Boflo Ndani ya White party!

Boflo Ndani ya White party!

Baba, mimi haukuniona eeh? Hahahaha. Nimekuweza aisee.
Kwanza unadaiwa hela ya kiingilio, haikubaliki kuzamia bila kulipa, hebu tuma mchango wako fasta kwa M pesa au Tigo pesa, maana nilishangaa huyu Muhindi au sijui Mwarabu sijui katoka wapi, maana hata Kiingereza si kiingereza na Kiswahili si Kiswahili.........

Una kesi ya kujibnu aisee...................... Boflo
 
Last edited by a moderator:
Hahaha watakuwa ndio hao hao....otherwise Boflo iwe ni ID ya mtu flani aliyekuwemo ndani!!!

Kha!!
Ila me namjua Boflo ni Mzanzibar,sasa mbona sikumuona shem.
Ila wale jamaa sijui hata walikuwa wanafanya nini pale!
Afu kuna dume moja sijui wa wapi yule akajifanya kakosea Mlango akaingia toilet ya wanawake,kanikuta nimesimama namuangalia.
Nikamuuliza watakani?
Eti oh! Nimekosea mlango.
Ningembaka mimi.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah....shem labda alikuja kwa ajili ya ukaguzi kabla ya kuzama mlango wa pili wa Party....ila nimecheka sana!!!

Afu kuna dume moja sijui wa wapi yule akajifanya kakosea Mlango akaingia toilet ya wanawake,kanikuta nimesimama namuangalia.
Nikamuuliza watakani?
Eti oh! Nimekosea mlango.
Ningembaka mimi.
 
Nani atongoze mkeo amechoka kama spare tyre ya treni.

Uzuri wake ni wa asili hatumii mkorogo wala nywele za maiti, wala hana wakati wa kuja kuringishia nywele za kichina. Ningekuuliza kuhusu wako lakini nna uhakika huna. Umtoe wapi?
 
Uzuri wake ni wa asili hatumii mkorogo wala nywele za maiti, wala hana wakati wa kuja kuringishia nywele za kichina. Ningekuuliza kuhusu wako lakini nna uhakika huna. Umtoe wapi?

zomba umeuaaa!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom