Binti nimpendae anataka hela tu

Binti nimpendae anataka hela tu

Na niwakavu kweli mkuu mpaka hawana ladha nyoko kbs,
Wataachaje kuwa wakavu wakati hawana hisia hata kidogo, ukimchombeza anaona kama unampigia kelele tu, ukimshika paja anahisi kama ameshikwa na king kong, ukimpa romance ya mdomo anona una mpaka mate.... yaani muda wote yanawaza pesa tu romantic feelings zilishakufaa siku nyingi hata lilikupanulia inakuwa ni kama unatomb.a sex doll tu.
 
Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 
siuoni huo ukweli mm
Huo ndio ukweli. Most of wanawake now , unapata mshahara mtu unakuta ameshaupangia matumiz , wkt ww ulifanya kazi kuupata huo mshahara haujui kinachoendelea. Unachokuja kushtukia ni vibom visivyo na mwisho.

Na si hapo tu, mwanamke anatakiwa awe chachu ya ww kupata pesa. Akuhamasishe, akupe ideas za business, akupe michongo, akufarij unaposhindwa.. lakin mfikie level za juu.
Ila kama mwanamke ni mtumiaji tu, yeye kutwa amkekaa kwenye kochi, anaangalia tv, hapiki, hafanyi lolote, yeye ni club, umbea na udaku, alaf kila siku ni vizinga she is a H.O.E, a mother f... gold digger.
 
fanya nae mkataba wa mida mifupi mifupi.Uwe una mpa pesa pale unataka kupiga mzigo tu alafu baada ya hapo kila mtu anaendelea na mishe zake
 
Huo ndio ukweli. Most of wanawake now , unapata mshahara mtu unakuta ameshaupangia matumiz , wkt ww ulifanya kazi kuupata huo mshahara haujui kinachoendelea. Unachokuja kushtukia ni vibom visivyo na mwisho.

Na si hapo tu, mwanamke anatakiwa awe chachu ya ww kupata pesa. Akuhamasishe, akupe ideas za business, akupe michongo, akufarij unaposhindwa.. lakin mfikie level za juu.
Ila kama mwanamke ni mtumiaji tu, yeye kutwa amkekaa kwenye kochi, anaangalia tv, hapiki, hafanyi lolote, yeye ni club, umbea na udaku, alaf kila siku ni vizinga she is a H.O.E, a mother f... gold digger.
hapo mwisho ndio umeharibu chief!!

ss kwamfano yy anafanya kazi zake tu wala hakai kwenye kochi kuangalia tv, anapika vizuri, club tunaenda wote, umbea na udaku hajui alafu bado na pesa zangu anatumia je hapo napo no vibaya?
 
Hapa nimejifunza kitu. Nilichojifunza ni kuwa wanawake wengi wanashindwa kufika kileleni wawapo na wenzi wao sababu kubwa ni kuwaza financial gains toka kwa wenzi wao. Hata ule msemo wao wa kibamia unatokana na kukosa walichotegemea toka kwa wenzi wao .Mungu wangu naomba uzidi kumbariki Irene wangu.
 
hapo mwisho ndio umeharibu chief!!

ss kwamfano yy anafanya kazi zake tu wala hakai kwenye kochi kuangalia tv, anapika vizuri, club tunaenda wote, umbea na udaku hajui alafu bado na pesa zangu anatumia je hapo napo no vibaya?
The same kaka. Si tabia nzuri mke kupanga matumizi ya pesa zako hata kama ana kazi. Samahan kwa mfano niliouyoa mwanzo maana si wote wako hivyo.

Ok yeye ana kazi, mimi na kazi. Pesa yake haiguswi inatumika yangu tu, tena bado hatuna watoto... pesa yake inaenda wapi? Alafu kwanini ni feel pride pesa yangu kuteketea zaidi kuliko wkt yake haiguswi?
 
Ndio maana kaka yako hapa nimeamua kwenda kuoa Japan na kamwe sitarudi kudate mademu wa kibongo, madwemu wana njaa mpaka kwenye matobo ya chupi kumamaee!! na wengi wao siku hizi hawana hata nyege wapo wapo tu kama wapepigwa sindano ya ganzi sababu ya NJAAA.
mkuu umeoa 'kumamoto'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom