Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,694
naweza pata mawasiliano naye?nna safari ya mbeye end of month
naweza pata mawasiliano naye?nna safari ya mbeye end of month
Sawanaweza pata mawasiliano naye?nna safari ya mbeye end of month
0784679278naweza pata mawasiliano naye?nna safari ya mbeye end of month
Mnawarahisishia sana kazi ndiyo maana mmewafanya wawe wepesi kutongoza maana anachukulia huyu ni kama wale sio kosa lao nilikuwa nafanya kazi karibu na watu wa bodaboda mpaka muda mwingine wanawakimbiaMimi ni mwanamke...ila hakuna kundi linaloongoza kutongoza km maboda boda...tena sio kutongoza tu boda boda wamejikita kutongoza wake za watu...yaan had unachefukwa...sasa inategemeana na aina ya mwanamke...wanasweat siku nzima..ptu...niishie hapa
Mnawarahisishia sana kazi ndiyo maana mmewafanya wawe wepesi kutongoza maana anachukulia huyu ni kama wale sio kosa lao nilikuwa nafanya kazi karibu na watu wa bodaboda mpaka muda mwingine wanawakimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
asante sna mkuu
Umemaliza kila ulizo la swali lolote Chifu.Ni hivi:-
Wanawake wengi bila kujali vipato vyao wanapenda sana urahisi, yaani hawako tayari kupata taabu kwa kitu ambacho kuna sehemu kinapatikana hata kwa gharama ya mwili.
Kiujumla mwanamke ana safari nyingi kwa siku kuliko mwanaume; ataondoka kwenda sokoni (bodaboda), vikoba(bodaboda), kumjulia hali mgonjwa Hosp(bodaboda), Saluni(bodaboda) nk. Ukipiga hesabu kwa siku wengine wanafikisha elfu 6 kwa bodaboda tu.
Taabu inaanza pale bodaboda huyo anapokubali kumkopesha huduma hiyo, mwisho wa siku malipo ya fedha yanageuka malipo ya mwili.
Pili, ni kwamba bodaboda wanatumika sana kuwapeleka wake za watu kwenye michepuko au kuchukua vitu kwa michepuko kupelekea wake za watu. Bodaboda wa aina hii akikomaa kwamba atatoa siri lazima anunuliwe kwa Papuchi.
Mengine, Yaliyomo yamo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkipakiwa Mara muanze kuwasugulia matiti yenu Mara muanze kuwashika kimahaba yaani hayo yote ninyi ndio mmeyatengenezatunawarashishiaje mkuu
Mkipakiwa Mara muanze kuwasugulia matiti yenu Mara muanze kuwashika kimahaba yaani hayo yote ninyi ndio mmeyatengeneza
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikaa kwenye vijiwe vyao utasikia mengi sana kuhusu upande wenu ndio maana kuna wimbi la vijana wengi huko kwa ajili ya hiyo ila wengi sio wafanyaji kazi sasa kazi yao ni kuwakaza tu ndio maana kuna kesi nyingi za bodaboda kutopeleka hesabuhii kali jaman...kali kbs
Umeonaee...Ukikaa kwenye vijiwe vyao utasikia mengi sana kuhusu upande wenu ndio maana kuna wimbi la vijana wengi huko kwa ajili ya hiyo ila wengi sio wafanyaji kazi sasa kazi yao ni kuwakaza tu ndio maana kuna kesi nyingi za bodaboda kutopeleka hesabu
Sent using Jamii Forums mobile app


next yr naacha...ngoja ipite new yr![]()
Aiseee, kweli kurukaruka kwa maharagwe ndiko kuiva kwake, nilitaka nishangae unaanzaje kunikataa dereva bodaboda tena niliye handsome namna hii?
Tukutane pale "THE PARADISE BUCHA" ili nikupe ofa kede kede za nyama afu univulie c.h.u.p.i nikufaidi mtoto mzuri Manengelo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nitampa 20,000/= kwaajili ya ofa ya mafuta tu tayari atanitunuku papuchi huyo Mkeo mwenye gariSuruhisho :Mnunulie Gari Mkeo
