Freeman Mbowe ashiriki Mazishi ya Baba Mzazi wa Abdul Kambaya

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,343
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Ustaadh Aboubakar Mbowe ni miongoni mwa wakazi wa Dar es Salaam walooshiriki Mazishi ya Baba Mzazi wa Kamanda Abdul Kambaya , aliyefariki leo Dar es Salaam na kuzikwa leo leo Jijini Humo

Tunamuomba Mwenyezi Mungu aiweke Roho ya Marehemu mahali pema peponi , Amina .

FB_IMG_1681572114145.jpg
FB_IMG_1681572122848.jpg
FB_IMG_1681572132263.jpg
 
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Ustaadh Aboubakar Mbowe ni miongoni mwa wakazi wa Dar es Salaam walooshiriki Mazishi ya Baba Mzazi wa Kamanda Abdul Kambaya , aliyefariki leo Dar es Salaam na kuzikwa leo leo Jijini Humo

Tunamuomba Mwenyezi Mungu aiweke Roho ya Marehemu mahali pema peponi , Amina .

View attachment 2588847View attachment 2588848View attachment 2588849
Asubuhi siasa za misiba jioni siasa za futari hapo mnataka nchi iendelee kwa upuuzi huu

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujafanya utambulisho mzuri kwa mbowe, nshakuzoea ukimtambulisha kwa bashasha zote
 
Back
Top Bottom