asante mkuu na ww piaPole Na kazi
Mmh tema mate chini ndugu yangu maisha yanapoamua kukugeuzia kibao lolote utafanya na hakuna kitu kibaya kama kupoteza tumaini. ..pale unapoona hakuna maana tena ya kuishi
Sometimes learning in a very hard way...si wote walifaulu kuyashinda makwazo ya binadamu wengine(Mungu awarehemu huko waliko) the challenges were too heavy to bareMwanangu unajua nlipokua kijana mdogo niliwahi waza hvyo hvyo inakuaje mtu anajinyonga au kujiua...nilikua nakejeli sanaa.
Ila aisee kaka kweli kua uyaone. Haya mambo yapo sanaa, mbaya kuna watu wanaweza kukutengenezea too much tension in ur mind in a way ujiue/kujidhuru mwenyewe na sijui ni kwann watu huwa wakatili kiasi hicho. Kuna watu hu enjoy sanaa kuharibia wengine maisha big tym.
Acha man....kuna binadam washenzi nyie. Life is indeed a learning experience. Over the years nimejifunza kusikiliza zaidi ya kuongea....u'll just learn a ton of things.
Nimetoka mjiniUmetoka wap?
Hiyo kwa mazingira mwachie mshana Jr atatujuzaSio bure huwezi kufikia kujinyonga kama hakuna sababu Za msingi Kama alivoandika, Yale ni maneno kutoka mdomoni Na sio moyoni, ama amejinyonga kimazingara.
Umetoka kufanya nini huko?Nimetoka mjini
wewe mwenyeswe si unaona pale alipoandika mshahara akabidhiwe mama yake mzazi namuonea huruma mama yake kwani amelea amekuza mpaka binti kawa vile anasubiria posa binti kajikatisha maisha mwee so sadHakusahau mshahara!huyu kweli Mangi
Ata Mimi hofu imenijia mbona hakuna kitu ambacho alipanda nacho kwa maana angepanda na sturi angeipiga teke ili wakati anapupulika asiweze kujitetea mwili uzidi uzito wa kamba.naona miguu inaburuzika Mimi binafsi sijawai kuona waliojinyonga wanagusa chini na miguu kupinda.polisi chunguzeni mashaka yako mengiKwanza kabisa pole kwa wafiwa na jamaa,
Ila mi hapo kwa maoni yangu inaoneka kuna utata kwa suala hilo la kujinyonga,
Kwanza angali mwili huo ulivyo ninginia hapo, ukiusimamisha wima, unazidi urefu wa kamba,
Pia miguu inashuka chini ya msingi, hivyo mi mawazo yangu, hebu polisi wafanye uchunguzi wa kina kwa hilo
Mungu wetu aingilie kati kwa hizi roho za kimapepo zinazotuandama.Binti mmoja anayejulikana kwa jina la Jesca ambaye ni mfanyakazi wa Longido Mountain Lodge amekutwa amejinyonga katika hotel ya Longido Mountain Lodge akiacha ujumbe kuwa kifo chake kisihusishwe na mtu yeyote amejinyonga kwa ridhaa yake mwenyew akiacha ujumbe wa majina ya watu anao wadai walipe madeni yake kabla ya kusafirishwa kwao pamoja na namba za Mama yake mzazi.
View attachment 333523
View attachment 333530