Bodaboda na wake za watu

Bodaboda na wake za watu

Wewe ni kati ya wale ngamia wachache kama wapo wanaopita kwenye tundu la sindano.....hongera kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app

hv mkuu unadhan boda boda ni threat kwa wake za wtu km mnavyoikuza huku??mie najua boda boda ni sumu wa wadada wa kaz na watoto wa shule..hebu tuwe wakweli...hata km ndo ukame huu jaman hapana...ila sijui
 
Unahangaika kumridhisha mwanamke ili iweje?.hawaridhiki hao,,kama umeoa na anakupa mapenzi unavyotaka mengine kausha,acha na wenzio wale,,mbona mimi hata sijali hayo...nikiona hiyo hali na mimi natafuta watoto wakali nabonjoa.. hela tu ndo kila kitu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unahangaika kumridhisha mwanamke ili iweje?.hawaridhiki hao,,kama umeoa na anakupa mapenzi unavyotaka mengine kausha,acha na wenzio wale,,mbona mimi hata sijali hayo...nikiona hiyo hali na mimi natafuta watoto wakali nabonjoa.. hela tu ndo kila kitu..

Sent using Jamii Forums mobile app

😂😂😂ww umekata tamaa mno na ww ...tunaridhika sana tu
 
Ni hivi:-
Wanawake wengi bila kujali vipato vyao wanapenda sana urahisi, yaani hawako tayari kupata taabu kwa kitu ambacho kuna sehemu kinapatikana hata kwa gharama ya mwili.
Kiujumla mwanamke ana safari nyingi kwa siku kuliko mwanaume; ataondoka kwenda sokoni (bodaboda), vikoba(bodaboda), kumjulia hali mgonjwa Hosp(bodaboda), Saluni(bodaboda) nk. Ukipiga hesabu kwa siku wengine wanafikisha elfu 6 kwa bodaboda tu.
Taabu inaanza pale bodaboda huyo anapokubali kumkopesha huduma hiyo, mwisho wa siku malipo ya fedha yanageuka malipo ya mwili.
Pili, ni kwamba bodaboda wanatumika sana kuwapeleka wake za watu kwenye michepuko au kuchukua vitu kwa michepuko kupelekea wake za watu. Bodaboda wa aina hii akikomaa kwamba atatoa siri lazima anunuliwe kwa Papuchi.
Mengine, Yaliyomo yamo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Umechambua kwa Umahiri na Uzoefu wa hali ya Juu,Hongera..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi siyo watu yan,,,,mama shemeji yenu alitaka kunipanua moyo ila nimesema hapanuki moyo mtu hapa,,tutakutana mezan kwenye mahesabu,nakula totoz kama sina akili timamu japo navaa helmet..hata upige iwake moto nyie viumbe hamtosheki..sasa mimi totoz za chuo zinanikoma..
ww umekata tamaa mno na ww ...tunaridhika sana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi siyo watu yan,,,,mama shemeji yenu alitaka kunipanua moyo ila nimesema hapanuki moyo mtu hapa,,tutakutana mezan kwenye mahesabu,nakula totoz kama sina akili timamu japo navaa helmet..hata upige iwake moto nyie viumbe hamtosheki..sasa mimi totoz za chuo zinanikoma..

Sent using Jamii Forums mobile app

😂😂😂 pole...alikufanyaje mkuu...ila si utafte totoz 1 bas..huon unajichosha
 
Wanawake wanapenda sana kupanda bodabodA hata sehemu ambayo hangeweza tembea kwa miguu unakuta kwa siku anatumia zaid ya elf 5 kwenye bodaboda . Wakati mume wake kamuhachia elf 5 hapo bado hajatoa elf 2 ya kibati hajapika . Mwenzetu ishanitokea na niliwekA uzi umu jf . Baada ya kukuta sms za lijamaa la boda libonge lichafu.kwenye simu ya wife mpaka leo iyo kitu inaniuma

Sent using Jamii Forums mobile app
nimekujua we ndo mke wako mrefu mweupe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kujifagilia mkuu, hawa Mama zetu hawana kundi lolote bali wameumbwa tu dhaifu.

Sasa wale wanaowasafisha kucha za miguuni na kuwapakaa rangi utawaweka kundi gani?

Unadhani wangekuwa wana upeo wa akili sawa na sisi Wanaume tungewapata vipi tukiwatongoza?

Mungu alishathibitisha kuwa Wanawake ni viumbe dhaifu, so usilazimishe wafanane akili na sisi Wanaume tuliopewa mamlaka ya kuwatawala maisha yao yote.

Kikubwa hasa ni kuwaongoza katika hekima na kuwavumilia ndipo tutaweza kuishi nao vizuri katika ndoa zetu Chifu.
Kundi lingine hatari kwa wake za watu ni madereva wa daladala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wanapenda sana kupanda bodabodA hata sehemu ambayo hangeweza tembea kwa miguu unakuta kwa siku anatumia zaid ya elf 5 kwenye bodaboda . Wakati mume wake kamuhachia elf 5 hapo bado hajatoa elf 2 ya kibati hajapika . Mwenzetu ishanitokea na niliwekA uzi umu jf . Baada ya kukuta sms za lijamaa la boda libonge lichafu.kwenye simu ya wife mpaka leo iyo kitu inaniuma

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Chifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pili, ni kwamba bodaboda wanatumika sana kuwapeleka wake za watu kwenye michepuko au kuchukua vitu kwa michepuko kupelekea wake za watu. Bodaboda wa aina hii akikomaa kwamba atatoa siri lazima anunuliwe kwa Papuchi.
Mengine, Yaliyomo yamo.
100/100
 
Back
Top Bottom