Binti nimpendae anataka hela tu

Binti nimpendae anataka hela tu

Kuna msichana ambaye tumejuana kwa wiki tatu sasa na tayari ameanza kuniomba pesa za mahitaji yake.

Hii hali sasa imeanza kunichosha naanza kumchukia taratibu siku zingine akipiga simu sipokei maana sipendelei kuombwa pesa kanakwamba mimi nimekuwa baba yake mzazi

Nahisi kuwa anathamini zaidi pesa kuliko uhusiano wetu kwani bado hatujafahamiani vya kutosha.

Nb: Ukiona mtu kaweka mbele pesa zaidi ya uhusiano, kuwa na tahadhari sana kwani msingi wa uhusiano huo utakuwa ni pesa na zikimalizika utaporomoka. Mapenzi bila pesa si mapenzi

Nipatie namba yake "wazee vyuma chakavu"
 
Anakuomba pesa au matumizi?!.. Kuna tofauti hapo.
Mtunze kama umedata.. Atapendezaje sasa
 
We mwenyewe unataka Mimba.....alafu yeye anataka hela .....make money ukawekwe Mimba kwanza usibadili mpango
 
Mwanaume yeyote ukimtokea na kumsimamisha au kumsalimia msichana, cha kwanza anaangalia muonekano, hapo hujamuuliza chochote, anajaribu kuamsha jicho la tatu aweze kujua kama pesa ipo ama lah. Pesa ni kila kitu kwa dada zetu hakuna mapenzi, kama yapo basi yanauzwa.

Ndio maana kaka yako hapa nimeamua kwenda kuoa Japan na kamwe sitarudi kudate mademu wa kibongo, madwemu wana njaa mpaka kwenye matobo ya chupi kumamaee!! na wengi wao siku hizi hawana hata nyege wapo wapo tu kama wapepigwa sindano ya ganzi sababu ya NJAAA.
 
MPE! Akitaka we MPE narudia kusema we MPE ukipenda boga penda na ua lake.
 
Ndio maana kaka yako hapa nimeamua kwenda kuoa Japan na kamwe sitarudi kudate mademu wa kibongo, madwemu wana njaa mpaka kwenye matobo ya chupi kumamaee!! na wengi wao siku hizi hawana hata nyege wapo wapo tu kama wapepigwa sindano ya ganzi sababu ya NJAAA.
Na niwakavu kweli mkuu mpaka hawana ladha nyoko kbs,
 
a real woman should only know how to spend her mans Cash.
That is not real woman law, that is hoe and bitches law.
Real woman should now the financial status of her husband and they can use the money for there own good. If shit goes south, a real woman will know how to help her husband to rise up again.

Bitches and hoes will abandon the ship when things goes south.
 
mbona umetumia maneno makali sana chief?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom