[emoji23][emoji23][emoji23]Daktari hili jibu natamani nilifananishe na sindano ile walitoiiita chloroquine ilivyokuwa ikiingia kwenye sehemu husika utamu unausikilizia mpaka kwenye kisogo
Yaan wee acha tu.Mambo ya mtandaoni, haya ya kuhusu ''mafanikio'' ya wabongo usiyachukulie serious. Unaweza kudhani ni wewe pekee umebaki maskini Tanzania kumbe una nafuu.
Kama hauna ulazima wa kujipost status usifanye ivyo .
Ficha Maendeleo yako ,Tabasamu lako linawaumiza watu wengi.
Watangazie shida tu usioneshe mafanikio hadharani Dunia imebadilika
Orderly Coplo Wa week 😎.