Binti nimpendae anataka hela tu

Binti nimpendae anataka hela tu

Asanteh kwa kutambua umuhimu wangu baby, Miller anakubishia tuu lakini kimoyomoyo anakubaliana na ile statement yako ya kwanza.
Mylove
Kila siku natambua umuhimu wako kwenye kila nilocho kipata. Huwa namshukuru Mungu kukupata. I feel lucky too.
 
Hahaha wanawake mnakuwaga mnatumia ishu za uanaume kwenye mambo ya pesa na ulinzi. Kwenye mengine utaskia usawaaa usawaaa 50 kwa 50 sjui.
You guys are manipulative .

Uzuri mi wangu ana nisaidia kuzisaka and am okey watakoma hao wengine.
Si kama vile ambavyo nanyi mkisikia masuala ya pesa ndii mnakumbuka 50/50!!!! Lakini sio kuosha vyombo nk.

Subiri kwanza umuoe, sasa hivi anapalilia ndoa kwanza.
 
Si kama vile ambavyo nanyi mkisikia masuala ya pesa ndii mnakumbuka 50/50!!!! Lakini sio kuosha vyombo nk.

Subiri kwanza umuoe, sasa hivi anapalilia ndoa kwanza.

Kuosha vyombo na pesa kwa kweli bado pesa ina uzito.

Hapana nikimuoa akawa hivo nampa talaka mbona easy tuu
 
Halaf mkishamake more money Nani atumie sasa au no mwendo wa kutafuta tu kutumia marufuku mwishowe mnakufa mnaziacha, weweeee
Kama una nisaidia ku make money then una haki ya kuspend na ukisha pata utamu wa kuspend utanisaidia ku zimake zaidiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom