bunyebunye
JF-Expert Member
- Apr 12, 2013
- 530
- 677
Salaam kwenu Wakuu.
Nimekuja kwenu bloggers naomba msaada wa mawazo nifanye nini ili niweze kupata viewers kuanzia 1000 na kuendelea kkwa siku. Nina blog yangu ya blogspot ambayo nimeiunganisha na propeller, na huwa nashare South Africa lakini traffic kwangu bado ni tatizo.
Jamii.JPG
Kama unavyoona pichani account yangu ya propeller ina $12.4 ambayo nimeipata kwa kushare kwenye grupu kwa kutumia account za FB 5, nilipata changamoto juzi baada ya account zangu kuwa restricted kupost kwenye groups ndiyo maana nikastop kushare. Kwasasa niko naongeza account walau nipate account 15 za fb ili nianze kazi tena.
Hivyo naomba ushauri kwenu wakuu, nitumie mbinu gani ili niweze kupata viewers zaidi ya 1000 kwa siku ili niweze kulaza walau $4 au 5.
Nawasilisha