Askofu piusi erasto amefanya press conference leo habari maelezo akitoa msimamo wake kutofautiana na maaskofu kuhusu katiba Katiba ni nzuri anatoa uhuru wa kuabudu maaskofu katiba hii inaruhusu sisi kuhubiri injiri
Kwa mjiby wa Ibarra ya 41(1) katiba hii inaturusu maaskofu kuhubiri injiri bila kikwazo
Nasikitika wanaingilia waumini mambo ya ukomo wa ubunge madaraka ya uraisi hayatuhusu sisi. ....
Unakuta askofu mzima anaipinga katiba eti ni mbaya kisa haina ukomo wa wabunge ukimuuliza wewe askofu ukomo wako wa madaraka ya uaskofu ni lini atakuambia yeye ni askofu wa kudumu. ...kwa nini anaingilia ukomo wa nafasi za wengine wakati nafasi yake haina ukomo. ... maandiko yanesema usitoe kibanzi kwenye jicho la mwenzio wakati jicho lako lina borit....
Kuhusu madaraka ya raisi,mambo ya wakulima muundo wa muungano Askofu ikongo anasema waachiwe waumini ambao ni ukawa ni ccm na wasio na chama
Sisi maaskofu tubebe neno la MUNGU katiba hii ni nzuri saana kwa sababu imeBEBA uhuru wa kutangaza dini jambo ambalo maaskofu tulipasa tulipongeze na kuinadi katiba. ...
![]()
Tamko la askofu La Piusi Ikongo
View attachment 239683
Picha ya askofu ikongo wa PENTEKOSTE PASTARS FELLOWSHIP
Mwenyekiti wa PPFT
Endelea: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...u-pius-erasto-ikongo-kumbe-ni-mwanasiasa.htmlKatika hali ya kushangaza leo asubuhui katika kipindi cha mahojiano channel ten,mgeni alikuwa ni Asofu Erasto wa Kanisa fulani la kiroho.Yeye alikuwa anawakosoa maaskofu waliotoa tamko kuhusu waumini kutopigia kura katiba pendekezwa.
Kwa maoni yake viongozi wa dini hawakutakiwa kabisa kujihusisha na siasa,na katika maongezi yake ilionekana wazi kuwa ana chuki binafsi na Kanisa Katoliki.Hata hivyo kitu kilichovutia katika maongezi hayo ni pale wasikilizaji walipoanza kuchangia kwa njia ya simu.
Humphrey polepole pamoja na kumfafanulia kuwa haikuwa hoja ya kanisa Katoliki peke yao,yeye aliendelea kulishambulia kanisa ilo,pia juu ya hoja ya Humphrey kuwa kuna viongozi wa dini wanapewa bahasha yeye alikanusha na kudai kuwa hata yeye anasingiziwa kuwa kapewa milioni 200 wakati sio kweli.
Mchangiaji aliyejitanabaisha kwa jina la Mchunga alimpa kavukavu kuwa kama kweli ana dhamira safi anaposema viongozi wa dini wasijihusishe na siasa basi akanushe kama uchaguzi uliopita hakugombea ubunge kwa tiketi ya CCM,hapo mate yalimkauka na akawa nakigugumizi cha ghafla,na alipobanwa sana akakiri kuwa kweli aligombea ubunge.
Nilipigwa na butwaa kwani hapo mwanzo nilidhani ni kweli yeye ni kiongozi wa dini anayechukia viongozi wa dini kujihusiha na siasa.Wito kwa wnegine: If you live in a glass house never throw stones to your neighbour.
Pia katika maelezo yake alitoa takwimu chonganishi juu ya idadi ya watanzania wa dini na madhehebu mbalimbali,ameulizwa hiyo sensa ya kidini aliifanya lini na wapi, akapata kigugumizi:wito,huu sio mwaka 47 unapokuja kuongea mbele ya vyombo vya habari inabidi ujipange sawasawa.
Hili jamaa TISS linajulikana, amejivika uaskofu feki ili kupingana na Maaskofu kila wanapokuwa kinyume na Serikali. Jamaa huyu ana wake wawili na mjini Moshi tunaujua uhuni wake, askofu gani mwenye wake wawili????
Jibu hoja
Nani kampa uaskofu, hao ni wahuni tu wachumia tumbo!
Hapo labda kahongwa shilingi 200,000 tu aongee hizo pumba zake!
Kama si hivyo basi anatafuta umaarufu tu huyo!
Mipango ovu mipya ya CCM kuvuruga mchakato wa Katiba mpya!
Yericko Nyerere 09:57 8th August 2014
Wazalendo wenzangu popote mlipo,
Tunaendelea kupambana usiku na mchana dhidi ya uovu wa ccm na matawi yake wanaofinyanga matakwa ya umma juu ya Katiba Mpya.
Ccm imeandaa kongamano la walimu nchini litakalofanyika chuo kikuu Dar Ukumbi wa Yombo juu ya katiba mpya jumamosi hii yani kesho 09/08/2014 ili kuwahadaa Watz kuwa hata walimu wanazitaka serikali 2 za ccm,
Kongamano hilo linaratibiwa kwa ukamilifu na Lukuvi, Mwigulu na viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania, Walimu waliowengi hasa wa Dar wamelazimishwa kuwa asiyehudhuria atashughulikiwa na Chama cha Walimu.
CCM pia imebuni mbinu mpya ambapo tangu mwaka jana imekuwa ikiwekeza kwenye uovu huu,
Baada ya kuona jumuiya na taasisi nyingi za kidini haziwaungi mkono dhidi ya matakwa yao (serikali 2), wameamua kuunda chama kipya cha kidini (kikristu) kiitwacho PPFT ambacho kimeshaenea mikoa mingi hapa nchini lakini kikiratibiwa na kuongozwa na kundi la wahuni walionyuma ya syteam,
Mda wowote kuanzia sasa kikundi hicho kitaanza kutoa matamko na makongamano ya kulaani UKAWA na kuunga mkono ccm na serikali mbili.
Mwenyekiti wa kikundi hiki ni Pius Erasto Ikongo ambae ni mtu wa JK mwenyekiti wa ccm, Makamu Mwenyekiti ni Wilson Mwawoga, Katibu Mkuu wa kikundi hiki kiitwacho PPFT anaitwa D.Gamba, Mwenyekiti wa Mkoa wa Dar Es Salaam binti aitwae Rachel.
Kikundi hicho kinaundwa na makundi yaliyoasi kwenye jumuiya mbalimbali za kikristu,
UPDATES 09/08/2014
Wakuu kile nilichowaambia jale, sasa leo hapa chuo kikuu mlimani mdahalo/kongamano la walimu walilolipa jina la youth transformation in the world cultural diversity,
Licha ya makada wa ccm kuinjinia uwepo wa kongamano hili, pia
wizara ya habari utamaduni na michezo imehusika.
Kamishna anasema vijana wa kitanzania wamekosa vitu muhimu vinne
1. Mind trasformation
2. Poor infrastracture
3. Socio education
Lakini tunawezaje kuwaleta pamoja vijana ambao background yao ni tofauti sana?
Mfano mtoto aliyezaliwa mpitimbi amesomea huko,elementary school,huko vijijini,sekondari ya kata isiyo na vitabu,maabara,na walimu wazuri Dhidi ya mtoto wa rais,waziri na makatibu wakuu ambao watoto wao wanazaliwa tz na kusomea korea, india ,usa,japan,israel ambako kuna vitabu,maabara,na walimu wanaolipwa vizuri?
Tunawezaje kuwafanya woote hawa kuwa na maadili,uzalendo na utashi?
Taarifa zinasema watu wa siasa watakuja kufunika wakati wakumaliza mdahalo ambapo inaelezwa Lukuvi, Mwigulu, Kawambwa watakuja kufunga kongamano hili.
Hili ndio kongamano linaloendelea hapa mlimani,
https://www.jamiiforums.com/katiba-...a-mchakato-wa-katiba-mpya-2.html#post10287643.