Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

Kura ni kupigiwa HAPANA tu,hayo matamko uchwara mengine havyatambui.
MATAMKO MAKINI TOKA KWA MAASKOFU MAKINI YANASOMWA MAKANISANI KILA JUMAPILI HUKU YAKIWA NA SAHIHI ZA VIONGOZI WETU MAASKOFU.

we ni mchaga ee
 
Maaskofu wa serikali wakristu,tunawajua maaskofu wetu.huyo mwehu kapewa hela kaweka akili mfukoni.maisha yaendelee pumbafu huyo hajui ha ta sadaka zinategemea mfumo wa nchi na mfumo ukoje.
 
Maaskofu wa serikali wakristu,tunawajua maaskofu wetu.huyo mwehu kapewa hela kaweka akili mfukoni.maisha yaendelee pumbafu huyo hajui ha ta sadaka zinategemea mfumo wa nchi na mfumo ukoje.

ndo mlivo wachaga mtu akienda against na nyie mnashambulia yey mnaacha hoja,akili ndogo
 
Ni zezeta pekee anaweza kumuunga mkono huyo Ikongo.Kwanza alishajiaibisha akipokuwa kwenye kipindi cha Baragumu Live Channel ten hivi karibuni baada ya kubwabwaja maneno aliposhindwa kujibu vizuri maswali aliyoulizwa siku hiyo.Kwanza alikiri wazi kuwa amewahi kugombea Ubunge kupitia CCM akashindwa.Kwahiyo inatoa picha ya wazi kuwa ni kada muaminifu wa CCM.

Kumbe ni msakatonge tu wa kawaida. Shame on him.
 
Kibaraka mwingine huyo! Pentecostal Pastors Fellowship? Maajabu haya! Mwaka huu mtajipa vyeo mpaka basi!

Fellowship yake iko wapi, ni wa wapi huyu mbona hatumjui?

usiseme hatumjui dada semea nafsi yako
 
Sijui kumebaki jina gani ambalo tutajipachika. Pius Ikongo kawa askofu. Aksante ila, ka ni yule ninaye mfahamu fika, kama keshakuwa askofu mimi sijui nijiite nnani.
Arudi kwa Bwana, ni mwingi wa rehema, atamsamehe tu. Kongo, kumbuka kuwa hujui ya kesho. Umaarufu unaouhitaji utakaa nao muda gani?
Tumbo, halishibi wala halikumbuki jana. Umenunuliwa kwa ngapi? Au ni juice za Ikulu unazitafuta? Kanisa lako lipo wapi? Taja tu sehemu lilipo.
Kongo wa Pius, tangu lini askofu akawa kada wa chama flani? Je, kanisa lako ni la chama au la Mungu? Jamani, mwogopeni Mungu. Ama kweli, wanasema Dhambi kamwe haikai peke yake, lazima imkaribishe jirani. Unachokifanya Kongo wa Pius, ni zaidi sasa. Punguza speed, usiwabeze wapakwa mafuta wa Bwana kwa sababu umeona wamekunyamazia.
Pengo ni tofauti na weye, Pengo ni Mtanzania kamili weye ujichunguze kwanza kabla hujavua nguo kuoga.
Ni kaushauri tu. Usidanganyike ati ukitaka kufanikiwa njoo ccm. No, kila kitu kina ukomo wake.
 
Huyo ni askofu wa ccm kutoka lumumba na ndio kundi la wale batilii na ulimwengu mzima ukizungumzia tamko la maaskofu tz linatoka wapi ni jukwaa la wakristo.huyu mwehu tu ndio kundi lile la kamati ya amani linaandaliwa na sheik wa mkuu wa dsm bakwata na njaa zake.
 
Sijui kumebaki jina gani ambalo tutajipachika. Pius Ikongo kawa askofu. Aksante ila, ka ni yule ninaye mfahamu fika, kama keshakuwa askofu mimi sijui nijiite nnani.
Arudi kwa Bwana, ni mwingi wa rehema, atamsamehe tu. Kongo, kumbuka kuwa hujui ya kesho. Umaarufu unaouhitaji utakaa nao muda gani?
Tumbo, halishibi wala halikumbuki jana. Umenunuliwa kwa ngapi? Au ni juice za Ikulu unazitafuta? Kanisa lako lipo wapi? Taja tu sehemu lilipo.
Kongo wa Pius, tangu lini askofu akawa kada wa chama flani? Je, kanisa lako ni la chama au la Mungu? Jamani, mwogopeni Mungu. Ama kweli, wanasema Dhambi kamwe haikai peke yake, lazima imkaribishe jirani. Unachokifanya Kongo wa Pius, ni zaidi sasa. Punguza speed, usiwabeze wapakwa mafuta wa Bwana kwa sababu umeona wamekunyamazia.
Pengo ni tofauti na weye, Pengo ni Mtanzania kamili weye ujichunguze kwanza kabla hujavua nguo kuoga.
Ni kaushauri tu. Usidanganyike ati ukitaka kufanikiwa njoo ccm. No, kila kitu kina ukomo wake.

dada si ungeanza kumshaur gwajima
 
dada si ungeanza kumshaur gwajima

Ndg yangu kwanza nakusamehe tu bure. Ka uliwahi kukutana nami sjui lakini kuniita dada kwangu hilo ni tusi. Miye ni mume wa mke mmoja na familia yangu ya watoi 7, wameoa na kuolewa wengine sa ukiniita dada sijui nikueleweje.
 
Mi cha wabunge sijaona alipoandika kuhusu mambo ya ukomo ila mleta hoja kapika. Askofu huyu ndo wale wanaomiliki makanisa,hadi karatasi ya barua ina picha yake, nabii na askofu mkuu,sijui kasomea wapi zero huyu
 
Askofu piusi erasto amefanya press conference leo habari maelezo akitoa msimamo wake kutofautiana na maaskofu kuhusu katiba Katiba ni nzuri anatoa uhuru wa kuabudu maaskofu katiba hii inaruhusu sisi kuhubiri injiri

Kwa mjiby wa Ibarra ya 41(1) katiba hii inaturusu maaskofu kuhubiri injiri bila kikwazo
Nasikitika wanaingilia waumini mambo ya ukomo wa ubunge madaraka ya uraisi hayatuhusu sisi. ....

Unakuta askofu mzima anaipinga katiba eti ni mbaya kisa haina ukomo wa wabunge ukimuuliza wewe askofu ukomo wako wa madaraka ya uaskofu ni lini atakuambia yeye ni askofu wa kudumu. ...kwa nini anaingilia ukomo wa nafasi za wengine wakati nafasi yake haina ukomo. ... maandiko yanesema usitoe kibanzi kwenye jicho la mwenzio wakati jicho lako lina borit....

Kuhusu madaraka ya raisi,mambo ya wakulima muundo wa muungano Askofu ikongo anasema waachiwe waumini ambao ni ukawa ni ccm na wasio na chama
Sisi maaskofu tubebe neno la MUNGU katiba hii ni nzuri saana kwa sababu imeBEBA uhuru wa kutangaza dini jambo ambalo maaskofu tulipasa tulipongeze na kuinadi katiba. ...
attachment.php

Tamko la askofu La Piusi Ikongo

View attachment 239683

Picha ya askofu ikongo wa PENTEKOSTE PASTARS FELLOWSHIP
Mwenyekiti wa PPFT

Huyu siyo Askofu ni tapeli ana wake wawili :
Huyu ni tapeli wa CCM
 
wameshaona gwajima kajulikana sasa na wao wanajitangaza ili wajulikane maana wanatangaza makanisa yao kwa njia hiyo ya kujifanya kuliongelea hili swala
 
Dah huyu wamemuokoteza wapi tena??

Au kaingia sub ya Pengo!?
 
hilo lichungaji ni frimason.linanenepa kama nguruwe kw sadaka za waumin
 
Bibilia inasema wasiohaki hukimbia na wala hakuna awafukuzae. Mimi nimeeleza hoja mbona wenzangu hajibu hoja bali kashfa, kebehi, mamaneno mengine mengi machafu. Je wale mnaodai mnanifahamu mbona nyie mmeficha Majina yenu, Picha zenu ni kwa nini? huoni kwamba kujificha kwenu yawezekana kunamaovu mengi mnayo na hamtaki kujulikana? jibuni hoja kwamba Nakataa katiba kwa sababu moja au zaidi. Nnje na hapo nyie ni washabiki tu, au kunaukweli umewauma.
 
Pamoja na kusali na kuyafahamu madhehebu mbalimbali ya Kikristo, hili la huyu Askofu ndio nimelifahamu Leo kwa mara ya kwanza.

Waandishi wangemuuliza, Kanisa lake ni mwanachama wa PCPT? Maana Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste ndio Wawakilishi wa Makanisa ya Kipentekoste ya FPCT, TAG, na EAGT. Wengine ni Makanisa ambayo ni Mali za waanzilishi wao kama huyu Askofu.

Mwaka huu kazi tunayo.
 
Back
Top Bottom