Bodaboda na wake za watu

Bodaboda na wake za watu

Mimi ni mwanamke...ila hakuna kundi linaloongoza kutongoza km maboda boda...tena sio kutongoza tu boda boda wamejikita kutongoza wake za watu...yaan had unachefukwa...sasa inategemeana na aina ya mwanamke...wanasweat siku nzima..ptu...niishie hapa

Halafu wana mtindo wa kuattack ili ujisikie inferior akikutongoza ukubali

Silaha yangu huwa ni kukaa kimya, nyumbani kwangu kwa nje kuna kijiwe chao, walishazungumza yote wakaona nipo kimya,siku hizi hakuna anaejishughulisha na mimi
 
uku kwetu wadada wa kazi ndo wanafaidika na ma boda boda yan wote wanajua ratiba ya bosi wao kurudi ni kujiachia tu wanapewa hadi chai yan usipo anglia hadi chamchana wanakula

Ni kweli kabisa huwa nawaona hapo nje
Msichana akiwa na ratiba ya boss wanabebana na bodaboda,muda wa kurudi boss ukikaribia unawaona wanarudishana!
 
Halafu wana mtindo wa kuattack ili ujisikie inferior akikutongoza ukubali

Silaha yangu huwa ni kukaa kimya, nyumbani kwangu kwa nje kuna kijiwe chao, walishazungumza yote wakaona nipo kimya,siku hizi hakuna anaejishughulisha na mimi

hahhahaa mm wana mamisemo yao "wakubwa wanafaidi..ohh mumeo anafaidi..nawajibu ndio..ila ukiwachekea tu tegemea kuombwa namba😶..na vile wengi hawana elimu hahha full kero..wanakera sana saaana!
 
Wanawake wanapenda sana kupanda bodabodA hata sehemu ambayo hangeweza tembea kwa miguu unakuta kwa siku anatumia zaid ya elf 5 kwenye bodaboda . Wakati mume wake kamuhachia elf 5 hapo bado hajatoa elf 2 ya kibati hajapika . Mwenzetu ishanitokea na niliwekA uzi umu jf . Baada ya kukuta sms za lijamaa la boda libonge lichafu.kwenye simu ya wife mpaka leo iyo kitu inaniuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahhahaa mm wana mamisemo yao "wakubwa wanafaidi..ohh mumeo anafaidi..nawajibu ndio..ila ukiwachekea tu tegemea kuombwa namba..na vile wengi hawana elimu hahha full kero..wanakera sana saaana!
Ni hivyo tu. Ukijitambua tu,unaongea nao kawaida,akija anga zile maadam unajitambua unamtolea nje huku unacheka,yeye kucheka atajua umeingia line,kesho za uso tena. Itakuwa heshima kwa wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hata pia ukiona mpenzi/ mke wako ni mtu wa kupenda sana lift ziwe za rafiki zake wa kike, hao boda boda na zinazofanana na hizo, anajitia kwenye mtego wa kukumbana na hayo yanayowatokea. Pale anapoweza kutembea ajitahidi kutembea, lift za mara kwa mara mwisho wake wakati mwingine si mzuri.
 
Ni hivi:-
Wanawake wengi bila kujali vipato vyao wanapenda sana urahisi, yaani hawako tayari kupata taabu kwa kitu ambacho kuna sehemu kinapatikana hata kwa gharama ya mwili.
Kiujumla mwanamke ana safari nyingi kwa siku kuliko mwanaume; ataondoka kwenda sokoni (bodaboda), vikoba(bodaboda), kumjulia hali mgonjwa Hosp(bodaboda), Saluni(bodaboda) nk. Ukipiga hesabu kwa siku wengine wanafikisha elfu 6 kwa bodaboda tu.
Taabu inaanza pale bodaboda huyo anapokubali kumkopesha huduma hiyo, mwisho wa siku malipo ya fedha yanageuka malipo ya mwili.
Pili, ni kwamba bodaboda wanatumika sana kuwapeleka wake za watu kwenye michepuko au kuchukua vitu kwa michepuko kupelekea wake za watu. Bodaboda wa aina hii akikomaa kwamba atatoa siri lazima anunuliwe kwa Papuchi.
Mengine, Yaliyomo yamo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Fact
 
Wanawake wanapenda sana kupanda bodabodA hata sehemu ambayo hangeweza tembea kwa miguu unakuta kwa siku anatumia zaid ya elf 5 kwenye bodaboda . Wakati mume wake kamuhachia elf 5 hapo bado hajatoa elf 2 ya kibati hajapika . Mwenzetu ishanitokea na niliwekA uzi umu jf . Baada ya kukuta sms za lijamaa la boda libonge lichafu.kwenye simu ya wife mpaka leo iyo kitu inaniuma

Sent using Jamii Forums mobile app
....! Pole sana mkuu. Hapo libodaboda libonge lichafu. Pole sana,lakini naamini ulitatua mkuu?. Kwa hiyo hata liwe lichafu wanalo tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahhahaa mm wana mamisemo yao "wakubwa wanafaidi..ohh mumeo anafaidi..nawajibu ndio..ila ukiwachekea tu tegemea kuombwa namba..na vile wengi hawana elimu hahha full kero..wanakera sana saaana!
Ila ndio wanaongoza kusimama ukucha wanapiga mashine mpaka unasikia harufu ya kuunga.
Money kwa jinsi unavyowakandia mpka napata mashaka na wewe

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
 
... tena nilichogundua mwanamke mwenye wivu ni hatari

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapa ndo nashindwaga kuwaelewa kabisaaaa.
Maana anajifanya ana wivu wa kiwango cha sgr as if ni mtakatifu, ukija fungua mafaili yake unachoka moyo akili na mawazo.

Mwanamke mwingine wa kuogopa ni yule anayekuambia
Siwezi tongozwa na staff wenzangu
Siwezi toa tigo hata kwa bunduki
Siwezi mpa mtu mwili wangu n.k
Ujue hamna kitu na kama kipo ni 10%

Ila ndio wanaongoza kusimama ukucha wanapiga mashine mpaka unasikia harufu ya kuunga.
Money kwa jinsi unavyowakandia mpka napata mashaka na wewe

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk

hhahahahahaa..umejuaje km wanasimamia kucha...hapana mie hata iweje..hata nibanwe vip
 
Back
Top Bottom