Binti Ajinyonga, aacha majina ya watu anaowadai wamlipe

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,502
3,483
Binti mmoja anayejulikana kwa jina la Jesca ambaye ni mfanyakazi wa Longido Mountain Lodge amekutwa amejinyonga katika hotel ya Longido Mountain Lodge akiacha ujumbe kuwa kifo chake kisihusishwe na mtu yeyote amejinyonga kwa ridhaa yake mwenyew akiacha ujumbe wa majina ya watu anao wadai walipe madeni yake kabla ya kusafirishwa kwao pamoja na namba za Mama yake mzazi.
c234afd7-cb10-4555-af30-02f24b83c388 (2).jpg

4330793f-49b4-4d23-9237-c2aa0fb336cb (1).jpg
 
Dah!kukatali nako kubaya maana ingekuwa ngoma dawa zipo na unadunda 20+yrs
 
Binti mmoja anayejulikana kwa jina la Jesca ambaye ni mfanyakazi wa Longido Mountain Lodge amekutwa amejinyonga katika hotel ya Longido Mountain Lodge akiacha ujumbe kuwa kifo chake kisihusishwe na mtu yeyote amejinyonga kwa ridhaa yake mwenyew akiacha ujumbe wa majina ya watu anao wadai walipe madeni yake kabla ya kusafirishwa kwao pamoja na namba za Mama yake mzazi.
View attachment 333523
View attachment 333525
Inauma mno kamaliza safari yake hapa duniani kwa style ya aina yake...kajiandaa na kuweka wazi kila kitu ana amani, OLE wao wadaiwa washindwe kulipa
 
Inauma mno kamaliza safari yake hapa duniani kwa style ya aina yake...kajiandaa na kuweka wazi kila kitu ana amani, OLE wao wadaiwa washindwe kulipa
Na wabongo tunavyoogopa laana lazima hizo pesa zitalipwa kweli kabla hajapelekwa kwao,kuna siku nilitishwa marehem akizikwa hujalipa pesa zake utakuwa kapuku maisha,wee utaingia hata sacos kukopa ukalipe..Mungu amrehemu.
 
Mmh tema mate chini ndugu yangu maisha yanapoamua kukugeuzia kibao lolote utafanya na hakuna kitu kibaya kama kupoteza tumaini. ..pale unapoona hakuna maana tena ya kuishi
Halafu mi naamini watu wanaojinyonga huwa ni wasiri sana!Ila waropokaji akishatoa ya moyoni kwa rafiki au mtu yoyote huwa wanapata relief hata kama hakusaidiwa maisha yanasonga.
 
Back
Top Bottom