Bishanga kafiwa na Baba yake Mzazi

sometimes we may want to say why me lord,then the Lord will ask who else!duh pole sana bana,for sure this world is not our hme!
May ur Daddy Rest in Peace,Ameen.
 
DA, asante sana kwa taarifa.

Pole sana ndugu Bishanga. Mungu ailaze roho ya mzee wetu mahali pema peponi.

Roho ya marehemu ipate faraja kwa Bwana na ipumzike kwa amani...AMEN.
 
Bishanga pole sana for the loss. MUNGU akufariji wewe na familia yako katika kipindi hiki kigumu
 
Mungu awape faraja/ nguvu katika kipindi hiki kigumu

Bwana ametoa na Bwana ametwaa jiina la bwana lihimidiwe

Amina
 
Sorry to hear about the loss of your beloved father.I know it is hurting you to look back and you are scared to go forward,but we are all beside you.
 
May God rest his soul in eternal peace~AMEN. Poleni sana kwa msiba huu mkubwa.
985.gif
 
Nimepokea taarifa sasa hivi kuwa Member mwenzetu (Bishanga) amefiwa na Baba yake Mzazi.

Napenda kutoa pole za dhati kabisa kwa Familia nzima ya Bishanga.

Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu Baba yetu mpendwa.

AMEN
Ahsante saana Dena kwa hii taarifa, mpe pole saana mwana JF mwenzetu. Anatakiwa kuwa na uvumilivu na kumshukuru Mungu kwa kila jambo!!!!!!!!! Huo ndio ukubwa ati, kuyakabili majukumu ya ukubwa!!!!!!Kama jina lake Bishanga abashaija, nampa pole na kumtakia amani na utulivu pamoja na familia yote kwa wakati huu wa msiba. Mbarikiwe!!!!!!!!!!!
 
Mwenyezi Mungu awape moyo wa subira na kuwafariji familia ya Bishanga ktk kipindi hiki kigumu kwao na ailaze roho ya marehemu pahali pema peponi, Amen
 
Back
Top Bottom