Binti Ajinyonga, aacha majina ya watu anaowadai wamlipe

Binti Ajinyonga, aacha majina ya watu anaowadai wamlipe

Kajipemda sana mu.MUNGU alivyompenda akapumzike alipostahili

Aende salama, naamini hakuwa na option nyingine yoyote katika tatizo lililokuwa linamkabili zaidi ya hili la kujinyonga
1459358893386.jpg
labda iwe kwamba kamba ililegezwa ndio miguu ikagusa china na katika kesi karibia zote za kujinyonga lazima marehemu ajisaidie haja kubwa laini
 
Binti mmoja anayejulikana kwa jina la Jesca ambaye ni mfanyakazi wa Longido Mountain Lodge amekutwa amejinyonga katika hotel ya Longido Mountain Lodge akiacha ujumbe kuwa kifo chake kisihusishwe na mtu yeyote amejinyonga kwa ridhaa yake mwenyew akiacha ujumbe wa majina ya watu anao wadai walipe madeni yake kabla ya kusafirishwa kwao pamoja na namba za Mama yake mzazi.
View attachment 333523
View attachment 333530
anaonekana kama amekufa, lakini kambs ni ndefu sana kumnyonga mpaka kufa uchunguzi uende mbali zaidi.
 
Ukiangalia picha, hakujinyonga bali kauawa sehemu na kuwekwa hapo ili kuondoa fihisufigisu. Huwezi kufa kwa kukosa hewa (nyongwa) ilhali miguu imegusa ardhi tena ikiwa imepinda.
 
mmmmh! hata kama hatujui kusoma picha ipo wazi sana. Huyo hajajinyonga kauawa.
 
anaonekana kama amekufa, lakini kambs ni ndefu sana kumnyonga mpaka kufa uchunguzi uende mbali zaidi.
Mkuu pleo naona unaelezea "picha mnato" kama ndio "video",hapo kamba ilisharegezwa na huyo anayemshusha ndio maana unaona miguu imepinda na amegusa chani.
By the way;nimecheka kama mazuri..hapo aliposema anadai "Memory Card ya 4G"😛😛😛
 
mmmmh! hata kama hatujui kusoma picha ipo wazi sana. Huyo hajajinyonga kauawa.
Hiyo picha imepigwa wakati kamba ilishakatwa ili kuundoa mwili wa marahemu,ukiona picha nyingine miguu inaning'inia
 
kwa watu wasiokurupuka katika utambuzi ni kwamba huyu hakujinyonga bali amenyongwa.. Hakuna mtu anayejinyonga kisha miguu iguse chini kabisaa
 
oooh! asante sana kwa elimu mkuu. Nimeshindwa kuiangalia vizuri sina ustahimilivu wa hivyo.
 
Na wabongo tunavyoogopa laana lazima hizo pesa zitalipwa kweli kabla hajapelekwa kwao,kuna siku nilitishwa marehem akizikwa hujalipa pesa zake utakuwa kapuku maisha,wee utaingia hata sacos kukopa ukalipe..Mungu amrehemu.
So hata kama umesingiziwa hakuna pakujitetea lazima ulipe!!

Angetoa hata sababu ya uamuzi wake huo. Aisee!
 
Halafu mi naamini watu wanaojinyonga huwa ni wasiri sana!Ila waropokaji akishatoa ya moyoni kwa rafiki au mtu yoyote huwa wanapata relief hata kama hakusaidiwa maisha yanasonga.
Kweli...wasiri wanaumiaga na mengi saana
Kuliko wapayukaji...anaweza rapu masaa zaidi ya matatu ila kesho yake mko nae sawa...
Msiri huwezi jua kama yameisha au vp!!
 
Hiyo picha imepigwa wakati kamba ilishakatwa ili kuundoa mwili wa marahemu,ukiona picha nyingine miguu inaning'inia
mkuu hata kama kamba imekatwa hakuwezi kuwa na muonekano ule, watu wa usalama ni lazima wafanyekitu
 
Mbona kama katundikwa hapo? Yaani vidole viguse chini utakaufa kweli kwa kujinyonga? Halafu uwe karibu na nguzo hivyo? Nakwambia utaidandia nguzo bila kupenda hata kama ina miba!! Chezea kitanzi wewe!!
 
Huwa anasumbuliwa na roho za mizimu ya kwao. Utakuta hajalala wiki mbili nzima, kila siku mizimu inakuja kumsumbua kuwa waondoke naye. Saa nyingine unakuta ni majini ya unayemsumbua sana, humpi papuchi huku unakula vyake ukijidai unamchuna. Kuna wengine vyao haviliwi. Wasichana msiwasumbue vijana saana, wapo wengine haviliwi
 
Back
Top Bottom