Pombe sio lazima kunywaHauwezi changanya na zako kama haunywi pombe
Agiza Safari lager km 6 zile kubwa kwenye bucket kisha mwambie muhudumu hela utalipa mwenyewe ukishaanza kulewaHatuhitaji jamii ya aina hii kwenye kizazi hiki ili kufanikiwa kiuchumi gademitt.
Lakini chakula ni lazima tuleYeah sio lazima
Mashirima hataki kusikia habari zako🤣Pampula msalimie mashirima 😅
Yote heri tuYeah , sasa kuna sisi tuna kula na kunywa
Naandika nyuzi kila siku ila kwa I'd hii naandika nimelewa , umeshaelewa bwashee?Aliyekufundisha jinsi gan ya kuanzisha nyuzi jamiiforum akamatwe sasa maana zaman bwana mdogo ulikuwa hujui hata kuandika tulipumua sana
Ila ona sasa hivi sasa
Mara acha pombe utafanikiwa , mara achana na mademu utafanikiwa , mara acha kula na kunywa , sijui na taka taka nyingine za kijinga jinga .
Hatuhitaji jamii ya aina hii kwenye kizazi hiki ili kufanikiwa kiuchumi gademitt.
Kama unaimudu pombe usiachee, mademu wachakate tu alafu kaoge na chumvi ya mawe nuksi zote kwishaa!Mara acha pombe utafanikiwa , mara achana na mademu utafanikiwa , mara acha kula na kunywa , sijui na taka taka nyingine za kijinga jinga .
Hatuhitaji jamii ya aina hii kwenye kizazi hiki ili kufanikiwa kiuchumi gademitt.