Alinda
Platinum Member
- Jun 26, 2008
- 1,695
- 2,152
Kwa Waumini ndio hawa Ukawa, CCM , na Wasio na Vyama. na ndio sababu nikasema wao waendelee kusema na kueleza ukweli pamoja na kupinga kila wanachoona sio kizuri, Maaskofu wao wabaki kuwahudumia Waumini hawa Kiroho tu.
Wewe tuko pamoja ila unachotakiwa kuelewa hoja yangu ni kwamba Maaskofu tubebe Neno la Mungu tu na si vinginevyo.
Maswali yangu hapo juu "Baba Askofu"