Bloggers wenzangu nahitaji msaada wenu

Bloggers wenzangu nahitaji msaada wenu

Sasa hiyo suspension huwa haiji leo... Mwanzoni mwa mwezi ujao utaona email inaingi.....

Google AdSense policy ...unfortunately...... Suspended... nyie endeleeni tu kufanya mchezo na google

chamsingi asinogewe kama yule aliyepasua bomba la mafuta, afanye kama mimi nagusa 4 times kisha naskilizia upepo afta day estimated earnings
 
Sasa hiyo suspension huwa haiji leo... Mwanzoni mwa mwezi ujao utaona email inaingi.....

Google AdSense policy ...unfortunately...... Suspended... nyie endeleeni tu kufanya mchezo na google
hahahh mzee hii trick cyo ya kawaida inahatarisha account....nmejarbu kucreate email mpya then nikasignup admob afu nikaweka codes kwa Appp...duuh $$$ znaingia kama mvuaaa
 
Pole sana Blogger mwenzangu. Sina cha kukuchangia zaidi ya kukuombea kwa Mwenyeezi Mungu akuponye na kukujaalia kazi yenye kipato zaidi ya ile ya awali
 
Hapo ndo mimi napowashangaa ndugu zangu hawa wa upande huu wa google adsense,ni wagumu sana kukuelekeza wewe ambaye ndo unajifunza wakati wao wanapiga mpaka dola 2000 kwa mwezi lakini kukuelekeza wewe inakuwa shughuli kweli kweli wakati wale jamaa wa Forex ONTARIO ka-introduce kule kwenye jukwaa la biashara, haijachukua hata mda mrefu kuna magroup kibao ya Whatsapp na Telegram watu wanafundishana namna ya kula pipi nashangaa sana ndugu zangu wa Adsense mimi nna mwaka sasa nafuatilia hii ishu lakini wapi sipati ushirikiano wa kutosha kama wewe ndugu yangu Sam Jr official .Ila poa Mungu anawaona nyie ma-Pro ambao mnapiga madolari wakati si wadogo zenu hata dola 100 kwa mwezi hatuzioni (Hope vilio vyetu vitasikiwa maana Vyum**** vimekaz**** kweli kweli)
 
Daaah nikweli aisee umeongea kitu cha kweli kabisa yani wengine hapa hata mwisho wa mwezi $100 taabu kuipata hatupati ...mimi naomba kama mnasoma hizi comment tusaidieni mtaongezewa kile mnachopata kwa kutusaidia sisi
 
Hapo ndo mimi napowashangaa ndugu zangu hawa wa upande huu wa google adsense,ni wagumu sana kukuelekeza wewe ambaye ndo unajifunza wakati wao wanapiga mpaka dola 2000 kwa mwezi lakini kukuelekeza wewe inakuwa shughuli kweli kweli wakati wale jamaa wa Forex ONTARIO ka-introduce kule kwenye jukwaa la biashara, haijachukua hata mda mrefu kuna magroup kibao ya Whatsapp na Telegram watu wanafundishana namna ya kula pipi nashangaa sana ndugu zangu wa Adsense mimi nna mwaka sasa nafuatilia hii ishu lakini wapi sipati ushirikiano wa kutosha kama wewe ndugu yangu Sam Jr official .Ila poa Mungu anawaona nyie ma-Pro ambao mnapiga madolari wakati si wadogo zenu hata dola 100 kwa mwezi hatuzioni (Hope vilio vyetu vitasikiwa maana Vyum**** vimekaz**** kweli kweli)
Tatizo mnapewa tips lakini hamtaki kuchukua hatua... Mnaambiwa kila siku hamieni audince ya nje ya tzz amieni USA,UK ...SA Hamtaki sasa sijui mnataka mfanyiwe nn wakuu... Mi namalizia project yangu mpya na hama audience ya tz... Kama mnataka majina na umaarufu endeleeni kuahangahika na traffic ya bongo ila kama mnataka mpunga na blogu zisizojulikana nendeni yukei ...usa huko...
 
aisee kweli papa.. sio 2000$ jamaa wanapiga mpaka 6000$ kwa mwezi ila wanabana aisee wengine hata 80$ kwa mwezi hatupati.... 😱😱😵😵😉😉
 
Mkui zipo vyema ila nakushauri unulie domain mkuuu hapo hauwezi kupata matangazo ya google kwa hali hiyo... Halafu tafuta themes nzuri zipo kibao tuu siyo kw hiyo look mzee jitahidi ufanye viti siriazi utafanikiwa mkuu
Lakini mbona google adsense wana accept kuweka ads kwenye blogspot
 
Mkui zipo vyema ila nakushauri unulie domain mkuuu hapo hauwezi kupata matangazo ya google kwa hali hiyo... Halafu tafuta themes nzuri zipo kibao tuu siyo kw hiyo look mzee jitahidi ufanye viti siriazi utafanikiwa mkuu
mbona nasikia kuwa google wanakubali adsence kwa blog spot. na sijakuelewa kuhusu themes ina maana nitafute nzuri zaidi au naomba ufafanuzi kidogo
 
Tatizo mnapewa tips lakini hamtaki kuchukua hatua... Mnaambiwa kila siku hamieni audince ya nje ya tzz amieni USA,UK ...SA Hamtaki sasa sijui mnataka mfanyiwe nn wakuu... Mi namalizia project yangu mpya na hama audience ya tz... Kama mnataka majina na umaarufu endeleeni kuahangahika na traffic ya bongo ila kama mnataka mpunga na blogu zisizojulikana nendeni yukei ...usa huko...
Sawa mkuu fungueni basi hata telegram groups mtuelezee kinaga ubaga humo ndugu zenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom