Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

Mimi sijasema upige kura ya ndio unanisingizia. Nimesema Watu waisome kisha Mtu mwenyewe aamue anapiga kura ya namnagani.
 
Yaani unaongea matusi bila uwoga wowote hadi nakutambua wewe ni wale Waumini walioelemewa na mizigo ya dhambi. ndio maana hata nyumabni kwenu wanakuona hufai mapa wazizi wanatamani kukulaaani. Sioni shida ukitukana kwani siwezi kutengemea mdomo wa choo ukatoa harufu nzuri hata siku moja. Yalioujaza moyo wako ndio unayoyatoa. Hivyo unahakikishia uma kwamba wewe ni mtu usie na malezi mazuri,

Askofu njaa hapa hutushawishi lolote zaidi ya kura ya HAPANA kwa katiba mpya....

Aheri alemewaye na dhambi bwana Yesu atamtua kuliko wewe uliyelemewa na njaa na unayetumia tumbo kufikiri....
 
Asante. Nashukuru Mdomo wako Umetamka YESU. Sasa kwakuwa umetamka Yesu Kwa kutumia mdomo wako basi linda usitamke tena matusi. Na Bwana Yesu Uliye mtamka atakusaidia na jua unamatatizo mengi na unahitaji Bwana Yesu Akusaidie.
 
Hatuwezi kwenda kinyume na msimamo au tamko la Jukwaa la Wakristo.Hata kama tuna maslahi binafsi.
 
Narudia kusema tena labda ulikuwa na hasira, Nimesema kwa kipengele cha kuhubiri Neno la Mungu Imewapa Viongozi wa Dini uhuru mkubwa sana
 
Pius Erasto Ikongo ni kada wa CCM aliyegombea ubunge jimbo la Moshi mjini katika kura za maoni akashindwa. Huyu Bwana sio Askofu na ni mpendekoste aliyeasi. Alimtelekeza mke hapa Moshi na kwenda kuoa mwingine huko Dar_Es-Salaam. Ukitaka ushahidi kaulize katika kanisa la TAG Soweto kwa Mchungaji Bukuku. Nia yake kwa sasa ni moja tu! Kujaribu kila awezalo kuvuruga CPCT- Council of Pentecostal Churches of Tanzania. Na nia yake ya pili ni kujipendekeza kwa CCM na serikali ili angalao wamkumbuke hasa katika vyeo kama uDC au mafungu ya Kampeni. Mtu akishaasi anakuwa hatari sana. Naomba ajiutokeze kupinga kuwa hajatelekeza mke na mtoto Moshi nami nitakuja na ushahidi wa picha za Arusi zake mbili. Wapentekoste hawaruhusu mtu kuacha mke kwa sababu yoyote! Huyu si mpetekoste bali tapeli hatari sana!!!
 
Asante. Nashukuru Mdomo wako Umetamka YESU. Sasa kwakuwa umetamka Yesu Kwa kutumia mdomo wako basi linda usitamke tena matusi. Na Bwana Yesu Uliye mtamka atakusaidia na jua unamatatizo mengi na unahitaji Bwana Yesu Akusaidie.

Wewe ndo unamatatizo zaidi yangu.

1. HUJITAMBUI: umekuja hapa unasema hupigi kampeni Mara ooh kazi ya maaskofu ni kutunza neno la mungu mbona wewe unaipigia debe katiba pendekezwa? sasa Kama wao wameipinga na wewe unaikubali utawakosoa vipi wao?

hebu jisome hapa

Askofu Pius Ikongo 23:35 Yesterday said:
Sawa mimi ninaesema katiba inayopendekezwa
ni nzuri sana kwa Wahubiri wa Injli kwakuwa
imetoa uhuru mkubwa wa kuhubiri Neno la
Mungu popote unapotaka kwenda. unaniita
shetani naomba ueleze katiba nzuri ulioitaka ni
ipi? au wewe ni wazile dini zisizo hubiri nini?
Hapo unajaribu kuongea nini?

Wewe ni mchumia tumbo uliyejificha kwenye kichaka cha dini huna lolote....
 
Sawa utatukana upendavyo. Ila ukweli utabaki palepale, mbona umeficha jina lako na picha yako kama wewe ni msafi? unajificha kwanini? Je kuwa mwanachama wa chama fulani ni dhambi? mbona hujajibu Katiba Inayopendekezwa inamapungufu gani ya kuwakwaza Maaskofu?
 
Uhuru wa kuabudu sio maslahi binafsi, Ebu nijibu unamfahamu mwenyekiti wa hilo Jukwaa la Wakristo?

Ha ha ha Askofu njaa angalia USO ulivyovimba unaonekana umeshiba mapato ya utapeli na aibu!!!!

Kumbe umeacha mke huko moshi ukaja kuoa tena DSM ndo ukristo gani huo mtumishi? wewe ni joka tu mfano Wa chatu mwenye njaa na tamaa ya PESA!!!!

hebu soma ushuhuda huu juu yako:

Pius Erasto Ikongo ni kada wa CCM aliyegombea
ubunge jimbo la Moshi mjini katika kura za maoni
akashindwa. Huyu Bwana sio Askofu na ni
mpendekoste aliyeasi. Alimtelekeza mke hapa
Moshi na kwenda kuoa mwingine huko Dar_Es-
Salaam. Ukitaka ushahidi kaulize katika kanisa la
TAG Soweto kwa Mchungaji Bukuku. Nia yake
kwa sasa ni moja tu! Kujaribu kila awezalo
kuvuruga CPCT- Council of Pentecostal Churches
of Tanzania. Na nia yake ya pili ni kujipendekeza
kwa CCM na serikali ili angalao wamkumbuke
hasa katika vyeo kama uDC au mafungu ya
Kampeni. Mtu akishaasi anakuwa hatari sana.
Naomba ajiutokeze kupinga kuwa hajatelekeza
mke na mtoto Moshi nami nitakuja na ushahidi
wa picha za Arusi zake mbili. Wapentekoste
hawaruhusu mtu kuacha mke kwa sababu yoyote!
Huyu si mpetekoste bali tapeli hatari sana!!!

Siku nyingine usirudie kuja kutuchezea watu wenye akili zetu huu ujinga wapelekee misukule yako unayoilisha uchafu mnafiki mkubwa wewe.
 
Sawa utatukana upendavyo. Ila ukweli utabaki palepale, mbona umeficha jina lako na picha yako kama wewe ni msafi? unajificha kwanini? Je kuwa mwanachama wa chama fulani ni dhambi? mbona hujajibu Katiba Inayopendekezwa inamapungufu gani ya kuwakwaza Maaskofu?

Wewe huna hadhi hata yakuwaongelea maaskofu....

Askofu mzima umetelekeza mke? ndoa mbili? nani kakupa uaskofu??

Ondoa kwanza boriti la jicho lako.....
 
Pius Erasto Ikongo ni kada wa CCM aliyegombea ubunge jimbo la Moshi mjini katika kura za maoni akashindwa. Huyu Bwana sio Askofu na ni mpendekoste aliyeasi. Alimtelekeza mke hapa Moshi na kwenda kuoa mwingine huko Dar_Es-Salaam. Ukitaka ushahidi kaulize katika kanisa la TAG Soweto kwa Mchungaji Bukuku. Nia yake kwa sasa ni moja tu! Kujaribu kila awezalo kuvuruga CPCT- Council of Pentecostal Churches of Tanzania. Na nia yake ya pili ni kujipendekeza kwa CCM na serikali ili angalao wamkumbuke hasa katika vyeo kama uDC au mafungu ya Kampeni. Mtu akishaasi anakuwa hatari sana. Naomba ajiutokeze kupinga kuwa hajatelekeza mke na mtoto Moshi nami nitakuja na ushahidi wa picha za Arusi zake mbili. Wapentekoste hawaruhusu mtu kuacha mke kwa sababu yoyote! Huyu si mpetekoste bali tapeli hatari sana!!!

Ahsante mkuu kwa kumuumbua huyu msakatonge.
 
Askofu Pius Ikongo rudi tena mbona umekimbia?

Nani aliye kurogaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa??

Kama Una kasimu kako sasa rekodi ukawaambie

Nani aliyekurogaaaaaaAAAAAAAAAAA?

mchumia tumbo fulani usiyefaa fulani

Nani aliyekurogaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa?
 
Last edited by a moderator:
Mwacheni huyu..Wacha nikamwitie Gwajima (aka Mzee wa Ufufuo na Uzima) aje ahangaike nae huyu msaliti mwingine ....sijui nae amekula nini huyu ? Sijui alikula maharagwe yake akavimbiwa kama yule mwingine aliyebezwa...sasa anabwabwaja kwa staili yake naye🙂 teh teh!
 
Back
Top Bottom