Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 8,509
- 10,716
Blog yangu huwa napost general tu
bado kuna vitu hujanijibu.
Blog yangu huwa napost general tu
Sure!That's really
Kuna ukweli ndani yake. Ila sio woteTatizo letu watanzania, waliofanikiwa kwenye jambo huwaona wanaokuja nyuma yao kuwa ni wazembe, wavivu na wajinga. Hivi kwanini hatuna upendo kama watu wa jamii nyingine? Mtu anapofikia mahali pa kuomba msaada mahali ukaanza kumnanga hata ukimpa msaada hauna thamani tena. Tubadilike.
Vitu gani kwa mfano?bado kuna vitu hujanijibu.
Hiyo blog yao unapost lugha gani? kiswahili au? na content yako imebase kwenye nini entertainment au General? unatumia google adsense au kampuni gani? unapost mwenyewe manually au umeset Autoblogging?
Vitu gani kwa mfano?
Blog yangu napost kiingereza,content nachanganya,natumia Adsense na Sio kampuni na Pia huwa napost manually sio autoblogging.......note nikipost kiswahili huwa napigwa warning ya Unsupported Language then nachofanya nikija kwenye page ya facebook naandikia title ya kiswahili.. Nadhani Kuanzia hapo umenielewa kidogosoma tena utaviona.
Hapo kwenye red unamaana uwe na more than one fb page au fb Account?View attachment 663852
Tatizo bloggers wengi wwa kibongo wana "work hard" na sio ku "work smart", Hata upate watembeleaji laki wa bongo unaweza kuambulia dola 20 tu kwa sababu katika hao watembeleaji laki wataoclick tangazo watakua wachache sana maana matangazo mengi ni ya kiingereza ambacho wabongo hatukitumii na hapo ukipata clicks chache za tangazo la adsense r.p.m inakuwa hovyo sana licha ya cpc ya bongo ni bei ya mabua!!!.
Hangaika na Traffic ya South Africa, Tengeneza facebook page then share post zako zenye link ya vlog yako kweye magrouop ta wasauzi, mie nmewawekwa machache kama haya, Tengeneza page then kwa kila page share kwenye magroup saba hivi maana ukizidisha unafungiwa account na fb....Kama unavyoona pichani watembeleaji haa hawafiki elfu mbili ila mpunga uliopatikana ni takribani 220,000/ tshs tena hio ni siku moja tuNon Runner and Accident Damage vehicles for Sale. SOUTH AFRICA
CHEAP CARS FOR SALE IN SOUTH AFRICA
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
Cape Town Buy, Sell & Swop
Why do women cheat?
Se connecter à Facebook | Facebook
UZALO FANS
cars for sale South Africa
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
Buy, Sell & Swap Cars & Car Parts in South Africa
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
Kaizer Chiefs updates,AMAKHOSI4LYF ✌✌
**<b><fg=ffff1234>HLEKA UZE ULALE NGECALA**
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
PITORI MAHLANYENG JOKES (RELOADED)
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
Vaal University of Technology 2 2
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
New Xhosa Jokes/sihleka okokoko.
Durban Factory Shops
Job Opportunities in South Africa
Se connecter à Facebook | Facebook
STOLEN CARS RSA
CARS FOR SALE SA
Amahlaya esiZulu sihleka kuphela(SA)
UKHOZI FM- SIYALUTHANDA
Se connecter à Facebook | Facebook
Se connecter à Facebook | Facebook
COMEDY QHA
Chiefs Fans VS Pirates Fans ZONE
PREMIER SOCCER LEAGUE (EPL) (UCL) (CAF)
Se connecter à Facebook | Facebook
mkuuu samahani nitumie namba zako PM kuna Kitu nahitaji tuongee samahani lakiniadsense waiskie tu...zile nguo tunazonunua kwa mbwembwe tarehe 22 huwa zinachakaa kwenye kiti tunachokalia masaa 18 tunavyoshare posti
mkuu nataka ninunue hizo muvi zote kwenye site yako... jumla bei gani mzee mbabu, nishushie hesabu tufanye miamala, ,kaz kaz 😛😛😛😛😛😛 ndukiiiiiiiiiiii😱😱😱😱😱mkuuu samahani nitumie namba zako PM kuna Kitu nahitaji tuongee samahani lakini
nulize hapa iwe faida kwa wotemkuuu samahani nitumie namba zako PM kuna Kitu nahitaji tuongee samahani lakini
h inabidi uwe na fb accounts nyingi na kula fb account iwe na page moja unayotumia kupost kwenye magroup, nashauri kwa page moja post mara 8 tu kwenye magroup tofauuti kila baada ya dakika 10....Hapo kwenye red unamaana uwe na more than one fb page au fb Account?
Kama ni account unashaur ziwe ngapi?
no sio swali mkuu na bali nahitaji kudhibitisha kitunulize hapa iwe faida kwa wote
Mkuu nunua moja moja aiseemkuu nataka ninunue hizo muvi zote kwenye site yako... jumla bei gani mzee mbabu, nishushie hesabu tufanye miamala, ,kaz kaz 😛😛😛😛😛😛 ndukiiiiiiiiiiii😱😱😱😱😱
nataka zote mzee babu... chakarika......😱😱 najua vyuma vimekaza nataka nikulegezee kidogo mzeeMkuu nunua moja moja aisee
Mdau Mimi nahitaji Adsense accountnulize hapa iwe faida kwa wote
ukinipa 20,000 sio mbayanataka zote mzee babu... chakarika......😱😱 najua vyuma vimekaza nataka nikulegezee kidogo mzee
ipo ukuje na 105,000/tsh za kitanzania......upate mzigo wa uhakika..Mdau Mimi nahitaji Adsense account
nini sasa😱😱😱😵😵😵