JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

JF DAR-WING,WHITE PARTY HAPO Tar: 26 JANUARY, MICHANGO IMEANZA KUPOKELEWA....!!!!!!!

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,443
Habarini za Muda Huu Members wote wa JF,
Kama tulivyojadiliana jana kuhusu kufanyika kwa ile White Party ya Dar-Wing, Siku ya Jumamosi ya Tar:26 January Kuanzia Saa 11 jioni hadi majogoo,

Hivyo Basi Mpaka Muda Huu tayari nimeshapokea Michango ya Wadau wafuatao:
1. KakaKiiza
2. Mimi mwenyewe Mzee Mtambuzi
3. gfsonwin
4. Madame B
5. Paloma
6. cacico
7. MJEDA WA LEO TUPO HAPA PUB...
8. Asprin
9. Ruttashobolwa
10. amu
11. marejesho
12. Vin Diesel
13. figganigga
14. Jiwe Linaloishi
15. Amavubi
16. manoah
17. Jeska
18. Zion Daughter
19. Mulama
20. Vivianna
21. watu8
22. Tonykp
23. Remmy
24. Mamndenyi
25. kipaji halisi
26. Lusile
27. akenajo
28. Zinduna

Jamani nawakumbusha kutuma Mchango wako wa Sh Elfu ishirini au ukipenda zaidi (20,0000 au zaidi, Japo mchango halali ni Sh elfu Ishirini) kupitia kwa Namba za Simu nilizozitoa siku ya Jana.
Ambazo ni:
TIGO PESA (0715 729292 ) AU
VODACOM M-PESA (0752 729292).
MWISHO WA KUTUMA MCHANGO WAKO NI TAREHE 21-01-2013

Pia kumbuka kunipigia simu kwa namba hizo mara baada ya kutuma pesa ili umtajie ID yako.

Mara utakapotuma Mchango wako, basi jina lako utalikuta hapa jamvini.

UP DATE:

Jana tarehe 5/1/2013 kamati ya kutafuta ukumbi ikiongozwa na gfsonwin, Madame B na mimi mwenyewe Mzee Mtambuzi imefanikiwa kupata ukumbi katika Hoteli ya KEBBY'S iliyoko Mwenye mkabala na ukumbi wa Sinema wa Mwenge. Tumepata sehemu ya GARDEN ambayo iko barabarani kabisa na siku hiyo kutakuwa na LIVE BAND na bendi hiyo inaitwa MOMELA.

Tumeshachagua MENU na meneja wa hoteli hiyo Bi. Skiiter ameahidi kutufanyia mambo makubwa, kwa wale watakaotaka ule mpango wa STAY AWAY FROM HOME baada ya kupata kilaji watapewea special rate ya Tsh. 100,000 kwa usiku mmoja single. Double hairuhusiwi....LOL.

Tunatakiwa kulipa advance ya kiasi cha shilingi 300,000/= wiki ijayo ili ku-secure ukumbi maana demanding iko juu sana. ninawaomba wadu waharakishe kutuma michango yao ili tuweze kulipia ukumb huo.

Nawasilisha.

Asante,

Mtambuzi.

Copy to: [/B Mwita Maranya, amu, Zion Daughter, Smile, Fidel80, Ruttashobolwa, watu8, Bishanga, King'asti, Remmy, figganigga, snowhite, Bujibuji, Nicas Mtei, mwaJ, nivea, Lisa, Mamndenyi, Asprin, lara 1 na wengineo walioko tayari kuhudhuria mnakaribishwa............
 
Mi nitakufata ofisini kwako uninunulie kashata.
Serious kaka

Karibu sana Binti, usisahau kuna na jamvi lako mwenyewe maana kibaraza kiko full booked this week, wiki hii kibaraza kinajadili sakata la gesi ya Mtwara, tumeacha kwanza mambo ya mpira..........LOL

kahawa.jpg
 
Nawakumbusha wale wote watakaotuma tigo pesa au mpesa.
Jamani mtume 21,000 si mnajua kuna ile buku ya kukatwa.
Siyo mambo yenu ya kutuma 20,000 muwacheeeeeee maana akitoa anatoa 19,000 mtampa kazi Mtambuzi kuwaongezea buku buku
 
Last edited by a moderator:
atumiage eatel-mane banaaaa ya nini kujiumiza kichwa??!?!? amu shosti eti saluni gani wanasuka vizuri yeboyebo?!? nataka kusukia nichangaye nyeusi na broken white!

natafuta vijana wawili wa kuwatolea...........sifa kuu wawe mabaunsa ili nikitepeta wanibebage maana na hizi kilo nahitaji sana msaada! Nimeagiza Dompo 3 katoni nzima from kiwandani -zinatumwa kwenye Shabiby ile Nakshi Nakshi!!!

Ye uuuwiiiiii, Haki mama vile hii maneno asije akaiona ODM Mzee Asprin..........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
atumiage eatel-mane banaaaa ya nini kujiumiza kichwa??!?!? amu shosti eti saluni gani wanasuka vizuri yeboyebo?!? nataka kusukia nichangaye nyeusi na broken white!

Paloma best usichanganye bwana we suka yeboyebo white halafu piga full kadress white viatu white rangi za kucha white.
Viatu nakushauri simple ili ukianza kuyumba zikupe balance.,,
utapendeza sana utakuwa kama malaika white from hair to shoes...
Usisahau na clutch white...
watu8 changamkia offer hiyo kwa paloma
 
Last edited by a moderator:
hahahahhaaaaaaaaaa haya sichanganyi but mie ntapiga broken white banaa........ila clutch hata sitawezakuibeba nkianza kutepeta au labda Ruttashobolwa anisaidie.... amu unipelekage shopping sasa.....

Paloma best usichanganye bwana we suka yeboyebo white halafu piga full kadress white viatu white rangi za kucha white.
Viatu nakushauri simple ili ukianza kuyumba zikupe balance.,,
utapendeza sana utakuwa kama malaika white from hair to shoes...
Usisahau na clutch white...
watu8 changamkia offer hiyo kwa paloma
 
Last edited by a moderator:
Nawakumbusha wale wote watakaotuma tigo pesa au mpesa.
Jamani mtume 21,000 si mnajua kuna ile buku ya kukatwa.
Siyo mambo yenu ya kutuma 20,000 muwacheeeeeee maana akitoa anatoa 19,000 mtampa kazi Mtambuzi kuwaongezea buku buku

Bora umetukumbusha shosti. Ingekula kwa Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Best nikikupelekamo shopping ujue mambo ya 10% yanahusika sasa useme kabisa utaninunulia nini????
Siyo unitembeze na joto la dar uishie kuninunulia azam cola...
Tutachenjiana
hahahahhaaaaaaaaaa haya sichanganyi but mie ntapiga broken white banaa........ila clutch hata sitawezakuibeba nkianza kutepeta au labda Ruttashobolwa anisaidie.... amu unipelekage shopping sasa.....

best
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom