Boflo Ndani ya White party!

Boflo Ndani ya White party!

Boflo, tupe ukweli, hii mi-bofulo ulikuwa nayo huko inalingana japo kwa asilimia mbili na avatar zao? Nna uhakika ukiiona live haitongozeki, inatisha!
 
Boflo, tupe ukweli, hii mi-bofulo ulikuwa nayo huko inalingana japo kwa asilimia mbili na avatar zao? Nna uhakika ukiiona live haitongozeki, inatisha!

Hahaha. zomba bana, ungekuweko jana ungeprove, wadada wengi wa jf wamejaaliwa makalio mazuri, na wengi ni wazuri wanalipa kama lara 1 ana mashavu m-bonyeo
 
Last edited by a moderator:
Huyu kwanza bora hakuja.. Chezea aunt wangu Paloma , shemeji wangu Madame B nani mdogo wangu amu pale Zion Daughter kule marejesho lazima angeficha mke wake huyu yani ukiwashika mikono huto tamani kuwaachia
kuna watu huwa nashindwa kuelewa familia zao wanaziongoza vipi nawachukia wanaume wanaoshindwa kujitambua na nafasi yao katika jamii wanaume wenye dharau kwangu huwa hawana nafasi
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Wengi waliniuliza Id yagu nikawazuga kuwa niko kama guest, Niliwaona 4 first time: madam B, lara 1 Kakakiza na

wana Jf wengine(Wana sura za kijanja sana), Nilitaka kumuona snowhite(eti yuko nje ya Dar), gfsonwin (pole sana na

msiba), Preta (yuko Arusha), zomba kingkong n.k

Bujibuji
njoo uthibitishe, ww ndio tulipiga story sana jana na nikakuambia Id yangu

Kwanza unadaiwa hela ya kiingilio, haikubaliki kuzamia bila kulipa, hebu tuma mchango wako fasta kwa M pesa au Tigo pesa, maana nilishangaa huyu Muhindi au sijui Mwarabu sijui katoka wapi, maana hata Kiingereza si kiingereza na Kiswahili si Kiswahili.........

Una kesi ya kujibnu aisee...................... Boflo
 
Last edited by a moderator:
Hahaha shem, huyu jamaa hakuingia ndani...kuna raia flan hivi wawili walikua wamesimama mlangoni mmoja Mhindi(Mwarabu) na mwingine Mmatumbi....bila shaka ndio hao.

Usituzuge, Hukuwepo Boflo.
Kama ulikuwepo ulikaa upande gani.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha shem, huyu jamaa hakuingia ndani...kuna raia flan hivi wawili walikua wamesimama mlangoni mmoja Mhindi(Mwarabu) na mwingine Mmatumbi....bila shaka ndio hao.

Khaa shem ndo wale waliokuwa wamesimama pale kwenye korido karibu na mlango wa toilet ya wanawake wakivizia kuangalia Makalio yetu huku wakizuga kupiga stori?
Asalalee...
 
Wengi waliniuliza Id yagu nikawazuga kuwa niko kama guest, Niliwaona 4 first time: madam B, lara 1 Kakakiza na

wana Jf wengine(Wana sura za kijanja sana), Nilitaka kumuona snowhite(eti yuko nje ya Dar), gfsonwin (pole sana na

msiba), Preta (yuko Arusha), zomba kingkong n.k

Bujibuji
njoo uthibitishe, ww ndio tulipiga story sana jana na nikakuambia Id yangu

Tutakuja siku ingine Boflo.......halafu nimekumiss....nini kunipotelea hivyo mke wa mwanaume mwenzio......?
 
Last edited by a moderator:
Hahaha watakuwa ndio hao hao....otherwise Boflo iwe ni ID ya mtu flani aliyekuwemo ndani!!!

Khaa shem ndo wale waliokuwa wamesimama pale kwenye korido karibu na mlango wa toilet ya wanawake wakivizia kuangalia Makalio yetu huku wakizuga kupiga stori?
Asalalee...
 
Wewe unatongozeka? Manake mmmh, i reserve my views about you sugar boy!
Boflo, tupe ukweli, hii mi-bofulo ulikuwa nayo huko inalingana japo kwa asilimia mbili na avatar zao? Nna uhakika ukiiona live haitongozeki, inatisha!
 
Back
Top Bottom