Binti nimpendae anataka hela tu

Binti nimpendae anataka hela tu

Yes..ujue mtu anayekugharamikia kwa kiasi kikubwa basi ni lazima umfurahishe pia, unampa atakacho kwa nidhamu ya hali ya juu. Wote mnanufaika..sio mmoja tu aumie.
Mkuu Demi wakati kama huu inatakiwa uwe umeshafungua milango kule, maana unaonesha uzoefu na uelewa mkubwa saana wa mambo haya
 
Mwanaume yeyote ukimtokea na kumsimamisha au kumsalimia msichana, cha kwanza anaangalia muonekano, hapo hujamuuliza chochote, anajaribu kuamsha jicho la tatu aweze kujua kama pesa ipo ama lah. Pesa ni kila kitu kwa dada zetu hakuna mapenzi, kama yapo basi yanauzwa.
 
Watu wanaponda ila mi sikuona tatizo la lile kufuli. Ili mradi halikuwa chafu liko poa
Utawaweza watu? aina ile ya kufuli inafaa saana kwenye uzinduzi, design mtoto kama hataki kutoa sasa wewe hujisumbui ni kusogeza pembeni tuuu unapita na kasi ya 4G
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom