Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

Komando Kipensi

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
334
Reaction score
59
Askofu piusi erasto amefanya press conference leo habari maelezo akitoa msimamo wake kutofautiana na maaskofu kuhusu katiba Katiba ni nzuri anatoa uhuru wa kuabudu maaskofu katiba hii inaruhusu sisi kuhubiri injiri

Kwa mjiby wa Ibarra ya 41(1) katiba hii inaturusu maaskofu kuhubiri injiri bila kikwazo
Nasikitika wanaingilia waumini mambo ya ukomo wa ubunge madaraka ya uraisi hayatuhusu sisi. ....

Unakuta askofu mzima anaipinga katiba eti ni mbaya kisa haina ukomo wa wabunge ukimuuliza wewe askofu ukomo wako wa madaraka ya uaskofu ni lini atakuambia yeye ni askofu wa kudumu. ...kwa nini anaingilia ukomo wa nafasi za wengine wakati nafasi yake haina ukomo. ... maandiko yanesema usitoe kibanzi kwenye jicho la mwenzio wakati jicho lako lina borit....

Kuhusu madaraka ya raisi,mambo ya wakulima muundo wa muungano Askofu ikongo anasema waachiwe waumini ambao ni ukawa ni ccm na wasio na chama
Sisi maaskofu tubebe neno la MUNGU katiba hii ni nzuri saana kwa sababu imeBEBA uhuru wa kutangaza dini jambo ambalo maaskofu tulipasa tulipongeze na kuinadi katiba. ...
attachment.php

Tamko la askofu La Piusi Ikongo

1427895380572.jpg

Picha ya askofu ikongo wa PENTEKOSTE PASTARS FELLOWSHIP
Mwenyekiti wa PPFT
 

Attachments

  • 1427894563059.jpg
    1427894563059.jpg
    78.9 KB · Views: 8,356
Kama ni rahisi namna hii kuwa Askofu, Mimi nataka kuwa MASIA maana mitume na manabii tunao wengi
 
Kibaraka mwingine huyo! Pentecostal Pastors Fellowship? Maajabu haya! Mwaka huu mtajipa vyeo mpaka basi!

Fellowship yake iko wapi, ni wa wapi huyu mbona hatumjui?
 
Ni zezeta pekee anaweza kumuunga mkono huyo Ikongo.Kwanza alishajiaibisha akipokuwa kwenye kipindi cha Baragumu Live Channel ten hivi karibuni baada ya kubwabwaja maneno aliposhindwa kujibu vizuri maswali aliyoulizwa siku hiyo.Kwanza alikiri wazi kuwa amewahi kugombea Ubunge kupitia CCM akashindwa.Kwahiyo inatoa picha ya wazi kuwa ni kada muaminifu wa CCM.
 
Mtu kashaingia kwenye payroll.............
 
Kuna askofu mmoja yuleeeeeee, sijui wa kanisa gani lileeeeee, kasema katiba ni ya vyamaaaaaaa! Hajui yuleeee, kwamba katiba inamuhusu kila mwananchiiiiiiii!
 
huyo namfaham vizuri ni taperi Wa kutupwa na mwanachama Wa ccm anataka kugombea jimbo la Kilosa hana hata sifa ya uaskofu kanisa limevamiwa

Kilosa hatuwezi kuongozwa na jitu jepesi kichwani kama ilo,Mkulo mwenyewe ameshaona mambo hayamuendei sawa na ni wazi hatogombea tena Kilosa
 
Back
Top Bottom