mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,788
Story zao nyingi tukiwa maskini ni jinsi walivyomkula fulani, nani wamempiga style fulani, sijui mke wa fulani wamevunja mpk kibubu yaani wao story zao ni kushindana tu nani amekula mademu wengi.hhahahahahaa..umejuaje km wanasimamia kucha...hapana mie hata iweje..hata nibanwe vip
Nayo gari mtaiweka mafuta halafu ni vile vile tena kama bodaboda?



.... kwa hiyo tusema kila kona wamezingilwa? 😅😅😅
Story zao nyingi tukiwa maskini ni jinsi walivyomkula fulani, nani wamempiga style fulani, sijui mke wa fulani wamevunja mpk kibabu yaani wao story zao ni kushindana tu nani amekula mademu wengi.
Ila wake za watu wengi ni muhanga sana wa hawa jamaa na walivyo na sifa sasa akikula hawezi kukutunzia siri ndio maana inakua rahisi sana mke wa mtu kugundulika akichepuka na bodaboda.
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Kua mzalendo wape siku moja halafu utuletee mrejesho hapa jamvini.hahhahaa...majanga aisee..mie nadhan ukimpa nafasi ndo matokeo hayo





Kua mzalendo wape siku moja halafu utuletee mrejesho hapa jamvini.
Ila usiruhusu wavunje kibubu
Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Ni hivi:-
Wanawake wengi bila kujali vipato vyao wanapenda sana urahisi, yaani hawako tayari kupata taabu kwa kitu ambacho kuna sehemu kinapatikana hata kwa gharama ya mwili.
Kiujumla mwanamke ana safari nyingi kwa siku kuliko mwanaume; ataondoka kwenda sokoni (bodaboda), vikoba(bodaboda), kumjulia hali mgonjwa Hosp(bodaboda), Saluni(bodaboda) nk. Ukipiga hesabu kwa siku wengine wanafikisha elfu 6 kwa bodaboda tu.
Taabu inaanza pale bodaboda huyo anapokubali kumkopesha huduma hiyo, mwisho wa siku malipo ya fedha yanageuka malipo ya mwili.
Pili, ni kwamba bodaboda wanatumika sana kuwapeleka wake za watu kwenye michepuko au kuchukua vitu kwa michepuko kupelekea wake za watu. Bodaboda wa aina hii akikomaa kwamba atatoa siri lazima anunuliwe kwa Papuchi.
Mengine, Yaliyomo yamo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wanapenda sana kupanda bodabodA hata sehemu ambayo hangeweza tembea kwa miguu unakuta kwa siku anatumia zaid ya elf 5 kwenye bodaboda . Wakati mume wake kamuhachia elf 5 hapo bado hajatoa elf 2 ya kibati hajapika . Mwenzetu ishanitokea na niliwekA uzi umu jf . Baada ya kukuta sms za lijamaa la boda libonge lichafu.kwenye simu ya wife mpaka leo iyo kitu inaniuma
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani nimesema mie nna uhitaji huo?hapana nipo full package kbs mkuu



uko full packages mane? VizuriPole sana kwa matatizo ya mgongo,yupo dr. anasaidia sana matibabu ya migongo,kiuno,miguu. Ni dr.mzuri anatumia dawa hizi hizi za hosp ila ana namna ya uchanganyaji. Anaweza kukusaidia kabisa tatizo.... mimi natumia boda kwa nadra sana.. (nna matatizo ya mgongo)ila ht nikitumia eti sijawah ona boda wa kunisumbua kbs akili yangu jaman..yaan ht mume anikute nimrsimama na boda hatajali kbs kbs..inauma kiukweli...pole
Pole sana kwa matatizo ya mgongo,yupo dr. anasaidia sana matibabu ya migongo,kiuno,miguu. Ni dr.mzuri anatumia dawa hizi hizi za hosp ila ana namna ya uchanganyaji. Anaweza kukusaidia kabisa tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa,hivi kuweka hapa namba ya mtu inakuwa sawa? Nisije nikajikuta nashitakiwajaman hebu niunganishe naye
.yaan nasumbuka sana
Wewe ni kati ya wale ngamia wachache kama wapo wanaopita kwenye tundu la sindano.....hongera kwako.mie ht sijawah mpa boda nafasi nisikilze mautumbo yake..khaa..ah msituonee bwana
Amemtibu mtoto wangu amesumbuliwa sana na miguu na mgongo.jaman hebu niunganishe naye
.yaan nasumbuka sana
Haya maneno mngekuwa mnayaishi ingependeza sana.......wanawake ni kiumbe mwenye kila aina ya rangiNi ukosefu wa maadili tu.
Mwanamke anayejiheshimu hafanyi upuuzi huo na bodaboda anayejiheshimu hafanyi upuuzi huo.