Nimegundua siri kubwa ambayo bloggers wakubwa hawaisemi

28/03/2015

JF-Expert Member
May 3, 2015
366
335
jamani ndugu zangu wa jukwaa hili habarini, kwa wale ambao wamekuwa wadau wakubwa wa masuala ya Blogging watakubaliana na mimi kwamba ili upate pesa licha ya jitihada zote utazofanya mwisho wa siku traffic ndio inayo-matter. Lakini kitu kikubwa na kibaya sana ambacho kinasikitisha ni pale unapotaka kupata experience na maujanja kutoka kwa bloggers ambao wanadai kuingiza pesa nyingi kwa siku kuanzia =>100$ per day (ambao mm nimewapa jina la bloggers wakubwa/wakongwe/wazoefu), kupitia blogging lakini mwisho wa siku wataishia kukwambia inabidi utafute traffic FB & Insta kwa kulipia Post kwenye page yako, kushare post kwenye groups za nchi za US na Uk ambako traffic yake ina-return nzuri, n,k. kwa hyo utajikuta wanakwambia vitu ambayo ni kila siku unavifanya bila mafanikio. na pia ni moja ya vitu ambavyo awali nilikuwa nikiviamini sana lakini mwisho wa siku investment niliyofanya kwa advertisement kupitia FB na Insta bado haikuweza kulingana na kile ambacho bloggers hawa wakubwa /wazoefu wa kupiga hela kupitia Blogs wanasema.

SASA KWANINI NASEMA NI SIRI AMBAYO BLOGGERS WAKUBWA HAWATAKI TUIFAHAMU

Nimemaliza mwaka na miezi saba sasa nikiwa kwenye ulimwengu huu wa kupiga hela kupitia blogging na kila siku naisha kupata hela ya bundle, chakula na kulipa kodi ya nyumba. ambayo mwisho wa siku haiwezi kukusaidia kufika mbali kimaisha licha ya kufuata ushauri na maelekezo kutoka kwa bloggers hawa wakubwa/wakongwe

MOJA YA USHAURI NILIOPEWA NA KUUFANYIA KAZI NI HUU

Ni baada ya kuboost post za page yangu ya FB lakini ninachoambulia ni kuona result ya watu walioiona post kuwa ni wengi lakini waliobofya link ya kuwapeleka kwenye blog ni wachache, ipo siku nililipia post ambayo iliwafikia watu 70,000+ lakini huwezi amini waliobonyeza hiyo link walikaribia 400. na hivyo ndivyo hali ilivyo kwa bloggers wengi kama sio wote. na niukweli usiopingika kuwa hata mm na ww ni wagumu sana wa kufungua link ambazo watu wameshare kwenye groups au page za FB pamoja na social network nyingine.

Lakini pia Bloggers hawa wakubwa watakushauri kuhusu kutafuta traffic kutoka US na Uk lakini njia wanazotaja ili kuweza kupata traffic hiyo ni njia nyepesi sana ambazo ndizo nilizozitaja na kila blogger huzitumia na ukizingatia zaidi siku hizi ukishare sana hasa kwenye groups za FB lazima ufungiwe kupost, labda uwe na followers wengi Insta ambao hata hivyo ni ngumu saaaana kupata watu kutoka nchi hizo ambazo return yake ni kubwa kwa blogger. Unaweza share WhatsApp lakini admin wakakuondoa kwenye groups. kwa hiyo utaona Bloggers hawa wakubwa wanakupa story nyepesi ambazo haziwezi kukufikisha popote na mbaya zaidi ukitaka kuwabishia watakuonyesha kiasi cha $ wanazopata kwa siku.

NIKAFANYA NINI BAADA YA KUCHOSHWA NA USHAURI WA HAWA BLOGGERS WAKUBWA/WAPIGAJI WAKUBWA WA PESA KWENYE BLOGS

1. Nilijikita sana katika kufuatilia mienendo ya blogs zao kwa kuaongalia idadi ya visitors wanaopata kwa siku, kujua thamani ya blogs zao, kuverify average ya mapato wanayopata kwa siku, source of traffic zao, na post zao ambazo zimesomwa na watu wengi zaidi ili kujua interest za wasomaji wengi wa Blogs.

2. kutembelea Blogs zinazosomwa sana US & Uk ili kujua ni nini watu wa huko hupenda ili niingie kwenye competition

3. Lakini pia niliweza ku-Google mara kwa mara ili kujua njia bora zaidi ya kuweza kupata traffic ya US na UK kwenye Blog yangu.

BAADA YA HAPO NIKAIPATA SIRI HIYO AMBAYO IKANIFANYA NICHEKE KWA FURAHA NA KUNIACHA MDOMO WAZI KWANI NDOTO ZANGU ZA KUWA BLOGGER MKUBWA/ MPIGAJI MKUBWA WA HELA KUPITIA BLOG ZITAREJEA LAKINI PIA KUPITIA SIRI HIYO NIMEJIFUNZA HATA KAMA BLOG YAKO INA ZERO VISITORS NDANI YA SIKU MOJA UNAWEZA UKAIBOOST SITE YAKO KWA GHARAMA NAFUU NA UKAANZA KUPATA TRAFFIC YENYE FAIDA KUTOKA US & UK, ushahidi nilionao ni huu, kwa siku nilikuwa napata visitors 800-1000, lakini kwa masaa machache tuu ya kutumia mbinu hii mpya niliyoibaini nimepata visitors zaidi ya 9800 kutoka US & UK , na kiukweli nimezijutia pesa zangu ambazo mara kwa mara nimekuwa nikizitumia FB bila mafanikio yoyote, tazama attachement hii uone jinsi nilivyopanda ghafla kutoka vistors 800-1000 hadi 9800 ambapo nimeboost kwa usd 3 tu na return yake imenifanya nione tumaini jipya kwa mwaka 2018, na ninatarajia mapato nitakayopata tar 22 mwezi wa kwanza kuyatumia kama mtaji wa kuboost site yangu kwa mbinu hii mpya kwa kuwa mapato ya mwezi huu mengi niliyatumia FB bila mafanikio, kwa hiyo pesa niliyobakiwa nayo ni kwaajili ya matumizi tu;.

SASA KWA YEYOTE AMBAYE ANATAKA KUFAHAMU ZAIDI KUHUSU MBINU HII AJE PM LAKINI PIA NIMEATTACH SCREENSHOT YA GOOGLE ANALYTICS REPORT FOR REFERENCE mnaweza angalia jinsi traffic ya tar 28 ilivyopanda ukiinganisha na siku nyingine zote
 

Attachments

  • TRAFFIC.PNG
    TRAFFIC.PNG
    4.3 KB · Views: 220
tangazo murua sana hili
congrats unajua kujitangaza
Limekaa kama tangazo lakini ndio ukweli ambao Bloggers wote wanaopiga pesa ndefu kwenye blog zao watakwambia, ila mbinu hii mpya nimeifanyia kazi na nimeona results zake kama nivyoattach hiyo report ya google
 
Muulize bilionea lemutuzz, ndo mbinu zake hizo
hawawezi wakakwambia hiyo siri wataishia kukwambia kushare Insta , WhatsApp, Twitter, FB Page Google Adword n.k lakini hii siri hawawezi sema, jaribu kufikiri, unashare story za kiafrica halafu mtu wa US au UK afungue kirahisi rahisi... Utakuja kuona ni ngumu sana ndio maana nasema hiyo ni siri ya Bloggers wakubwa ambayo nimeifahamu
 
ukiwa na Facebook page kuna kitu kinaitwa website promotion na posts booster. nadhani wengi huwa wanalipia ili kuboost post kitu ambacho traffics wanaishia kuiona tu post na wachache wakalink up
 
ukiwa na Facebook page kuna kitu kinaitwa website promotion na posts booster. nadhani wengi huwa wanalipia ili kuboost post kitu ambacho traffics wanaishia kuiona tu post na wachache wakalink up
Hiyo mbinu nimeifanya toka naanza kupata huo ushauri, ukifanya hivyo watu wataiona post lakini wengi hawafungui link ya kuwapeleka kwenye blog ili wasome post yote, nimeandika hapo juu niliwahi boost page post ikawafikia watu 70000+ lakini click za link hazikuzidi 400,
 
ipo hivi, ambaye yupo interested atakuja tutaelekezana A-Z hakuna blogger aliyeniambia hiyo siri hadi nilipojitia kuyatafuta maarifa hayo
nimegundua-siri-kubwa-ambayo-bloggers-wakubwa-hawaisemi (Nawewe ni mmoja wapo... kama watu wamefungua huu uzi ina maana kuna kitu wana itaji, ila kwa ubinafsi wako una kimbilia mafichoni...) una jua una weza ukamueleza mtu huko na akaja kukimwaga hapa chote...

ni kutaka umungu mtu ndio huko kukimbilizana gizani... Ni upuuzi...
 
Back
Top Bottom