bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,998
Za marekani vip huko?naona dolari inazid kushika kasi huku inapanda kila kukichaDah....pole zake kwa kweli [kama ni kweli kajinyonga].
Za marekani vip huko?naona dolari inazid kushika kasi huku inapanda kila kukichaDah....pole zake kwa kweli [kama ni kweli kajinyonga].
Nani ambaye Hana dhambi? Muumba sio binadamu ashindwe kuelewa kilicho moyoni mwake dadaIla sijui muumba wake atamwambia nini!
Ila kumbuka amejihukumu huyu na ameitoa nafsi!!!! Sijui kama hilo unalifahamu. Nani mwenye kuhukumu zaidi ya Mwenyezimungu?????Nani ambaye Hana dhambi? Muumba sio binadamu ashindwe kuelewa kilicho moyoni mwake dada
Unataka uingilie hadi maamuzi ya mwenyezi Mungu? Unajua mipango yake?Ila kumbuka amejihukumu huyu na ameitoa nafsi!!!! Sijui kama hilo unalifahamu. Nani mwenye kuhukumu zaidi ya Mwenyezimungu?????
VIP za mjini hapa?Mbona mshushaji anachekelea hivi?
Mkuu mwenyewe utapima,kama kakusingizia nadhani hutojishughulisha ila kama kweli ktk kumbukumbu zako unakumbuka kuchukua pesa kwa marehem jina lako likatajwa,huna budi kuzilipa na kama huna mapeema mfate yule anaesoma mwambie bwana kwa sasa sina ila nitailipa..marehem hadhulumiwi kama kaandika kwa nafsi yake pia athari zake hutaziona kama hujawa mtu wakutafakari sana.So hata kama umesingiziwa hakuna pakujitetea lazima ulipe!!
Angetoa hata sababu ya uamuzi wake huo. Aisee!
![]()
House Girl hata mm nimemshtukia
ufungaji kamba gani huu
kamba inakuwa ndefi bado unagusa ardhi tena unakunja miguu
huyu alikuwa na hasira sana akajiwahisha
wapelelezi toka Iringa wanafaa waipeleleze
lkn RIP Jesica
Labda ni mhehe -nilisona huku jamvini kuwa hawa kujinyonga ni jadi.yaani maisha matamu hv wengne wanajinyonga....
ni zaman mkuu siyo siku hiz. Nakuhakikishia hawatalipa hao watuNa wabongo tunavyoogopa laana lazima hizo pesa zitalipwa kweli kabla hajapelekwa kwao,kuna siku nilitishwa marehem akizikwa hujalipa pesa zake utakuwa kapuku maisha,wee utaingia hata sacos kukopa ukalipe..Mungu amrehemu.
Moja kati ya dhurma ya marehemu ni kutetemeka non stop....Mkuu mwenyewe utapima,kama kakusingizia nadhani hutojishughulisha ila kama kweli ktk kumbukumbu zako unakumbuka kuchukua pesa kwa marehem jina lako likatajwa,huna budi kuzilipa na kama huna mapeema mfate yule anaesoma mwambie bwana kwa sasa sina ila nitailipa..marehem hadhulumiwi kama kaandika kwa nafsi yake pia athari zake hutaziona kama hujawa mtu wakutafakari sana.
Pole Na kazini zaman mkuu siyo siku hiz. Nakuhakikishia hawatalipa hao watu