Bloggers wenzangu nahitaji msaada wenu

Bloggers wenzangu nahitaji msaada wenu

View attachment 663852

Tatizo bloggers wengi wwa kibongo wana "work hard" na sio ku "work smart", Hata upate watembeleaji laki wa bongo unaweza kuambulia dola 20 tu kwa sababu katika hao watembeleaji laki wataoclick tangazo watakua wachache sana maana matangazo mengi ni ya kiingereza ambacho wabongo hatukitumii na hapo ukipata clicks chache za tangazo la adsense r.p.m inakuwa hovyo sana licha ya cpc ya bongo ni bei ya mabua!!!.

Hangaika na Traffic ya South Africa, Tengeneza facebook page then share post zako zenye link ya vlog yako kweye magrouop ta wasauzi, mie nmewawekwa machache kama haya , Tengeneza page then kwa kila page share kwenye magroup saba hivi maana ukizidisha unafungiwa account na fb....Kama unavyoona pichani watembeleaji haa hawafiki elfu mbili ila mpunga uliopatikana ni takribani 220,000/ tshs tena hio ni siku moja tu
habari mkuu nina shida na wewe PM tafadhali naomba uni text mimi maana mimi nikikufata inasumbua kidgo iko limit
 
Sasa hiyo suspension huwa haiji leo... Mwanzoni mwa mwezi ujao utaona email inaingi.....

Google AdSense policy ...unfortunately...... Suspended... nyie endeleeni tu kufanya mchezo na google
Hahaha!
 
Tatizo mnapewa tips lakini hamtaki kuchukua hatua... Mnaambiwa kila siku hamieni audince ya nje ya tzz amieni USA,UK ...SA Hamtaki sasa sijui mnataka mfanyiwe nn wakuu... Mi namalizia project yangu mpya na hama audience ya tz... Kama mnataka majina na umaarufu endeleeni kuahangahika na traffic ya bongo ila kama mnataka mpunga na blogu zisizojulikana nendeni yukei ...usa huko...
Hizo Audience za nje zinatengenezwaje mkuu
 
JAMANI NIMEJIUNGA NA ADSTERRA na code nimeweka vizuri ila matangazo hayaonekani kwanini
 
moja, kwa hio lazima awe na account 3 za adsense . Kila blog moja, tofauti na ukiwa na adsense a/c 1 unaweza kuongeza blog yng za domain.
ok hapo nimekupata sasa hiyo ndo inakuwa hosted au non hosted?
 
ok hapo nimekupata sasa hiyo ndo inakuwa hosted au non hosted?
Non hosted ni zile account za google kama YouTube + Blogspot ambazo wewe au zihost sehemu yoyote (Google ndo wana host)
Hosted account ni zile ambazo wewe umezi host. Then unataka kujiunga na mfumo wa matangazo via Adsense.
Non hosted huwa zinawayi kuwa approved kuliko hosted. But zote zinapiga kazi fresh tu.
 
ok nimekuonea huruma. trick ni hii. fanya Self Clicking. kama unatumia ADMOB uliyoiunganisha na app yako basi ingia playstore kisha download app ya turbo VPN kisha connect server ya Canada au USA. rudi kwenye browser zako zote za simu kisha clear cache, data and everything. rudi kwenye app yako kwenye setting clear cache, data and everything. nenda kwenye setting ya simu yako ingia kwenye option ya google kisha reset Advertising ID. kisha clear cach na data. rudi kwenye app yako bofya tangazo kisha ukiwaredirected kwenye tangazo hakikisha ubofye hata menu ya website utakayoikuta na uzuge zuge kama sekunde 30 kwa kupreview other pages kisha close browser zima data clear cache, data and everthing rudi kwenye app clear tena, rudi kwenye setting google option clear tena rudi kwenye turbo VPN clear cache and data. zima data tulia 5 seconds kisha rudi kwenye turbo boost connect server nyingine kisha rudia hatua ya kwanza kuclear cache tena na kuanza kujibofya. it works na ukifanya kwa mara 10 utaona mitonyo kwenye adsense. na hakikisha data zako za adsense unatumia kwenye kifaa kingine sio kifaa hiko hiko.

mi mwanzo nilijifunza kupitia video hii ya youtube. hawa wahindi wako vizuri sana. now najipigia pesa bureee kwa kujibofya.

usipoielewa hiyo angalia videos nyingine how to self click on admob - YouTube

[HASHTAG]#ONYO[/HASHTAG] USIKOSEE MASHARTI. PIA USIFANYE TRICK HII KWENYE ANDROID EMULATORS KAMA BLUESTACK AU NOX PLAYER AU COMPUTER KWA UJUMLA. Kule ni rahisi sana data zako kuleak kwa adsense. PIA FANYA KWA MAKINI SANA, UKIKOSEA KIDOGO TU! ACCOUNT YAKO WAKIIBAN USIJE HAPA KUNILAUMU.

Boss unaonekana umeshare kitu cha muhimu sana ila bahati mbaya mi bado sijaielewa hii trick,naomba kujua kama lazima blog yako Iwe kwenye form ya app au la maaana Huyo muhindi nimeshindwa kumuelewa,pleeeeeaase.
 
kama blog yako umeiweka kwenye application na app hiyo umeiunganisha na Admob (Adsense) basi hii trick ndo itafanya kazi vyema japo kwa masharti nliyoyaweka hapo juu. kama unajiamini sana na hauna shida sana na adsense basi fanya hiyo trick ila kama bado haujaizoea adsense vizuri basi nakushauri utengeneze contents za kiingereza zenye niche ya biashara, afya kama kupunguza mwili kula and etc, technology kiasi na ishu za wordcup. usiwalenge watanzania kwenye blog yako maana nchi yetu haina thamani kwa google.
 
Mnaomshauri atumie fb kupata traffic mwambieni pia fb wanabadilisha algorithms za newsfeed yao itakua inafavour zaidi post za friends and family.
 
Mnaomshauri atumie fb kupata traffic mwambieni pia fb wanabadilisha algorithms za newsfeed yao itakua inafavour zaidi post za friends and family.
Shared post kutoka kwenye groups na pages hazitaonekana kwenye newz feed. Ila hakuna effect kubwa mkuu
 
Shared post kutoka kwenye groups na pages hazitaonekana kwenye newz feed. Ila hakuna effect kubwa mkuu
Sijakuelewa mkuu, kwa hiyo ukishare post kutoka kwenye page itaonekana upande gani kama kwenye news feed haitakuwepo?
 
kama blog yako umeiweka kwenye application na app hiyo umeiunganisha na Admob (Adsense) basi hii trick ndo itafanya kazi vyema japo kwa masharti nliyoyaweka hapo juu. kama unajiamini sana na hauna shida sana na adsense basi fanya hiyo trick ila kama bado haujaizoea adsense vizuri basi nakushauri utengeneze contents za kiingereza zenye niche ya biashara, afya kama kupunguza mwili kula and etc, technology kiasi na ishu za wordcup. usiwalenge watanzania kwenye blog yako maana nchi yetu haina thamani kwa google.
Hapa nimekuelewa vizuri sana boss wangu,ila naomba kujua namna rahisi ya kupata AdSense account.asante
 
Hapa nimekuelewa vizuri sana boss wangu,ila naomba kujua namna rahisi ya kupata AdSense account.asante

kupitia blogger.com au youtube.com kama umejiunga na youtube na una videos ambazo kwa ujumla zina views zaidi ya 10,000 basi unaweza uka-apply adsense kwenye setting za youtube pale pale. Kwenye blogger kupitia option ya earnings

1.PNG

kisha utabofya button ya Sign Up

2.PNG

hakikisha posts zako ni za kiingereza na pia ukiwa na posts 10+ itapendeza zaidi kwa google kukubali ombi lako. Utaambiwa ujaze url address ya blog yako na baadhi ya details za muhimu kisha uta-cornfirm kwa ku-SUBMIT Then utasibiri ndani ya saa 48 -72 google waikague blog yako then watakupa mrejesho kupitia email yako kama umekubaliwa au la.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom