Binti nimpendae anataka hela tu

Binti nimpendae anataka hela tu

Kuna msichana ambaye tumejuana kwa wiki tatu sasa na tayari ameanza kuniomba pesa za mahitaji yake.

Hii hali sasa imeanza kunichosha naanza kumchukia taratibu siku zingine akipiga simu sipokei maana sipendelei kuombwa pesa kanakwamba mimi nimekuwa baba yake mzazi

Nahisi kuwa anathamini zaidi pesa kuliko uhusiano wetu kwani bado hatujafahamiani vya kutosha.

Nb: Ukiona mtu kaweka mbele pesa zaidi ya uhusiano, kuwa na tahadhari sana kwani msingi wa uhusiano huo utakuwa ni pesa na zikimalizika utaporomoka. Mapenzi bila pesa si mapenzi
we mwambie huna kama kakupendea hela utajua
 
Idea ya mwanamke kukusaidia ku make money siyo lazima afanye kazi na yeye akupe pesa anaweza kukusaport tuu kwa idea za kuboresha biznez, kusaidia kufunga mahesabu, kutafuta ushuri kwa watu, kutafuta wateja etc.

Mimi hata huku porini nilipo now ni Ney dio alinipa hiyo Idea. Nikisha rudi na mzigo hata akispend ni haki yake.
Asanteh kwa kutambua umuhimu wangu baby, Miller anakubishia tuu lakini kimoyomoyo anakubaliana na ile statement yako ya kwanza.
 
Thubutuuu!!! Tunawasaidia kuspend ili muamke mzitafute zaidi. Ndio uanaume huo.
Hahaha wanawake mnakuwaga mnatumia ishu za uanaume kwenye mambo ya pesa na ulinzi. Kwenye mengine utaskia usawaaa usawaaa 50 kwa 50 sjui.
You guys are manipulative .

Uzuri mi wangu ana nisaidia kuzisaka and am okey watakoma hao wengine.
 
Mwambie zile za Dr Shika zimeshafika... akawahi foleni kwa sababu ni mtonyo mrefu anaweza kuhesabu asubuhi hadi jioni wiki nzima na asimalize na ni USD si za madafu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom