Bla-bla za Watanzania ndani ya JamiiForums

Kila mtu ashinde mechi zake, mwemye kulewa pombe alewe, mwenye kulewa wanawake/wanaume aachwe alewe.

Lakini mwenye kutoa ushauri atoe tu, unaweza usiwe msaada kwako mleta mada, ila ukawa na manufaa kwa mwingine, huenda hata sio kizazi hiki, kijacho huko.
 
Ni kweli bwashee ila hawa nyumbu wanachora red line kipumbavu sana
 
Huenda wanachora kwa uzoefu wao, sio mbaya wala! Waachwe wachore red line, inaweza kuwa turning point kwa baadhi ya waty. Kuna watu wana uraibu wa ngono, pombe, nyeto, nk wanahitaji constant counselling, hujui nani ataluwa msaada kwa wakati upi.
 
Seran nasubiri mchongo wako
Huu hapa!
1781460030948.gif
 
Back
Top Bottom