Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

Sawa utatukana upendavyo. Ila ukweli utabaki palepale, mbona umeficha jina lako na picha yako kama wewe ni msafi? unajificha kwanini? Je kuwa mwanachama wa chama fulani ni dhambi? mbona hujajibu Katiba Inayopendekezwa inamapungufu gani ya kuwakwaza Maaskofu?

Eti msafi, unaujua usafi wewe. NI KWELI UMEOA WAKE WAWILI? Neno linasemaje kuhusu ndoa na familia kwa maaskofu? Hebu jipime wewe ni Askofu kweli?
 
Nilichosema kwa kifupi Maaskofu hawawezi kubeba hoja za Waumini.

Hebu tukusikilize labda unahoja ya kutuelimisha.

Katiba iliyopo inaruhusu watu wachache kunyang'anya wengine ardhi na kuwapa wawekezaji. mfano wakati wa Mkapa watu wamefukuzwa wengine inasemekana wamekufa kahama walipozaliwa kisa pana dhahabu akapewa mgeni, watu wamefukuzwa geita, wamefukuzwa mererani na kwingineko. hata leo Waziri wa Nishati akishirikiana na waziri wa ardhi wanaweza kumfukuza yeyote na kumpa mwekezaji awe mzawa au kutoka nje. watu wanafukuzwa kigamboni n.k

umejipambanua kama Askofu nadhani nitakuwa sawa kuwa unapaswa kuwa mtetezi wa wanyonge kama Yesu ambaye hakunyamaza kimya wakati yule mwanamke alitaka kupigwa mawe.

embu tueleze, nini uzuri wa katiba hii pendekezwa kwenye swala la ardhi
 
Jibuni hoja acheni kubwabwaja

hakuna hoja ya kujibu hapo,hebu ona anasema katiba ni nzuri kisa kapewa uhuru wa kuhubiri,vp kuhusu wahubiriwa?Wako kwenye hali gani?Kuna haja ya waumini kususa kukuletea sadaka wewe.
 
Yaani unaongea matusi bila uwoga wowote hadi nakutambua wewe ni wale Waumini walioelemewa na mizigo ya dhambi. ndio maana hata nyumabni kwenu wanakuona hufai mapa wazizi wanatamani kukulaaani. Sioni shida ukitukana kwani siwezi kutengemea mdomo wa choo ukatoa harufu nzuri hata siku moja. Yalioujaza moyo wako ndio unayoyatoa. Hivyo unahakikishia uma kwamba wewe ni mtu usie na malezi mazuri,

Mpendwa baba Askofu Kama ulivyojiita, mbona unatumia lugha kali hivi tena. Mbona unamwambia kondoo ana mdomo wa CHOOOOO????!!!!! Tena wazazi wanatamani KUMLAANIIII???!!!! Kumbuka huu ni wakati wa PASAKA, Bwana wetu aliacha UTUKUFU Mbinguni akaja duniani kumkomboa mwenye dhambi ambae mmoja wao ni mimi na wewe. kulikoni KUMLAANIIII kondoo na wewe ni Askofu. Ungemalizia hata kwa neno la kumtoa hapo alipo na si kubishana Kama MATAIFA.

1 Timotheo 3:1-2
Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema. Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha; si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana,......

Ni hayo tuu!!!

Queen Esther
 
Nyambafu! Kama huna chakula njoo kwangu, njaa gani hii, kha!
 
Huyu naye kaona hilo baraza ndiyo la kulidhalilisha,viongozi wa TFC wanawawakilisha waumini zaidi ya milioni 15 Tanzania hii.Yeye anawawakilisha waumini wangapi? OGOPA NJAA INAPOTOKA TUMBONI IKAHAMIA KICHWANI MTU NA AKILI ZAKE HUWA ZINAHAMA KICHWANI,ANAWEZA KUANZA KUFIKILI KWA KUTUMIA VIONGO VINGINE VYA MWILI.Askofu acha siasa muogope Mungu wako.
 
Huyu askofu wa kanisa lake ye na mke wake hajulikani. Hana elimu. Ajifungie asitafute umaarufu kwa matamko ya maaskofu
 
Mpendwa baba Askofu Kama ulivyojiita, mbona unatumia lugha kali hivi tena. Mbona unamwambia kondoo ana mdomo wa CHOOOOO????!!!!! Tena wazazi wanatamani KUMLAANIIII???!!!! Kumbuka huu ni wakati wa PASAKA, Bwana wetu aliacha UTUKUFU Mbinguni akaja duniani kumkomboa mwenye dhambi ambae mmoja wao ni mimi na wewe. kulikoni KUMLAANIIII kondoo na wewe ni Askofu. Ungemalizia hata kwa neno la kumtoa hapo alipo na si kubishana Kama MATAIFA.

1 Timotheo 3:1-2
Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema. Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha; si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana,......

Ni hayo tuu!!!

Queen Esther

Huyo sio askofu bali tapeli mchumia tumbo.
 
Huyu askofu wa wapi tena? Mbona sijawahi kumsikia hata siku moja au na yeye ameona ndio fursa hii ya kutokea kwenye vyombo vya habari?
 
Huyu ni askofu wa kujipa ndiyo maana anasema uaskofu wake hauna kikomo. Nijuavyo mimi, maaskofu wateule huwa wana kikomo cha uongozi kama maaskofu. Lakini yeye wa kujipachika hatakuwa na kikomo. Tuwe makini sana na hawa mamluki wa Ccm kwa mgongo qa dini.
 
Huyu piusi ni kibaka tu wa mitaa ya kariakoo. Inaelekea waumini wake ni uvccm; na akina pauli makonda.
 
Hata hayawanii wataongea mwaka huu itategemea wamekula maharage ya aina gani
 
Bibilia inasema wasiohaki hukimbia na wala hakuna awafukuzae. Mimi nimeeleza hoja mbona wenzangu hajibu hoja bali kashfa, kebehi, mamaneno mengine mengi machafu. Je wale mnaodai mnanifahamu mbona nyie mmeficha Majina yenu, Picha zenu ni kwa nini? huoni kwamba kujificha kwenu yawezekana kunamaovu mengi mnayo na hamtaki kujulikana? jibuni hoja kwamba Nakataa katiba kwa sababu moja au zaidi. Nnje na hapo nyie ni washabiki tu, au kunaukweli umewauma.


Mkuu inawezekana wanaogopa msitu wa Mabwe Pande na kung'olewa kucha, umesahau ya Dr Uli. cha ajabu hata wewe avatar yako hakuna picha. Si unajua democracy kwa nchi za afrika ni ya unafiki, usipokuwa upande wa mtawala, unakuwa adui. Maana halisi ya kulinda identity za watu ni kulinda uhuru wa utoaji habari,na uhuru wa utaoji mawazo na sio kwa ajili ya juficha maovu.
 
Rushwa mbaya sana ,kama yuda alimsalisti kristo yesu kwa vipande thelathini,tuone mwisho wa muvi hizi
 
Mpendwa baba Askofu Kama ulivyojiita, mbona unatumia lugha kali hivi tena. Mbona unamwambia kondoo ana mdomo wa CHOOOOO????!!!!! Tena wazazi wanatamani KUMLAANIIII???!!!! Kumbuka huu ni wakati wa PASAKA, Bwana wetu aliacha UTUKUFU Mbinguni akaja duniani kumkomboa mwenye dhambi ambae mmoja wao ni mimi na wewe. kulikoni KUMLAANIIII kondoo na wewe ni Askofu. Ungemalizia hata kwa neno la kumtoa hapo alipo na si kubishana Kama MATAIFA.

1 Timotheo 3:1-2
Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema. Basi imempasa askofu awe mtu asiyelaumika, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, ajuaye kufundisha; si mtu wa kuzoelea ulevi, si mpiga watu; bali awe mpole; si mtu wa kujadiliana,......

Ni hayo tuu!!!

Queen Esther

mbona yule kahaba gwajima amemtukana pengo na hamumsemi
 
Back
Top Bottom