Bodaboda na wake za watu

Bodaboda na wake za watu

Uwezo wa kufikiri kama kuku ndio unaowaponza na tamaa za mwili kushindwa kuzizuia, tabia ya kupenda mtelezo wajiachie na mkono anaingia mazima jeuri huongezeka ndani ya nyumba na magonjwa kuyakaribisha ndani ya nyumba
 
Ngoma aje
Toka kuanza kwa usafiri wa hizi pikipiki imekuwa na wimbi kubwa sana la wake za watu kutoka kimapenzi na hao bodaboda. Nauliza hivi ni hao wake wanaowataka hao bodaboda au imekaaje hiyo?. Muda mwingine najiuuliza labda ndoa nyingi hazijitoshelezi,hasa wanaume kutowatosheleza kisawa sawa wake zao kwenye swala zima la mgegedo? Au ni tabia tu wanawake kubadirisha viwanja? Maana muda mwingine mwanamke anayechukuliwa na huyo bodaboda utakuta kwake mambo safi sana kiuchumi. Na hawa vijana wa boda boda wengi nasikia wameingia kwenye kutumia viagra kubust nguvu zaidi ili amfikishe vi3,vi4 huyo mke wa mtu. Wasiwasi sasa itatokea kubwa watoto watoto wengi waliopo kwenye familia ni wa bodaboda

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umasikini, hali ngumu ya kimaisha na kuwa na tamaa, kutokuwa na elimu ya dini nayo huchangia mporomoko wa maadili kwa kasi kubwa sana.
Nakubaliana kwenye hili la ukosefu wa elimu ya dini ambalo limepelekea kupolomoka kwa maadili.

Ila kuhusu ukosefu wa kipato si kweli kwa sababu hao wake za watu wanaoshoboka na madereva wa bodaboda wengine waume zao wana kipato kizuri tu au hata wenyewe wana kazi zao nzuri tu.
 
Nakubaliana kwenye hili la ukosefu wa elimu ya dini ambalo limepelekea kupolomoka kwa maadili.

Ila kuhusu ukosefu wa kipato si kweli kwa sababu hao wake za watu wanaoshoboka na madereva wa bodaboda wengine waume zao wana kipato kizuri tu au hata wenyewe wana kazi zao nzuri tu.
kupolomoka = kuporomoka
 
Mwanamke anaweza akawa na VOGI akampa papuchi mtu aliyemuwekea wese la buku 30 na kumsaliti aliyemnunulia VOGI wakati angemwambia huyo aliyemnunulia VOGI angeweza kumuwekea hata wese la laki.
USIKARIRI HIVYO!...wewe ukimnunulia simu mtu ukiombwa vocha huwa unalalamika sembuse mafuta? Wanawake hawapendi kupangiwa safari, aliyemnunulia Vogi akimuomba hela ya mafuta lazima atamuuliza unaenda wapi n.k Hawapendi kufuatiliwa
 
Ukimwi hautawaacha salama hao
kabisa mkuu af ikumbukwe pia hao boda boda ni wanaume pia kama wanaume wngne kuendesha kwao pkpk imefanya wadharaurike yan mtu akiskia mke wake anatmbea na boda boda anahis kadhalilishwa balaa ila akiskia ni dereva ata wa hiace au roli maumivu yanapungua kidg sio km kwa bodboda...tabu ipo pale pale
 
uku kwetu wadada wa kazi ndo wanafaidika na ma boda boda yan wote wanajua ratiba ya bosi wao kurudi ni kujiachia tu wanapewa hadi chai yan usipo anglia hadi chamchana wanakula
 
Back
Top Bottom