Bloggers wenzangu nahitaji msaada wenu

Sam Jr official

Senior Member
Dec 21, 2017
108
100
Habarini wadau
Mimi ni kijana mwenye degree ya IT, nilikuwa nikifanya kazi kampuni ya wiafrica au cootel, sasa nimefukuzwa na ni mgonjwa nyumbani na kodi ya nyumba inanisubiri.

Na chanzo cha mapato nlichonacho kwa sasa ni blog tu,lkn blog inanipa changamoto kila nikijitahidi napata usd $ 2-5, naombeni msaada wenu wa kimawazo ili niweze kuongeza mapato ya blog, yaani niweze kuendana na hii hali.
Nitashukuru sana kwa atayeweza kunisaidia hii ishu asap
 
Pole kwa kufukizwa kazi WiAfrika ila nachojua hukufukuzwa mwenyew(mlipunguzwa wengi )kulingana na hali ilivyo kiasi hata mishahara kwa sasa inachelewa sana ....

Jitahid kutafuta habari zenye ushawish mkubwa ,makala zenye kuhamasisha vijana kupitia blog yako fungua page ya insta iwe na vitu unque uitangaze blog yako ..omba shotout kwa acc kubwa za insta na fb itakusaidia sana .. Toa ofa ya matangazo ya bure hakika amin utafanikiwa

*ukichanganya tu kuweka blog yako hapa huu uzi utafutwa fasta
 
ulifanya uhuni gani huko kazini mpaka ukafukuzwa kazi???? Nidhamu ni muhimu sana katika kazi... Hata kwenye blogging usipokua makini utafukuzwa(disabled)... Take my words.. ovaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Toa pesa upate pesa.
Andika good quality content, share facebook na mitandao mbali mbali ya kijamii. Pia unatakiwa una promote au una boost post kwa targeted contry ambayo wanalipa kiwango kikubwa katika CPM. Itakusaidi.
Pia tafuta magroup yenye watu wengi, ongea na admin (mpe hela) hakufanye moderator uwe unashare post kwenye group lake au hata awe ana share post zako kwa makubaliano (Kulipia kwa muda flani).
Note: Ili upate pesa lazima utoe pesa.
 
jamaa hana kitu kafukuzwa kazi.. msaidieni bure na Mungu atawabariki.. Amiiiiiiiiiiiiiiiiin o_Oo_O:eek::eek:
 
Ni kweli sema wengi ma group admin wenye magroup yenye watu wengi, wengi wanataka walipwe coz wametumia nguvu nyingi na time plus pesa kutengeneza big community hivyo wanataka waone matunda yake. Nimesema kwa uzoefu wangu tu coz nishawahi kuwa face about promo wakasema promo inalipiwa. Ninge kuwa na empire kubwa ninge mualika.
 
ok ngoja wenye empire kubwa wakuje..;);)
 
Hiyo blog yao unapost lugha gani? kiswahili au? na content yako imebase kwenye nini entertainment au General? unatumia google adsense au kampuni gani? unapost mwenyewe manually au umeset Autoblogging?
 
upload_2017-12-30_20-22-33.png

Tatizo bloggers wengi wwa kibongo wana "work hard" na sio ku "work smart", Hata upate watembeleaji laki wa bongo unaweza kuambulia dola 20 tu kwa sababu katika hao watembeleaji laki wataoclick tangazo watakua wachache sana maana matangazo mengi ni ya kiingereza ambacho wabongo hatukitumii na hapo ukipata clicks chache za tangazo la adsense r.p.m inakuwa hovyo sana licha ya cpc ya bongo ni bei ya mabua!!!.

Hangaika na Traffic ya South Africa, Tengeneza facebook page then share post zako zenye link ya vlog yako kweye magrouop ta wasauzi, mie nmewawekwa machache kama haya , Tengeneza page then kwa kila page share kwenye magroup saba hivi maana ukizidisha unafungiwa account na fb....Kama unavyoona pichani watembeleaji haa hawafiki elfu mbili ila mpunga uliopatikana ni takribani 220,000/ tshs tena hio ni siku moja tu
 
View attachment 663852

Tatizo bloggers wengi wwa kibongo wana "work hard" na sio ku "work smart", Hata upate watembeleaji laki wa bongo unaweza kuambulia dola 20 tu kwa sababu katika hao watembeleaji laki wataoclick tangazo watakua wachache sana maana matangazo mengi ni ya kiingereza ambacho wabongo hatukitumii na hapo ukipata clicks chache za tangazo la adsense r.p.m inakuwa hovyo sana licha ya cpc ya bongo ni bei ya mabua!!!.

Hangaika na Traffic ya South Africa, Jiunge facebook pages za south AFrica kama hizi , Tengeneza account tano za fb then kwa kila account share kwenye magroup saba hivi maana ukizidisha unafungiwa account na fb....Kama unavyoona pichani watembeleaji haa hawafiki elfu mbili ila mpunga uliopatikana ni takribani 220,000/ tshs tena hio ni siku moja tu
hahaha... dollar tamu... :eek::eek:
 
Pole kwa kufukizwa kazi WiAfrika ila nachojua hukufukuzwa mwenyew(mlipunguzwa wengi )kulingana na hali ilivyo kiasi hata mishahara kwa sasa inachelewa sana ....

Jitahid kutafuta habari zenye ushawish mkubwa ,makala zenye kuhamasisha vijana kupitia blog yako fungua page ya insta iwe na vitu unque uitangaze blog yako ..omba shotout kwa acc kubwa za insta na fb itakusaidia sana .. Toa ofa ya matangazo ya bure hakika amin utafanikiwa

*ukichanganya tu kuweka blog yako hapa huu uzi utafutwa fasta
Thank you
 
Toa pesa upate pesa.
Andika good quality content, share facebook na mitandao mbali mbali ya kijamii. Pia unatakiwa una promote au una boost post kwa targeted contry ambayo wanalipa kiwango kikubwa katika CPM. Itakusaidi.
Pia tafuta magroup yenye watu wengi, ongea na admin (mpe hela) hakufanye moderator uwe unashare post kwenye group lake au hata awe ana share post zako kwa makubaliano (Kulipia kwa muda flani).
Note: Ili upate pesa lazima utoe pesa.
That's really
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom