Binti nimpendae anataka hela tu

Binti nimpendae anataka hela tu

Hata mimi sihitaji madogo madogo kama chakula, nguo nk. Nataka pesa ya maana.
Huu utaratibu ndiyo mzuri, unakata kama 1m hivi halafu unafurahia huduma kwa kipindi kirefu, lakini uaminifu ni jambo la muhimu saana
 

Mentor ndio kusema usha nichoka!!
Mimi ntakuwa mume na baba bora mafundisho yako mengi nayachukua kasoro hili
Mimi sikukufundisha kuhusu talaka kabisaaaa, unatoaje talaka sasa!!! Unakomaa hadi kieleweke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom