Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

Bishop Piusi Erasto Ikongo alikosoa vikali jukwaa la wakristo

Sawa utatukana upendavyo. Ila ukweli utabaki palepale, mbona umeficha jina lako na picha yako kama wewe ni msafi? unajificha kwanini? Je kuwa mwanachama wa chama fulani ni dhambi? mbona hujajibu Katiba Inayopendekezwa inamapungufu gani ya kuwakwaza Maaskofu?

Mkuu hawa vijana wa siku hizi adabu imeruka ukuta.
Yaani we ASKOFU MZIMA wanakutukana namna hii?
Dahh! Kweli wanakondoo wamekosa adabu.
Waombee tu pepo wawatoke vichwani mwao. Manake wengi wao Malezi yalikuwa ni Shidaaa.
 
Nafikiri huyu askofu ana haki kama mtanzania mwingine kutoa maoni yake individually. Lakini asisahau kuwa yeye anapingana na taasisi/Jukwaa ambalo limejumuisha more than an individual. Kama na yeye alikuwa kwenye hilo jukwaa na hakubaliani na kile ambacho kiliamriwa, naamini katiba iliyopo ya 1977 bado inamlinda kutoa maoni yake, na yuko huru kujiondoa kwenye hilo jukwaa. Lakini kama yeye si memba wa jukwaa hilo basi amwachie Ngoswe mwenyewe.
 
Kwan maaskofu hawaitaji uwakilishi wa wabunge. Kakurupuka huyo askofu uchwara.
 
Askofu Pius Ikongo rudi tena mbona umekimbia?

Nani aliye kurogaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa??

Kama Una kasimu kako sasa rekodi ukawaambie

Nani aliyekurogaaaaaaAAAAAAAAAAA?

mchumia tumbo fulani usiyefaa fulani

Nani aliyekurogaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa?

Ha ha haaa nimekufuatilia toka comment yako ya kwanza duh, Gwaji alikua sahihi tu kwa watu kama huyu Askofu fake
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hawa vijana wa siku hizi adabu imeruka ukuta.
Yaani we ASKOFU MZIMA wanakutukana namna hii?
Dahh! Kweli wanakondoo wamekosa adabu.
Waombee tu pepo wawatoke vichwani mwao. Manake wengi wao Malezi yalikuwa ni Shidaaa.

Wewe mtukanaji namba 1unalalamika leo? Endelea kupiga box tu kwa wagalatia ila kujifanya sacrosancty noo
 
Ni zezeta pekee anaweza kumuunga mkono huyo Ikongo.Kwanza alishajiaibisha akipokuwa kwenye kipindi cha Baragumu Live Channel ten hivi karibuni baada ya kubwabwaja maneno aliposhindwa kujibu vizuri maswali aliyoulizwa siku hiyo.Kwanza alikiri wazi kuwa amewahi kugombea Ubunge kupitia CCM akashindwa.Kwahiyo inatoa picha ya wazi kuwa ni kada muaminifu wa CCM.

Umenikumbusha siku hiyo aliulizwa na msikilizaji;ushawahi kugombea ubunge? akajibu uliza swali lingine jamaa akamkomalia nijibu swali langu akajibu ndiyo,akaulizwa chama gani? akajibu endelea na maswali mengine! hahahaaaaaa tangia siku hiyo Channel ten na Star TV niko makini nao sana kwani huleta watu wa upande mmoja.
 
Huyu si ndiye aliyepewa kavukavu na msikilizaji kutoka kusini mwa Tanzania katika kipindi cha tuongee asubuhi. Msikilizaji wa Chanel 10 alimuuliza maswali kama mwanasheria. Moja ya swali aliloulizwa ni wewe ulishawahi kugombea ubunge?. Akataka kukwepa swali, jamaa akamuuliza jibu swali ndiyo au hapana. Akakubali, jamaa kamwongezea lingine uligombea kupitia chama gani? Hapa hakujibu, jamaa akampa kavu kavu kuwa ninakufahamu vizuri uligombea kwa tiketi ya CCM. Akamwambia usiseme wewe ni Askofu bali sema wewe ni mwanasiasa wa chama cha mapinduzi.

Nakumbuka siku hiyo kwani hakutegemea kama kuna mtu anamfahamu nje ndani kama yule jamaa. Aliishia kutoa macho kama anabanduliwa.
 
Huyu Askofu Ikongo kuna wakati amekuwa akiwania kuteuliwa u DC na huwenda akateuliwa kabla ya uchaguzi. Nani ajuaye! But pia msisahau kuwa huyu bwana kaoa mmoja wa wajukuu za mwalimu JKN. Kuna wakati ilikuwa anunuliwe vyombo vya kupazia sauti vya na watu fulani ili azunguke nchi nzima sijui kama alifanikiwa. Mwisho kabisa, swali la kujiuliza ni kanisa lake liko wapi? lina watu wangapi? nawasilisha!:thinking:
 
Askofu gani huyo,alishagombea kwa ticketi ya ccm akashindwa unategemea nini hapo?maaskofu wa serikali hawa.
 
Wasaliti kama ninyi Gwajima alishawaambia mmekula maharage na MKOMEEEEEEEEEEE!!!!!!!!Maana mnachanganya watu sana.
Mimi sijasema upige kura ya ndio unanisingizia. Nimesema Watu waisome kisha Mtu mwenyewe aamue anapiga kura ya namnagani.
 
Kati ya Maaskofu wote wewe unataka kutuambia ndo una neno kuliko wao?????Tatizo kubwa wewe unashatumika na unatumiwa na CCM vibaya wewe ni YUDA.
Sawa pamoja na matusi mimi nitakujibu hoja yako. Maaskofu wanatakiwa Wabebe Neno la Mungu.
 
Askofu piusi erasto amefanya press conference leo habari maelezo akitoa msimamo wake kutofautiana na maaskofu kuhusu katiba Katiba ni nzuri anatoa uhuru wa kuabudu maaskofu katiba hii inaruhusu sisi kuhubiri injiri

Kwa mjiby wa Ibarra ya 41(1) katiba hii inaturusu maaskofu kuhubiri injiri bila kikwazo
Nasikitika wanaingilia waumini mambo ya ukomo wa ubunge madaraka ya uraisi hayatuhusu sisi. ....

Unakuta askofu mzima anaipinga katiba eti ni mbaya kisa haina ukomo wa wabunge ukimuuliza wewe askofu ukomo wako wa madaraka ya uaskofu ni lini atakuambia yeye ni askofu wa kudumu. ...kwa nini anaingilia ukomo wa nafasi za wengine wakati nafasi yake haina ukomo. ... maandiko yanesema usitoe kibanzi kwenye jicho la mwenzio wakati jicho lako lina borit....

Kuhusu madaraka ya raisi,mambo ya wakulima muundo wa muungano Askofu ikongo anasema waachiwe waumini ambao ni ukawa ni ccm na wasio na chama
Sisi maaskofu tubebe neno la MUNGU katiba hii ni nzuri saana kwa sababu imeBEBA uhuru wa kutangaza dini jambo ambalo maaskofu tulipasa tulipongeze na kuinadi katiba. ...
attachment.php

Tamko la askofu La Piusi Ikongo

View attachment 239683

Picha ya askofu ikongo wa PENTEKOSTE PASTARS FELLOWSHIP
Mwenyekiti wa PPFT


Huyu tu askofu ni mgonjwa wa akili
 
Tapeli mkubwa huyu....hata kanisa lake halijulikani..na nani maaskofu wa bara barani...

Pampers huyuu...tapeli huyuu...ccm.huyuuu...aligombea ubunge kwa ccm akashindwa huyuuu....hata kuandika injili tu hawezi anaandika injiri...mwizi huyuuuu...!!!

So katika Umoja wa makanisa ya KIKRISTO huyu wala hajulikani...sbb kazi yake kuwaibia watu fedha kwa njia ya sadaka...mwizi huyuuu...hana hata kanisa...!!!
 
Sawa pamoja na matusi mimi nitakujibu hoja yako. Maaskofu wanatakiwa Wabebe Neno la Mungu.


Tapeli wa matapeli ww...hata kuandika injili tu u can't...

Where is your church...!!? Askofu wa barabarani ww...unaokotwa na ccm unaleta uchafu wako ktk vyombo vya habari....Askofu mwizi wa sadaka za watu...after all, no one knows you....are u looking for publicity...!!? Pampers ww....!!
 
Mbona mimi si kama wewe unayeficha mpaka majina yako? Soma hapo juu kilakitu kiko wazi hadi picha; Biblia inasema Mwana akiwawaweka huru mnakuwa huru kwelikweli

Askofu.... my foot!!!!!.... Unadhalilisha hiyo kofia kwa njaaa zako. Hakunaga maaskofu wavimbiwa maharagwe kama wewe. Wewe utakuwa mpiga dili tu...
 
Tatizo lako IKONGO ulipoona katiba imetoa uhuru kwako kuhubiri ukaishia hapotu kwa kuwa katiba imewapa FAVOUR wahubiri je mambo mengine ambayo sisi waumini wako yanatukera kama kuondolewa TUNU ZA TAIFA na mengine mengi tu hayo huyaona hapo ndipo unatuonyeshz kuwa wewe VISION yako ni ndogo sana Na huwajali wengine,Maaskofu wenzake waliisoma wakaona kweli imewapa wahubiri uhuru lakini waumini wao inawanyanyasa na kuwaoneo ndiyo maana wakaipinga.
Sawa mimi ninaesema katiba inayopendekezwa ni nzuri sana kwa Wahubiri wa Injli kwakuwa imetoa uhuru mkubwa wa kuhubiri Neno la Mungu popote unapotaka kwenda. unaniita shetani naomba ueleze katiba nzuri ulioitaka ni ipi? au wewe ni wazile dini zisizo hubiri nini?
 
Back
Top Bottom