Binti Ajinyonga, aacha majina ya watu anaowadai wamlipe

Binti Ajinyonga, aacha majina ya watu anaowadai wamlipe

mungu akupokee kwa wema, ungelikuwa hai tungejua tuseme nini na wewe ili ufute uamuzi wako huo.
 
Aiseee kujinyonga bado aisee
Watu wanadaiwa na Magufuli hawajinyongi mimi nijinyonge khaaaa
 
duh kaka nimecheka sana maneno yako mpaka nimekumbuka wimbo wa nay wa mitego demu anasura mbaya ila anabonge la tako .....unaweza ukawa na sura nzur ila jina baya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sura mbaya ila ana bonge la tako[emoji8] [emoji8] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Sema nae kafanya haraka sana kujinyonga...... R I P
 
Such a beautifull lady, so sad.....only God knows, SIP love.
 
Tujifunze kutatua matatizo yetu kwa kuzungumza si kuchukua maamuzi...R.I.P Dada wew
 
Hivi watu wanajifunzia wapi kufunga kamba ya kujinyonga??
 
Inauma mno kamaliza safari yake hapa duniani kwa style ya aina yake...kajiandaa na kuweka wazi kila kitu ana amani, OLE wao wadaiwa washindwe kulipa
Mshana Mzee wa Kimila hebu twambie hao wanaodaiwa wakikataa kulipa nini hutokea?
 
Umaskini ni mbaya sana. Yaani madeni anayo wazia ukijumlisha hayafiki hata sh 500,000. Inauma sana
 
Dah uamuzi wa kujitoa uhai ni mgumu mno ,alale anapostahili
 
Back
Top Bottom