thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,256
- 9,085
Akikujubu fasaha nitagUmesema "kinyume na sheria"?
Sheria gani hiyo? Hebu tupatie nakala yake!
Akikujubu fasaha nitagUmesema "kinyume na sheria"?
Sheria gani hiyo? Hebu tupatie nakala yake!
Kwani amekuwa removed au kapewa majukumu yanayofanana na yenye terms za utumishi zilezile.Aliyempa ajira ndiye aliyempa majukumu hayo.Mbona mwenda zake alimstaafisha Assad kwa conditions hizo hizo zinazofanana?Kusema kweli baadhi ya viongozi kama hawa wamekosa public trust baada ya ile butter trade kufanyika na kuleta sintafahamu kwa wananchiHuna akili. Wewe ni goigoi usiefuatilia masuala.Unaelewa kuwa kuna sheria ambayo inazuia DPP kuondolewa kwenye nafasi yake labda awe anaumwa na kushindwa majakumu yake au labda awe amefanya serious crime?
Huyo DPP ameondolewa kwa mujibu wa sheria hiyo?Wewe ni ngumbaru sawa na aliemuondoa DPP kwenye nafasi yake bila ya kuzingatia sheria.Tanzania karibia kila mtu ni goigoi kuanzia wananchi wa kawaida hadi viongozi wakubwa. What a shame!
View attachment 1783057View attachment 1783058
Sasa hivi Biswalo ni DPP?Kwani amekuwa removed au kapewa majukumu yanayofanana na yenye terms za utumishi zilezile.Aliyempa ajira ndiye aliyempa majukumu hayo.Mbona mwenda zake alimstaafisha Assad kwa conditions hizo hizo zinazofanana?Kusema kweli baadhi ya viongozi kama hawa wamekosa public trust baada ya ile butter trade kufanyika na kuleta sintafahamu kwa wananchi
Siyo mimi nimeeleza.Nilichosema ni sheria ambayo ilitungwa kipindi cha Magufuli akiwa hai na sheria hiyo nimeambatanisha kwenye nilichoandika.Zipo sheria nyingi sana za kushangaza sana ambazo zilitungwa wakati wa Magufuli na watu wengi wala hawazijui kwa sababu hawafuatilii yanayoendelea nchini kwao.Kwahiyo DPP akishachaguliwa nje na ulichoeleza ni lazima afie kwenye ofisi?,kinachowakondesha ni yeye kupata promo ,kama kazi nzuri kafanya kwanini asipewe promo?
KWA HIYOWatu hawana shida na majukumu ya DPP,, bali wanashida na utendaji wake. Wanamtuhumu kwa kuwabambikia watu kesi.
Wanmtuhumu kujivika madaraka ya kupokea fine na kuziweka kwenye account yake kinyume cha sheria (Ufisadi).
Tuhuma hizi zipo mitandaoni wengi tumeziona, tungefurahi hizi tuhuma ungezijibu. Lakini ukituhumu wanaokutuhumu haikusafishi wewe, bali inaleta shaka zaidi kuwa pengine ni kweli uliyafanya haya.
Mnaanza kupaniki? Hatuwezi kuweka hapa subiri wakati mwafakaTuambie walikotunza hizo fedha za ziada kuliko kilichoandikwa,kama hujui zilipo wewe ni mpumbavu
UNACHOYO, MAONO MAFUPI NA AKILI MBOVUSiyo mimi nimeeleza.Nilichosema ni sheria ambayo ilitungwa kipindi cha Magufuli akiwa hai na sheria hiyo nimeambatanisha kwenye nilichoandika.Zipo sheria nyingi sana za kushangaza sana ambazo zilitungwa wakati wa Magufuli na watu wengi wala hawazijui kwa sababu hawafuatilii yanayoendelea nchini kwao.
Low mind from empty IQ.Hii "Jamuhuri ya mitandao" ina vichekesho vingi sana na vya kusisimua.
Kelele ni nyingi sana kwenye Jamuhuri hii ya mitandao.
Mpaka sasa wamempachika DPP shutuma nyingi ikiwemo kubambikia watu kesi na kudhulumu fedha.
Sifahamu kama wanaoyasema hayo ni wahanga wa mkono wa DPP ama ni wafuasi tu wa Twitter na Facebook.
Lakini kwa vyovyote vile, naamini wengi wao ni wafuasi tu wa mitandaoni.
Humu mitandaoni kuna wajuaji wengi sana. Lakini bahati nzuri ni wajuaji wasiojua kitu.
Hata waliofeli fom foo, nao wanamuelekeza DPP jinsi ya kufungua mashtaka na kufanya kazi zake.
DPP ni ofisi yenye watu na mifumo ya uendeshaji wa mashtaka.
Kila faili la mashtaka ya jinai linalokuja mezani kwa DPP lina mlolongo mrefu kutoka TAKUKURU, POLISI, TISS na kwingineko.
Kazi ya DPP sio kuamka tu na kubambikiza watu kesi. Kuna prosecutorial process.
Hawa wajuaji wa mitandaoni wanaojivika ujuvi wasiokuwa nao, ni genge tu la wafuasi wasiojitambua.
Katika miaka mitano, tumeshuhudia jinsi mafisadi yalivyobinywa na kushughulikiwa.
Wauza ngada, majangili, wakwepa kodi na wezi wa mali ya umma walinyooka kama rula.
Haya majizi kwa vyovyote vile yana wafuasi mitandaoni.
Sitarajii kuona majizi haya yakifurahia kazi njema ya DPP.
Vinginevyo watuambie, kibaya ni kipi hasa alichokifanya DPP.
Kama kushughulikia majizi ni "jambo baya", basi hewala. Na iwe hivyo!
Mashtaka fake ndio yakoje?mtu aliyeandika mashataka fake
Kwahiyo tutakuwa na Judge aliyewahi kudhulumu haki za watuAlikuwa anadhulumu tu kwa vile Meko alimtuma. Lakini duniani hakuna Olea bargain inayofanyika nje ya Mahakama.
Ukiwa muuza ngada utakamatwa muda huo huo bila kusubiri.Ni uwendawazimu, kuwakamata watu, kuwaweka ndani kwa miaka, kila wakati kueleza kuwa eti uchunguzi haujakamilika
Wewe maono yako marefu ni yapi?UNACHOYO, MAONO MAFUPI NA AKILI MBOVU
Mungu wangu! Huyu naye yumo humu JF! Mbona sasa kaja jukwaani akiwa amesahau akili kijiweni alikokuwa? Hata kama mmetoka wote kanda ya ziwa, kanda ya mwendazake basi mje na akili JF.Hii "Jamuhuri ya mitandao" ina vichekesho vingi sana na vya kusisimua.
Kelele ni nyingi sana kwenye Jamuhuri hii ya mitandao.
Mpaka sasa wamempachika DPP shutuma nyingi ikiwemo kubambikia watu kesi na kudhulumu fedha.
Sifahamu kama wanaoyasema hayo ni wahanga wa mkono wa DPP ama ni wafuasi tu wa Twitter na Facebook.
Lakini kwa vyovyote vile, naamini wengi wao ni wafuasi tu wa mitandaoni.
Humu mitandaoni kuna wajuaji wengi sana. Lakini bahati nzuri ni wajuaji wasiojua kitu.
Hata waliofeli fom foo, nao wanamuelekeza DPP jinsi ya kufungua mashtaka na kufanya kazi zake.
DPP ni ofisi yenye watu na mifumo ya uendeshaji wa mashtaka.
Kila faili la mashtaka ya jinai linalokuja mezani kwa DPP lina mlolongo mrefu kutoka TAKUKURU, POLISI, TISS na kwingineko.
Kazi ya DPP sio kuamka tu na kubambikiza watu kesi. Kuna prosecutorial process.
Hawa wajuaji wa mitandaoni wanaojivika ujuvi wasiokuwa nao, ni genge tu la wafuasi wasiojitambua.
Katika miaka mitano, tumeshuhudia jinsi mafisadi yalivyobinywa na kushughulikiwa.
Wauza ngada, majangili, wakwepa kodi na wezi wa mali ya umma walinyooka kama rula.
Haya majizi kwa vyovyote vile yana wafuasi mitandaoni.
Sitarajii kuona majizi haya yakifurahia kazi njema ya DPP.
Vinginevyo watuambie, kibaya ni kipi hasa alichokifanya DPP.
Kama kushughulikia majizi ni "jambo baya", basi hewala. Na iwe hivyo!
Si ndiye huyu aliyesema waziwazi kwamba anamtafutia kesi Lema baada ya Lema kulalamika kuuawa kwa wafuasi na viongozi wa Chadema kule Singida?Hata yeye amewahi kusema hadharani kwamba anauwezo wa kumpa kesi mtu yoyote na asifanywe kitu
Ni yeye ni mhuni sanaSi ndiye huyu aliyesema waziwazi kwamba anamtafutia kesi Lema baada ya Lema kulalamika kuuawa kwa wafuasi na viongozi wa Chadema kule Singida?
Huyu jamaa wakati wote alijiona ni MUNGU mtu. Alitumia ofisi yake na madaraka yake kutisha watu. Aliwahi kumwambia Lema kuwa anamtafutia kesi isiyo na dhamana.Hii "Jamuhuri ya mitandao" ina vichekesho vingi sana na vya kusisimua.
Kelele ni nyingi sana kwenye Jamuhuri hii ya mitandao.
Mpaka sasa wamempachika DPP shutuma nyingi ikiwemo kubambikia watu kesi na kudhulumu fedha.
Sifahamu kama wanaoyasema hayo ni wahanga wa mkono wa DPP ama ni wafuasi tu wa Twitter na Facebook.
Lakini kwa vyovyote vile, naamini wengi wao ni wafuasi tu wa mitandaoni.
Humu mitandaoni kuna wajuaji wengi sana. Lakini bahati nzuri ni wajuaji wasiojua kitu.
Hata waliofeli fom foo, nao wanamuelekeza DPP jinsi ya kufungua mashtaka na kufanya kazi zake.
DPP ni ofisi yenye watu na mifumo ya uendeshaji wa mashtaka.
Kila faili la mashtaka ya jinai linalokuja mezani kwa DPP lina mlolongo mrefu kutoka TAKUKURU, POLISI, TISS na kwingineko.
Kazi ya DPP sio kuamka tu na kubambikiza watu kesi. Kuna prosecutorial process.
Hawa wajuaji wa mitandaoni wanaojivika ujuvi wasiokuwa nao, ni genge tu la wafuasi wasiojitambua.
Katika miaka mitano, tumeshuhudia jinsi mafisadi yalivyobinywa na kushughulikiwa.
Wauza ngada, majangili, wakwepa kodi na wezi wa mali ya umma walinyooka kama rula.
Haya majizi kwa vyovyote vile yana wafuasi mitandaoni.
Sitarajii kuona majizi haya yakifurahia kazi njema ya DPP.
Vinginevyo watuambie, kibaya ni kipi hasa alichokifanya DPP.
Kama kushughulikia majizi ni "jambo baya", basi hewala. Na iwe hivyo!
Hivi maana ya dhuluma inayotumika hapa ndo wote tunaelewa hapa?!!Ndiyo maana tunasema hafai kuwa Jaji. Hiyo ni kufuru, mtu aliyeandika mashataka fake na kudhulumu fedha za watu leo hii anakwenda upande wa pili akaziamulie kesi alizowatungia.
Naungana na wadau wanaopendekeza kuwa iundwe Tume ya Kijaji ya kuchunguza mwenendo wake kama ile aliyoundiwa Jaji Mwakibete mwaka 1991
Kwahiyo ni hiyo conclusion.KWA HIYO
Kuondolewa ofisini na kuteuliwa kuwa judge ni vitu viwili tofauti na havihusiani kabisa.Jibu swali we mbwiga. Ameondolewa ofisini au ameteuliwa kuwq jaji? Weka kifungu kinachomzuia kuteuliwa kuwa jaji.