wakumwamasaga
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 246
- 71
Huyu askofu kwa kumsoma haraka haraka anataka tena kuja kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM. anachofanya ni kuwaaminisha CCM kuwa ni mkereketwa wa chama,kwahiyo atakapogombea safari anategemea kuwa jina lake litapitishwa na chama chake. Kaamua tu kujitoa mhanga kuitetea katiba pendekezwa ya CCM ili aonekane kuwa anakubaliana na CCM wenzake