Binti wa TB Joshua kuolewa Arusha

Binti pekee wa mhubiri wa kimataifa wa Naijeria, Temitope Joshua almaarufu TB Joshua, anafunga ndoa jumamosi hii tarehe 8/5/2021 jinini Arusha.

Binti huyo ajulikanae kwa jina la Serah anaolewa na kijana wa kichaga anaeitwa Brian Moshi. Ndoa itafungiwa kanisa la RC- Unga Limited na kufuatiwa na tafrija ya kukata na shoka pale AICC. Bado haijajulikana kama TB Joshua atahudhuria harusi hiyo, na pia hatujajua kama itakua na bia au ni mwendo wa nyuki.

Kwa sheria za kikatoliki, monde ni part and parcel ya tafrija na hasa ukizingatia kabila la muoaji. Wote mnakaribishwa.
Alishaolewa,ndoa ilishafungwa naigeria last year!
IPO you tube!.
 
Kama kana divai ilikuwepo basi hakuna budi na hapo mahali pakawa na divai.
 
Binti pekee wa mhubiri wa kimataifa wa Naijeria, Temitope Joshua almaarufu TB Joshua, anafunga ndoa jumamosi hii tarehe 8/5/2021 jinini Arusha.

Binti huyo ajulikanae kwa jina la Serah anaolewa na kijana wa kichaga anaeitwa Brian Moshi. Ndoa itafungiwa kanisa la RC- Unga Limited na kufuatiwa na tafrija ya kukata na shoka pale AICC. Bado haijajulikana kama TB Joshua atahudhuria harusi hiyo, na pia hatujajua kama itakua na bia au ni mwendo wa nyuki.

Kwa sheria za kikatoliki, monde ni part and parcel ya tafrija na hasa ukizingatia kabila la muoaji. Wote mnakaribishwa.
kabla ya kupost muwe mnauliza kwanza!!
Kwanza ndoa ilishafungwa last year!
Pili ,TBJoshua ana mabinti 3,aliyeolewa ni 1st born sio binti wa pekee,ana wadogo zake 2,Promise na Heart!
 
Kwani si tayari ni wanandoa hao toka Desemba 2020?

Au ndio yale mambo wa wapopo unakuta kuna ndoa kama mbili, ya kimila na nyingine ya church!

IMG-20201215-WA0008.jpg
Ilishafungwa, ndo nawashangaa!
Tena you tube ipo!
Haikuwa ya kimila ya church kabisa!
Na hata wageni walikuwa wachache,sherehe ndogo tu!
Ila huku kwa mwanaume lzm waje pia!
 
hiyo sisi wachaga huwa hatuangalii kabsaa..
karibu milimani krismass moja uje ujionee ukiwa hauna pesa unachukuliwaje??!!afu ukute wee ndo kaka mkubwa madogo zako ndo tuna kimango utapata tabu sana
Hii umesema ukweli mkuu.utatumwa Kama mtt na wadogo zako. Na ndo Mana mchaga hanaga utu. Ukimuona mchaga Ana urafiki na chasaka Kuna kitu anakitafuta na sio bure. Hata wale wachaga wasio na pesa kampani yao huwa ni vyasaka na vishoia hadiriki kwenda kwao Mana ni aibu ataambulia
 
Back
Top Bottom