dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 22,126
- 49,385
.... kangamoko size zetu hizo!Eeh sie tuhangaike na akina Aisha tu hamna jinsi
.... kangamoko size zetu hizo!Eeh sie tuhangaike na akina Aisha tu hamna jinsi
... kwani ukiwa mwanakwaya kanisani huruhusiwi kuwa na profession nyingine bro? Kwaya ni kazi ya kujitolea tu isiyo na mshahara.Yaani wewe jamaa hujui lolote unatapika tu ni petroleum engineer jamaa anapiga mzigo pale gasprom naija delta sasa unakuja na bla bla kibao jamaa anakwenda kusali tu kama waumini wengine acha akili zakuambiwa
Tulia Mzee, inafanyika sasa ya KikatolikiMbona hii ilishafanyika huko Nigeria mtoa mada acha kuhadaa watu ,Kanisa katoliki Njiro ya Wapi Duh
... siku hizi Katoliki wana utaratibu huo? Kufungisha ndoa iliyokwisha kufungwa? Sidhani kama kuna dhehebu lolote lenye utaratibu huo!Tulia Mzee, inafanyika sasa ya KikatolikiView attachment 1772878
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Mchaga kaona fursa, shenzi kabisa! Kaoa kwa malengo huyu, nilisoma kwenye mtandao kuwa T.B Joshua kamtoa dogo sana.Binti pekee wa mhubiri wa kimataifa wa Naijeria, Temitope Joshua almaarufu TB Joshua, anafunga ndoa jumamosi hii tarehe 8/5/2021 jinini Arusha.
Binti huyo ajulikanae kwa jina la Serah anaolewa na kijana wa kichaga anaeitwa Brian Moshi. Ndoa itafungiwa kanisa la RC- Unga Limited na kufuatiwa na tafrija ya kukata na shoka pale AICC. Bado haijajulikana kama TB Joshua atahudhuria harusi hiyo, na pia hatujajua kama itakua na bia au ni mwendo wa nyuki.
Kwa sheria za kikatoliki, monde ni part and parcel ya tafrija na hasa ukizingatia kabila la muoaji. Wote mnakaribishwa.
Seems ilikua send offMbona hii ilishafanyika huko Nigeria mtoa mada acha kuhadaa watu ,Kanisa katoliki Njiro ya Wapi Duh
Kwenye hizi picha nikitarajia kumwona TB Joshua, lkn sijamwona katu.
Kwani TB Joshua mwenyewe anasemaje?Binti pekee wa mhubiri wa kimataifa wa Naijeria, Temitope Joshua almaarufu TB Joshua, anafunga ndoa jumamosi hii tarehe 8/5/2021 jinini Arusha.
Binti huyo ajulikanae kwa jina la Serah anaolewa na kijana wa kichaga anaeitwa Brian Moshi. Ndoa itafungiwa kanisa la RC- Unga Limited na kufuatiwa na tafrija ya kukata na shoka pale AICC. Bado haijajulikana kama TB Joshua atahudhuria harusi hiyo, na pia hatujajua kama itakua na bia au ni mwendo wa nyuki.
Kwa sheria za kikatoliki, monde ni part and parcel ya tafrija na hasa ukizingatia kabila la muoaji. Wote mnakaribishwa.
Siku zote wanaume wenye muonekano mzuri hupendwa na wanawake wa aina hiyo. Halafu wale wenye muonekano kama wa Remmy Ongala au Mzee Wasira, hao sasa ndiyo hupendwa na Pisi Kali.mwaume mzuri kuliko bi harusi. Hapa ndio unakuja usemi wa gold-digger
... kwani ukiwa mwanakwaya kanisani huruhusiwi kuwa na profession nyingine bro? Kwaya ni kazi ya kujitolea tu isiyo na mshahara.
Tb Joshua ana watoto wanne na wote ni wa kike.Hivyo huyo sio binti yake pekee.Tb Joshua hana mtoto wa kiume hata mmoja.Binti pekee wa mhubiri wa kimataifa wa Naijeria, Temitope Joshua almaarufu TB Joshua, anafunga ndoa jumamosi hii tarehe 8/5/2021 jinini Arusha.
Binti huyo ajulikanae kwa jina la Serah anaolewa na kijana wa kichaga anaeitwa Brian Moshi. Ndoa itafungiwa kanisa la RC- Unga Limited na kufuatiwa na tafrija ya kukata na shoka pale AICC. Bado haijajulikana kama TB Joshua atahudhuria harusi hiyo, na pia hatujajua kama itakua na bia au ni mwendo wa nyuki.
Kwa sheria za kikatoliki, monde ni part and parcel ya tafrija na hasa ukizingatia kabila la muoaji. Wote mnakaribishwa.
Pole sana, najua Catholic notions mlizowekewa kichwani ndio inakutesa! Hawakufunga Church, sasa ndio inafungwa rasmi! Nafikiri unajua pia Kanisa Katoliki halifungi ndoa kiholela kuna hatua za makubaliano kama watoto kuwa Wakatoliki n.k na lazima prophet anajua na ameridhia.Ilishafungwa, ndo nawashangaa!
Tena you tube ipo!
Haikuwa ya kimila ya church kabisa!
Na hata wageni walikuwa wachache,sherehe ndogo tu!
Ila huku kwa mwanaume lzm waje pia!
... kwa hiyo unadhani wanakwaya wote makanisani hawana busy schedule kuliko petroleum engineers? Kama huwezi kupangilia muda wako sio kila mtu hawezi kufanya hivyo!Petroleum engineering upate muda wa kwaya tokea lini?
... kwa hiyo unadhani wanakwaya wote makanisani hawana busy schedule kuliko petroleum engineers? Kama huwezi kupangilia muda wako sio kila mtu hawezi kufanya hivyo!
Mchaga kakamatia fursa
Huyu jamaa yupo njema. Kuna testimony aliitoa scoan mwishoni mwa 2015 alionyesha picha ya mjengo wao na magari.Huyu muoaji namjua kwao mambo safi,wala hawana njaa..babake na mamake huwa wanafuatana kama Chai na sukari ibadani, kila MTU anavutiwa nao kwakweli ile ndoa kwa nje ni mfano sijajua kwa ndani ,wako Ungalimited Arusha parokia ya moyo safi wa maria huyu mama anakuwa kama ana asili Fulani au alichanganya damu ya kizungu ni mweupe pee anatupia viwalo balaa mke ya Rais weka pembeni...kuna na binti yao ni kisu hatare yaani wale wa kuogopwa...Mama ni mwekahazina wa parokia....huyo mama aliyevaa kofia ya malkia Elizabeth ndio mama wa kijana baba wa kijana huyo ambaye hajavaa suti nyeusi kwenye cake acheni wivu jamaa yuko njema.
Aiseee nimesoma hapo story yake..Kumbe yy ndo alitransform maisha ya kwao baada ya maombezi ya His Father Inalaw?Mchaga kaona fursa, shenzi kabisa! Kaoa kwa malengo huyu, nilisoma kwenye mtandao kuwa T.B Joshua kamtoa dogo sana.
Wacha niitafute
Opera News - Neuesten Nachrichten In Germany-German | Aktuelle Nachrichten
Neuesten Germany-German Nachrichten auf OperaNewsApp.com bekommen: Aktuelle Nachrichten und Videos in Germany-German , Fußballnachrichten, Politik, Sport, Unterhaltung, Technik, Handel.ng.opera.news