I feel good
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 1,739
- 3,141
Naona leo upo unakatiaMara acha pombe utafanikiwa , mara achana na mademu utafanikiwa , mara acha kula na kunywa , sijui na taka taka nyingine za kijinga jinga .
Hatuhitaji jamii ya aina hii kwenye kizazi hiki ili kufanikiwa kiuchumi gademitt.