Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,509
- 94,640
Utawaweza watu? aina ile ya kufuli inafaa saana kwenye uzinduzi, design mtoto kama hataki kutoa sasa wewe hujisumbui ni kusogeza pembeni tuuu unapita na kasi ya 4G

Utawaweza watu? aina ile ya kufuli inafaa saana kwenye uzinduzi, design mtoto kama hataki kutoa sasa wewe hujisumbui ni kusogeza pembeni tuuu unapita na kasi ya 4G

Nipo poa kipenzi changu![]()
Am cool mylove sjui wewe
Asanteh sana mpz, Mungu akubariki sana jamani.Mylove
Kila siku natambua umuhimu wako kwenye kila nilocho kipata. Huwa namshukuru Mungu kukupata. I feel lucky too.
Baki na hamu zako
akikuomba hela we mwambie njoo uchukue
akija unaliamsha dude kisha unamkopa yeye
Kipenzi hizi sifa zitanimaliza ujue![]()
![]()
![]()
![]()
Kwa kweli Ney kajitahidi sana na uzuri ana mambo ya ki international zaidi





Kesi ya nn?!mmh!!! muangalie msitongozane msije mkanipa kesi mie
HahahaKipenzi hizi sifa zitanimaliza ujue![]()
hii inawahusu wote wenye tabia hio"Women who fall in love or marry men because of money MUST never critisize prostitutes: they are the same profession. The difference is that, some work in private sector while others in public sector". Robert Mugabe.
"Wanawake wanaopenda au kuolewa na wanaume kwa sababu wanaume hao wana pesa, kamwe wasiwadhihaki na kuwabeza malaya(changu doa): Kwani wote ni wafanyakazi wa taaluma moja. Tofauti ni kwamba, wengine wapo kwenye sekta binafsi, na wengine wapo kwenye sekta ya uma". Robert Mugabe.
Lakini isiwe too much! Wanawake nao wamezidi sasa, kila siku matatizo kwao tuMapenzi bila pesa huwa yanapungua tu tafuta tu umpatie
Hhhhaaaaa mkabe mpaka ashindwe pumua
Hakuwa na jeuri ya kwenda Rwanda au umesahau dia yeye alikuwa anaishia mipakani tuu
Sawa. Good luck mkuu...![]()
![]()
![]()
![]()
Kaka mbona kule nipo! Kuna mambo ya kifamilia nayaweka sawa then ntakuja mkuu.