauaji? Angalia sasa umeshamruhusu shetani akuingilie. Nasikitika kukupoteza japokuwa umekubali mwenyewe
 

Shikamoo POLITE.
 
Hapo inatakiwa ufumbuzi wa kina na sio kuwalaumu boko haramu tu kuna mashirika makubwa yakijasusi ktk nchi za magharibi yanasaidia makundi mbali mbali yakiharifu africa
 
Akili zao zinawatuma kuwa kikwazo kikubwa kwa ushetani wao ni Uislam baada ya kuusambaratisha ukomunisti. Wasichokielewa ni kuwa Uislam si ubunifu wa mwanaadam. Uislam ni kujisalimisha kwa mola wako aliyekuumba. Na hakuna kitu kizuri kama hicho katika haya maisha yetu.

Leo hii wote uwaonao wanaupiga vita Uislam wanafanya kazi ya shetani.

Mtu ambae hata kusali hasali, kujiweka nadhifu hajui, kujitoharisha hajui, anatembea nusu uchi au uchi kabisa kila apatapo nafasi leo anakuja anakwambia mtu ambae ana sali sala tano kwa siku akiwa tohara na msafi, anajistiri kuanzia mavazi mpaka kichwa eti huyo ndiye mbaya!

Mtu anaekataza zinaa, pombe, kamari, wizi, uongo, uchafu, huyo ndio mbaya?

Yule anaefanya yote hayo na kufikia mpaka kuoana na mbwa ndiye mzuri?

Amma kwa hakika walimwengu ni wa ajabu sana.
 
Natamani mngechukuwa muda mka google kuona Waislam wanavyouliwa na kuteswa na polisi na majeshi ya Nigeria.

Sasa kwanini na wao wasiwaue hao polisi na wanajeshi wanaowaua?? Kwanini waue wananchi wasio na hatia??
 
Dini inayoruhusu fujo,mauaji,kubaka watoto wa miaka 6 shida tupu.

Kwa hakika dini inayoruhusu hayo si dini ni balaa.

Tumeona Umoja wa Mataifa juzi unailalamikia Vatican! Sijui ilikuwa kwanini?

Tumeona hitler, musolini, bush na wengineo waliotajwa juu huko kuwa wameua Mamilioni ya watu, sijui hawa wana dini kweli? Kama wana dini basi hiyo dini yao ni ya kukaa nayo mbali kama ukoma.
 
Kwa hakika wewe si miongoni mwa wale mabikira 72 watakaokuwa wanawapatia pumziko magaidi wa Boko haram,Alshabab na Osama bin Laden ha ha ha ha.

 
Sasa kwanini na wao wasiwaue hao polisi na wanajeshi wanaowaua?? Kwanini waue wananchi wasio na hatia??

Hizo ni propaganda zisizo na mpango.

Leo hii ikiwa unauliwa, unateswa, unanyanyaswa kwa ajili ya dini yako halafu ukae unangoja anaekuuwa mpaka alete polisi wake na majeshi yake yaje kukuuwa na kukumaliza vizuri? Utakuwa huna akili vizuri.

Cha kujiuliza ni kimoja tu, hao wanaouwana huko, silaha na fedha za kuendeleza hayo mapambano wanazitoa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…