Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Sisi bodaboda tunacomment wapi?

samahan..yaan sisi tuwatongoze bodaboda😂😂😂😂😂😂.... labda wenzangu...khaa!Kweli eeeh...! Mimi nilifikiri wao ndio wanatokewa na nyie sister? Kumbe wana maneno wao eeeh?
Sent using Jamii Forums mobile app
hmtakiwi kucomment hapaSisi bodaboda tunacomment wapi?![]()
mimi nashukuru sana mwisho wa siku huwa wanaongea kilicho moyoni mwangu...
au dada kwajili unaona siò hadhi yakoakisema hivyo najua kesi imeisha..hao hao watongoze watoto wetu wa shule hao hao watutake mama zao..shwain

watongoze watoto wetu na nyie. Heshima kwako sanaaaa. Kujitambua Nyie sehemu yenu mkuu kufikiria kumdokoa yule unaempeleka sokoni siku zote mkuuSisi bodaboda tunacomment wapi?![]()
Hongerasamahan..yaan sisi tuwatongoze bodaboda.... labda wenzangu...khaa!
Toka kuanza kwa usafiri wa hizi pikipiki imekuwa na wimbi kubwa sana la wake za watu kutoka kimapenzi na hao bodaboda. Nauliza hivi ni hao wake wanaowataka hao bodaboda au imekaaje hiyo?. Muda mwingine najiuuliza labda ndoa nyingi hazijitoshelezi,hasa wanaume kutowatosheleza kisawa sawa wake zao kwenye swala zima la mgegedo? Au ni tabia tu wanawake kubadirisha viwanja? Maana muda mwingine mwanamke anayechukuliwa na huyo bodaboda utakuta kwake mambo safi sana kiuchumi. Na hawa vijana wa boda boda wengi nasikia wameingia kwenye kutumia viagra kubust nguvu zaidi ili amfikishe vi3,vi4 huyo mke wa mtu. Wasiwasi sasa itatokea kubwa watoto watoto wengi waliopo kwenye familia ni wa bodaboda
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nikishaona tu Mwanamke wangu ameanza Kuzoeana na Madereva wa BodaBoda basi hapo hapo ndiyo mwisho Wetu Kimahusiano na mpaka sasa nimeshawamwaga / nimeshaachana na Wanawake kama 17 hivi kwa Kosa hili hili na hata huyu ambaye atakuja Saa 12 Jioni ya leo ' Kuuchezea ' nae akija tu na BodaBoda yatamkuta ya Wenzie. Na sipingi Wanawake Kutembea / Kungonoliwa na hao Madereva wa BodaBoda ila ukweli ni kwamba kama kuna Kundi la Wanaume wanaoongoza kwa Kuumwa Magonjwa ya Zinaa ya Kisonono na Kaswende ni Madereva BodaBoda na sasa nayaonea mno huruma Matako / Makalio yangu haya kwa kila Siku Kuchomwa Sindano kwani Vidonge huwa havinisaidii kabisa.

acha masiharah mkuu. Hapo kwenye 17. Utatema wengi kwa namna hiyo kiongozi. Huyu wa leo akifika tu kituo cha kwanza mvutie mkoko mkuuMagufuli aingilie kati
Sisi bodaboda huwa huwa tunapewa penzi na wake za watu kutokana na sababu zifuatazo:Nyie sehemu yenu mkuu kufikiria kumdokoa yule unaempeleka sokoni siku zote mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app

Duuuh...! Hawa jamaaa wanavuruga I see. Kuna jirani yangu hapa kama alivyofanya GENTROMYCINE,nae kampiga stop mke wake wake kuonekana na bodabodaBoda boda ndo habari ya town wanaanza na watoto wa shule mpaka mama zao.
Toka kuanza kwa usafiri wa hizi pikipiki imekuwa na wimbi kubwa sana la wake za watu kutoka kimapenzi na hao bodaboda. Nauliza hivi ni hao wake wanaowataka hao bodaboda au imekaaje hiyo?. Muda mwingine najiuuliza labda ndoa nyingi hazijitoshelezi,hasa wanaume kutowatosheleza kisawa sawa wake zao kwenye swala zima la mgegedo? Au ni tabia tu wanawake kubadirisha viwanja? Maana muda mwingine mwanamke anayechukuliwa na huyo bodaboda utakuta kwake mambo safi sana kiuchumi. Na hawa vijana wa boda boda wengi nasikia wameingia kwenye kutumia viagra kubust nguvu zaidi ili amfikishe vi3,vi4 huyo mke wa mtu. Wasiwasi sasa itatokea kubwa watoto watoto wengi waliopo kwenye familia ni wa bodaboda
Sent using Jamii Forums mobile app
Tume wataigomea tu mkuu. Maana utakuwa umeanza kugusa kwenye ........za wenyeweiitishwe Tume kbs