Boflo Ndani ya White party!

Boflo Ndani ya White party!

Kanona yeye kondoo?

Dah jana nilifaidi kwa macho sana, nikasema ngoja niende floor ya 6 bar nikashtue then ndio nije kuwafungia kazi, saa 7:30 nikashuka, kuja kucheki naona hakuna tena mtu, ikabidi nisepe tu, KakaKiiza lini tena kutakuwa na party nyingine? Ninasuggest every month au sio Mtambuzi. ?
 
Last edited by a moderator:
Hahah kaka naona ulikua unakula kwa macho tu...ungeingia ndani ungeshangiliwa sana teh!!

Dah jana nilifaidi kwa macho sana, nikasema ngoja niende floor ya 6 bar nikashtue then ndio nije kuwafungia kazi, saa 7:30 nikashuka, kuja kucheki naona hakuna tena mtu, ikabidi nisepe tu, KakaKiiza lini tena kutakuwa na party nyingine? Ninasuggest every month au sio Mtambuzi. ?
 
Last edited by a moderator:
Wengi waliniuliza Id yagu nikawazuga kuwa niko kama guest, Niliwaona 4 first time: madame B, lara 1 Kakakiiza na

wana Jf wengine(Wana sura za kijanja sana), Nilitaka kumuona snowhite(eti yuko nje ya Dar), gfsonwin (pole sana na

msiba), Preta (yuko Arusha), zomba kingkong n.k

Bujibuji
njoo uthibitishe, ww ndio tulipiga story sana jana na nikakuambia Id yangu

Boflo uliniuzia mbuzi kwenye bakuli. Boflo ninayeongea naye kwenye simu sio mhindi bana, ila yule wa pembeni aliyekuwa ame chill kimya ndio Boflo wa ukweli, a umepiga tize si kitoto
 
Last edited by a moderator:
Namshukuru Mungu kuwa hukuniona na nilikuwepo hapo tena karibu yako kweli macho yako hayakuona vizuri maana ulikuwa unabwia pombe utadhani ni maji yenye baraka yani ilibidi niondoke mm mama paroko kwani nilikuwa naona viutuko tu vingi visivyopimika heee hata wewe Boflo sikutegemea kabisa
 
Kweli sikukuona? Na umejuaje kama nilibwia?
 
Last edited by a moderator:
kuna watu huwa nashindwa kuelewa familia zao wanaziongoza vipi nawachukia wanaume wanaoshindwa kujitambua na nafasi yao katika jamii wanaume wenye dharau kwangu huwa hawana nafasi

Nikukute na minywele ya maiti na umejichubuwa kwa mikarolaiti, yote hiyo kuitafuta asili usiyokuwa nayo, halafu nisikudharau?
 
"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." zomba hapa unaua watu....hahaha

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom