Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,326
- 5,264
wakuu
hawa jamaa wameshindikana kabisa kwanini wanaua watu wasio na hatia yeyote?
na je wanavyoua hivi hata waislam nao si wanakufa au wanawabagua pembeni?
_Na je wale mabiniti bado wametekwa?
=======================
pia kuna maswali najiuliza
haya makundi ya kiislam
silaha magari na pesa za
kufanya harakati zao
wanazipata wapi?
maana toka nimeanza
kusikia vita dhidi ya ugaidi
duniani sijawahi kusikia nchi
yeyote ikitajwa kuwauzia
silaha hawa jamaa au dunia
ikiwasaka hawa wanawauzia
silaha.
we unajua?
hawa jamaa wameshindikana kabisa kwanini wanaua watu wasio na hatia yeyote?
na je wanavyoua hivi hata waislam nao si wanakufa au wanawabagua pembeni?
_Na je wale mabiniti bado wametekwa?
=======================
pia kuna maswali najiuliza
haya makundi ya kiislam
silaha magari na pesa za
kufanya harakati zao
wanazipata wapi?
maana toka nimeanza
kusikia vita dhidi ya ugaidi
duniani sijawahi kusikia nchi
yeyote ikitajwa kuwauzia
silaha hawa jamaa au dunia
ikiwasaka hawa wanawauzia
silaha.
we unajua?