Boflo Ndani ya White party!

Boflo Ndani ya White party!

Asante sana mpendwa wangu Boflo.
Nimesharudi toka iringa niko morogoro toka jana usiku leo ndio nitarudi kwangu rasmi.

Nilitamani sana niwepo jamani ilka maisha haya???????? Na laiti ningalijua kwamba ningekutwa na msiba basi ningalisogeza tarehe.................lol!

Utu uzima kazi kaka mweeeeee hata mabame b na Paloma na amu wanajua jinsi nilivyokuwa nimetingwa na kuuguza lakini niliambulia kuumbuka kwani nilishindwa kuzuia pumzi ya mwisho ya mpendwa wangu isitoke. Kila nikikumbuka huwa naona kama muujiza.
pole my dear kumbe ulifiwa pole sana jamani
 
Pole sana kwa msiba. Uliweza kufanya yaliyo ndani ya uwezo wa kibinadamu yaliyofuata yalikuwa nje ya uwezo wako. Basi tunaambiwa tushukuru kwa kila jambo.
 
Uzuri wake ni wa asili hatumii mkorogo wala nywele za maiti, wala hana wakati wa kuja kuringishia nywele za kichina. Ningekuuliza kuhusu wako lakini nna uhakika huna. Umtoe wapi?

Ama kweli urembo kazi. Hivi kumbe zile nywele huwa ni za marehemu wa majuu? Kaaz kwey kwey:becky:.
 
Kwanza unadaiwa hela ya kiingilio, haikubaliki kuzamia bila kulipa, hebu tuma mchango wako fasta kwa M pesa au Tigo pesa, maana nilishangaa huyu Muhindi au sijui Mwarabu sijui katoka wapi, maana hata Kiingereza si kiingereza na Kiswahili si Kiswahili.........

Una kesi ya kujibnu aisee...................... Boflo

Nilipofika nimekutafuta nikukabidhi sikukupata, ikabidi nipandishe floor ya 6 Bar kwenda kuzinywa
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mpendwa wangu Boflo.
Nimesharudi toka iringa niko morogoro toka jana usiku leo ndio nitarudi kwangu rasmi.

Nilitamani sana niwepo jamani ilka maisha haya???????? Na laiti ningalijua kwamba ningekutwa na msiba basi ningalisogeza tarehe.................lol!

Utu uzima kazi kaka mweeeeee hata mabame b na Paloma na amu wanajua jinsi nilivyokuwa nimetingwa na kuuguza lakini niliambulia kuumbuka kwani nilishindwa kuzuia pumzi ya mwisho ya mpendwa wangu isitoke. Kila nikikumbuka huwa naona kama muujiza.

Pole sana dada mkubwa gfsonwin.... Mwenyezi Mungu akutie nguvu zaidi... Hata mie niliyamani sana kukuona.

Natumai mtaarrange panapo majaaliwa... Naahaidi kuwepo pia!
 
Last edited by a moderator:
Hahaha jana nilikuwa natathmini mkuu, mm mgonjwa sana kwa mizigo ya kibantu
kijana uliyekuwa naye ni mwalimu wangu...wa gym
sasa mbona mbantu alikatiza anaenda maliwatoni ukuzoza au ukumuona mwenye nguo nyeupee!
 
Back
Top Bottom