Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

Kura ni kupigiwa HAPANA tu,hayo matamko uchwara mengine havyatambui.
MATAMKO MAKINI TOKA KWA MAASKOFU MAKINI YANASOMWA MAKANISANI KILA JUMAPILI HUKU YAKIWA NA SAHIHI ZA VIONGOZI WETU MAASKOFU.
 
Huyu askofu ni shabiki wa CCM tu. Anadai katiba imetoa uhuru wa kuhubiri injili na kuabudu, kwani iliyopo haitoi uhuru huo?

Mkuu yani ukimuuliza mtetezi wa kitabu hiki cha Chenge akupe sababu ya kutetea katiba hii ya Chenge atakupa majibu ya kijinga yasiyovumilika
Eti mkulima unaambiwa pigia kura ya ndiyo kitabu cha chenge eti kwasababu kitabu hicho kimewatambua wakulima.
Hivi tangu lini wakulima hawajambuliwa hapa nchini?
Ni mjinga gani anayezani kuwa hicho kitabu cha chenge kinaweza kumsaidia mkulima kuishtaki serikali inaposhindwa kununua pamba za wakulima kwa bei stahiki?
 
Kama ni rahisi namna hii kuwa Askofu, Mimi nataka kuwa MASIA maana mitume na manabii tunao wengi

Hahahahahaaa,Mkuu umenivunja mbavu na kama ulikuwa sambamba na mimi,maana hata mimi nilishafikiria nije kuwa Masia maana naona Maaskofu njaa na uchwara wapo wengi sana labda nikiwa Masia itasaidia kuwapunguza kazi na upumbavu wao. Eti huyu nae ni Askofu,ukimuuliza huo Askofu aliupataje au nani alimpa anapotea mazima,ifike kipindi Watanzania/wakristo tuwakatae hawa Askofu njaa kwa kutokwenda kwenye Mazizi yao ya utapeli.
 
Askofu piusi erasto amefanya press conference leo habari maelezo akitoa msimamo wake kutofautiana na maaskofu kuhusu katiba Katiba ni nzuri anatoa uhuru wa kuabudu maaskofu katiba hii inaruhusu sisi kuhubiri injiri

Kwa mjiby wa Ibarra ya 41(1) katiba hii inaturusu maaskofu kuhubiri injiri bila kikwazo
Nasikitika wanaingilia waumini mambo ya ukomo wa ubunge madaraka ya uraisi hayatuhusu sisi. ....

Unakuta askofu mzima anaipinga katiba eti ni mbaya kisa haina ukomo wa wabunge ukimuuliza wewe askofu ukomo wako wa madaraka ya uaskofu ni lini atakuambia yeye ni askofu wa kudumu. ...kwa nini anaingilia ukomo wa nafasi za wengine wakati nafasi yake haina ukomo. ... maandiko yanesema usitoe kibanzi kwenye jicho la mwenzio wakati jicho lako lina borit....

Kuhusu madaraka ya raisi,mambo ya wakulima muundo wa muungano Askofu ikongo anasema waachiwe waumini ambao ni ukawa ni ccm na wasio na chama
Sisi maaskofu tubebe neno la MUNGU katiba hii ni nzuri saana kwa sababu imeBEBA uhuru wa kutangaza dini jambo ambalo maaskofu tulipasa tulipongeze na kuinadi katiba. ...
attachment.php

Tamko la askofu La Piusi Ikongo

View attachment 239683

Picha ya askofu ikongo wa PENTEKOSTE PASTARS FELLOWSHIP
Mwenyekiti wa PPFT

Tamko lake mwenyewe, maana haonyeshi hata hao mapastawake walikaa pamoja na kuamua kutoa hiyo preas
 
Mkuu yani ukimuuliza mtetezi wa kitabu hiki cha Chenge akupe sababu ya kutetea katiba hii ya Chenge atakupa majibu ya kijinga yasiyovumilika
Eti mkulima unaambiwa pigia kura ya ndiyo kitabu cha chenge eti kwasababu kitabu hicho kimewatambua wakulima.
Hivi tangu lini wakulima hawajambuliwa hapa nchini?
Ni mjinga gani anayezani kuwa hicho kitabu cha chenge kinaweza kumsaidia mkulima kuishtaki serikali inaposhindwa kununua pamba za wakulima kwa bei stahiki?

Duh unahasira na hizo notes za Fisadi Chenge.Nadhani mpaka leo Sitta na Mafisadi wenzake hawalali usingizi.Sijuinkama wameiona Picha ya akina IGWEEEEE! Dakika tu SACCOS ya Nigeria imeji hukulia Nchi yao taratibu.....
 
Askofu piusi erasto amefanya press conference leo habari maelezo akitoa msimamo wake kutofautiana na maaskofu kuhusu katiba Katiba ni nzuri anatoa uhuru wa kuabudu maaskofu katiba hii inaruhusu sisi kuhubiri injiri

Kwa mjiby wa Ibarra ya 41(1) katiba hii inaturusu maaskofu kuhubiri injiri bila kikwazo
Nasikitika wanaingilia waumini mambo ya ukomo wa ubunge madaraka ya uraisi hayatuhusu sisi. ....

Unakuta askofu mzima anaipinga katiba eti ni mbaya kisa haina ukomo wa wabunge ukimuuliza wewe askofu ukomo wako wa madaraka ya uaskofu ni lini atakuambia yeye ni askofu wa kudumu. ...kwa nini anaingilia ukomo wa nafasi za wengine wakati nafasi yake haina ukomo. ... maandiko yanesema usitoe kibanzi kwenye jicho la mwenzio wakati jicho lako lina borit....

Kuhusu madaraka ya raisi,mambo ya wakulima muundo wa muungano Askofu ikongo anasema waachiwe waumini ambao ni ukawa ni ccm na wasio na chama
Sisi maaskofu tubebe neno la MUNGU katiba hii ni nzuri saana kwa sababu imeBEBA uhuru wa kutangaza dini jambo ambalo maaskofu tulipasa tulipongeze na kuinadi katiba. ...
attachment.php

Tamko la askofu La Piusi Ikongo

View attachment 239683

Picha ya askofu ikongo wa PENTEKOSTE PASTARS FELLOWSHIP
Mwenyekiti wa PPFT

Hii si kauli ya askofu bali ni kauli ya mtanzania aliyendani ya system iliyopo madarakani na anafaidika nayo.

Kila mtanzania mwenye akili timamu anajua wazi kwamba suala la katiba ni nyeti na linamgusa kila mtanzania kwa kila hali na mali. Katiba imetungwa na kuandikwa kihuni na kwa masilahi ya wachache sana. Kwa kifupi ni katika ya CCM na wala si wana CCM wote bali ni wana CCM walio madarakani tu. Haina uhalali wa kuitwa katiba ya Tanzania bali inafaa kuitwa ni katiba ya Chenge na kundi lake la mafisadi wasio na uchungu na Tanzania.
Huyu anayejiita askofu kama kweli anawapenda kondoo wake basi angewafundisha kuikataa na kuikimbia katiba inayopendekezwa kwani inataka kuwapeleka shimoni na motoni.
 
naomba kuuliza hivi huyu askof angemsifia gwajima au angesifia waraka wa maaskofu mngempa maneno gan?mngemuita majina gan?
 
Back
Top Bottom